zamaradimketema zamaradimketema

4589 posts   1887139 followers   907 followings

zamaradi mketema  Producer & TV/RADIO Presenter Take one Clouds MEDIA A proud Mother KIDS stylist JUHJUH'S HOUSE OF KIDS - owner WATOTO FESTIVAL - Founder

http://youtu.be/xGr-dmJyIqA

Rainy Day!!

Siwezi kusahau UBUYU (sio huu wa shilawadu) uliokuwa ukisumbuka kuniletea wakati JuhJuh yuko tumboni
Na naendelea kukukumbuka mpaka kesho kama mtu ulieniintroduce Clinic yangu ya kwanza tena kwa kuja kuniamsha kwa nguvu kunipeleka japo nilikuwa mvivu ajabu kila unapokuja 😁
Huenda ulikuwa unajifanyia tu na kwako isiwepo kichwani lakini jua kwangu imebaki kama kitu kikubwa mno ulichowahi kunifanyia na sitaacha KUKUTHAMINI kwa hilo!!! Nakupenda sana na nakuombea uendelee kubaki hivyohivyo usizeeke hata ukifikisha miaka 70 πŸ˜…
Happy Birthday to you Beautiful @new_kajala @new_kajala @new_kajala @new_kajala

Happy Birthday to you
Happy Birthday to you
Happy Birthday Dear DOZEN 😊
Happy Birthday to you

Happy Birthday to you @bdozen
wish you the very BEST in your life as you open a new chapter today.

Keep on SHINNING!!

Na ndiomana kuna wanaopita njia zile zile zilizopasisha wengine na wao wakafeli, MATOKEO ni juu ya MUNGU na si akili zetu, na si kila mara JUHUDI zitatukamilishia mafanikio mpaka mwenye mbingu na ardhi yake apitishe, Tunachotakiwa ni kuomba na kuwa wanyenyekevu hata TUNAPOPEWA kwa kutambua tu ni wengi wapitao upitapo tena kwa maarifa kukuzidi lakini MUNGU amekuchagua wewe kwa MAANA, si kwakuwa wewe ni bora kuzidi wengine.

Baada ya kunihenyesha safari nzima, Bado ana energy ile ile ya kurukaruka!!

Jamani hata kwenye ndege hatujaingia anauliza kama bado tuko Tanzania!! πŸ˜„ nachoka mimi #mshambawakihaya

Jamani msiniue na lawama za Kumuacha Shubi, JuhJuh alikuwa ana Dream ya kusafiri nikamuahidi akimaliza Shule nitampeleka so hapa natimiza ahadi tu ndiomana Shubi sijambeba maana ye bado yuko Shule ila JuhJuh yuko likizo.. hekaheka zimeanza tho ntajuta!! πŸ˜†

Tunaenda kushangaa kidogo na JuhJuh!!

Sijasahau, na wala siwezi kupitiwa, nimeona tu huu ndio muda sahihi wa kukutakia heri katika siku yako hii muhimu.

Kwa usiemfahamu, Nyuma ya Camera ya TAKE ONE ndio anapomalizia ujuzi wake, na vipindi vyote vilivyoleta matetemeko nae alihusika kutupiga picha 🀣 wakuitwa JEFF, CAMERAMAN BORA ambae sijawahi kuona, QUALITY ndio kitu kikubwa kwake kabla ya chochote.. Na leo amezaliwa!! On this Day naomba nikushukuru kutoka moyoni kwa KUNIVUMILIA NA MENGI, bila kusahau kazi zetu za kukesha mpaka asubuhi, za ghafla, na zile za mabadiliko ya hapa na pale yanayozukaga tu, lengo ni kufanya kitu kizuri as we ALWAYS Do.

Happy Birthday to you mdogo wangu/kakaangu @geneouz_jeff MUNGU akupe kila lenye kheri na wewe INSHA'ALLAH!!

Monday Flashback na asiekubali kushindwa, mtoto mbishi huyu mpaka kadandia πŸ˜‚

Most Popular Instagram Hashtags