wasaport_tz wasaport_tz

1,217 posts   20,028 followers   2,176 followings

Wasaport Media Worldwide 🔵  🌍WASAPORT MEDIA Online PR | IT solution | Gfx Design | PR Upcoming Artist |Matangazo | Music & Video Promotion | Website Booking: wasaport@gmail.com

Issa Movie today karibuni @club.belcanto Mbweni Uburudike na #liveband Matata Pia Vinywaji na Vyakula Safi
Karibuni Sana

Eid Mubarak to all Muslims #eidmubarak2018🌙

Radio and Television Host

Daa nikisema tunaisha ntakua nakosea mana bado kuna wengi wanazaliwa. nikisema mungu anatuonea pia ntakua nakufuru mana imeandikwa wote tutarudi mavumbini basi acha niseme nenda kwa amani ila kiu yangu juu ya wezo uliokua nao bado ilikua ni kubwa Sana! mana nilikua nikiamini uwezo wako hapa bongo hakuna aliekua nao ila basi sina budi kusema R.I.P #damuyangu @samwaukwli
#R.I.PSAM

ANAOMBA USHAURI USHARI WAKO:

Mimi ninaitwa Aisha, nina miaka 27. Nina mchumba wangu ambaye ni fundi gereji na anaishi maeneo ya Manzese, mi nakaa Tandale. Tumedumu miaka miwili na kusema kweli tulikuwa tunapendana maana hadi kanisomesha kozi ya computer kwa mwaka mmoja sasa nina kazi yangu. Ila nimepata bahati ya mtende maana huyu bosi wangu ninayefanya kazi kwake, ametokea kunipenda sana na amesema nikimkubali, atafanya maisha yangu yawe kama ya malkia. Ahadi za huyu bosi zimefanya nianze kumpenda ghafla maana anatembelea RANGE ROVER kali kama ile ya Lady jay dee, yaani nahisi kuchanganyikiwa sijui nifanye nini? Hapa nilikuwa natafuta sababu ndogo ili nimbwagwe huyu mchumba wangu fundi gereji ila sijapata sababu. Naombeni ushauri wenu kwenye hili

Watch Brand New Video From @diamondplatnumz ft @rayvanny #Iyena tembelea #www.wasaportz.blogspot.com
Link in my Bio

Brand new joint by @bestnasotz X @naytrueboytz #hellena
#www.wasaportz.blogspot.com

Heri ya kuzaliwa producer @1pianomaster #wasaportmedia🎶🎤🎧 Inakutakia Siku njema
#pmaster
#23may

Most Popular Instagram Hashtags