wemareplies wemareplies

3,261 posts   229,085 followers   4 followings

#Teamwork#TagMeWhenSheReplies✌  #Teamwemasepetupo Maanaake bado Tupo. All day every Day! Nampenda wemasepetu♥♥♥ First replies in Africa

Part 2:
A message to @vodacomtanzania. Ok guys let's hope account irudi ASAP 🙏🏾 Goodnight WemaLovers 😘

A message from Wema. Taarifa zinazosambaa kuwa account ya wema haiko hacked sio kweli. It's true that the account is hacked. Kwa wale mnaomfatilia WemaApp mtaona Wema kamjibu Mange.

#wemasepetu 's account is HACKED. Be patiënt. Soon itarudi 🙏🏾. Kuna mtu alimfatilia Wema na akagundua Wema amelink account ya IG na namba yake ya Voda. So what the person did ameswap line ya Wema bila idhini ya Wema. Wenye makosa ni @vodacomtanzania. Wema kasema kwa wale ambao wanafungua account mpya au kwa wale ambao wanabadilisha majina yao kujifanya Wema sio yeye na wala hana mpango wa kufungua account mpya. @vodacomtanzania tuelezeni ni kwanini mnakubali kiurahisi mtu kuchukua namba ya mtu bila idhini yake? kwajili ya ujinga wenu mtatupoteza wateja wenu 😞#bringbackwemasepetuaccount

Wema replies on @officialpetitman_wakuachetz pic 11hours ago.

Bae replies on her on post to her forever wiiii 😃 @_esmaplatnumz & @officialpetitman_wakuachetz 10 hours ago. Thank you for the tag.

Happy Birthday Esma Khan wa Petit 😘

Bae replies 😅on @diamondplatnumz pic 37min ago. #tzsweetheart2018
Who missed me? 😂

Our madam 😍

Happy belated birthday to my Dutch chick my main chick 😝. I love you so much bejoux wangu 😍😘. Nimeona vids and pic you really had fun. Next year Inshallah am going to join you 🙏🏾 @kingjoux @kingjoux @kingjoux

Always and forever my #1. Love you Her. Goodnight 😍😘

I wanted to be the last one to wish you maana sio kwa foleni hii 😂 and I don't even think kama am the last one but at least foleni imepungua 😂😂 but babyboo why are you so beautiful 😍 kila siku zinavoenda unazidi kuwa WOW ❤️😍 anyway Birthday yako itaisha Sunday 00:00 wiki hii nzima ni #WemasepetuWeek 😄 Love you unconditionally bae and will love you until my last breath 🙏🏾❤️😍😘 Wewe sio Tanzanian sweetheart tu, wewe ni Our East Africa Sweetheart. Happy birthday to my fav of all the time 🎉🎉

@wemasepetu 👀

You don't know how I feel right now. So happy.. I need to get a bottle of Hennessy 😂 you guys hamjui teamwema tuliyoyapitia haswa mimi niliyekuwa naweka replies za Wema. Karma is a bitch. What goes around comes back around. Ulikuwa unaongea kuhusu what? Kwenda leba and another woman amekuonyesha maana ya kwenda leba. Hii ni karma wallahi. In a very short period umepata mipigo mitatu.. which are:

1. Kumpoteza baba watoto wako
2. Kumpoteza mama mzazi
3. Achana na ku cheat kuletewa kabisa mtoto.

Hope this is going to be a lessons to you. Acha zarau na kujifanya wewe ndio upo juu na hakutatokea wa kutoka/kumzalia Diamond.
Wanakwambia usimcheke mwenzako kwa mabaya ila huyu mama alijua kutupelekesha na akajiona yeye ndio yeye. Kiboko yako wenye mayai yao wamepatikana.
Wema you are too sweety mami kwa kumuonea huyu mama huruma. Alivokuwa anakutukana daily. Anyway wema will always be wema hanaga kinyongo na mtu and that makes me love her even more each day.

Most Popular Instagram Hashtags