wemasepetu wemasepetu

141 posts   4,186,134 followers   630 followings

Wema Sepetu  Miss Tanzania 2006 Endless Fame CEO/Award Winning Actress Watch my new Movie D.A.D on MPTV CEO - Little Sweethearts baby slayers CEO - WemaApp

Sehemu pekee unayoweza kuiangalia D.A.D kwasasa ni kwenye #mptvapp Pakua app kutoka Play store @mptvafrica @mptvafrica

Happy Birthday Chinyau nyau wangu... Live long... Mapenzi tele kwako... @farid.uwezofilm @farid.uwezofilm @farid.uwezofilm @farid.uwezofilm

Mungu ndo Mpanga Yote... Tunakuombea sana upone na urudi katika hali yako ya zamani... .
.
My sympathies to the whole Family... Tupo pamoja kwa chochote... Da Flora, usikate tamaa my love... Kila kitu kinatokea kwa sababu... .
.
Guys tujitolee kwa chochote kumsaidia huyu kijana... He needs Us... cc @flora_nitetee2

This Christmas...!!! Balaa na Nusu...!!! Huku Mama Cookie, Huku Mama Dylan... Katikati Mama Sweetheart... Ni Bandika Bandua... Ama nene...??? Only on Azam Tv Pekee... @ikpoppe @sinemazetu103

My Love for Kids is Jus Extraordinary... Na ndo maana nimeamua kuwaita Little Sweethearts na wao... Mlete mwanao nimpendezeshe sikukuu hio na Kila siku... .
.
Kama unampenda, Utamng'arisha.... Only at @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz

Tutakuwa Wazi kwanzia Jumatano... Karibuni... Please follow @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz
Ukimpenda utamng'arisha... We slay Babies... 😋😋

Msimu huu wa Sikukuu tunakuandalia Filamu kali kutoka kwa mastaa malimbali, zikiwemo na mpya kabisa, hii hapa #saambovu @auntyezekiel @wemasepetu @princehdv na wengine kibao, kaaa mkao wa kula 26.12.2018 #hakikanizakwetu cc @ikpoppe @sinemazetu103

Tuko wazi kwanzia Jumatano hii tar 12|12...Tupo located Kinondoni mkabala na Trust House.... Please follow @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz @littlesweetheartstz
For more info please follow us @littlesweetheartstz ...
.
.
.
Thank you...

Bei Chee bado inaendelea karibu Danube Home ujipatie Home Furniture, Garden Furniture, Cash and Carry na vingine vingi kwa punguzo la bei hadi 70%, pia mzigo mpya umeingia kwenye maduka yetu, wote mnakaribishwa #gsmmallpugu #gsmmallmsasani #danubehomemlimanicity @danubehometz_

Bei Chee bado inaendelea Kwenye maduka yetu ya Danube Home, Karibu ujipatie Furniture za kisasa kwa punguzo la bei hadi 70%. #danubehomemlimanicity #danubehomepugu @danubehometz_

D.A.D cc: @mptvafrica

Most Popular Instagram Hashtags