wasafidotcom wasafidotcom

3,447 posts   139,597 followers   85 followings

Wasafi.com  Online Music Distribution Platform, Where All The African Hits Belong !!!!🎶 #Wasafidotcom #WhereTheHitsBelong CLICK 👇🏽TO DOWNLOAD CHOMBO BY RAYVAN

Unaikumbuka #Nana Ya @diamondplatnumz Ambayo alimshirikisha Mkali Wa #Gollibe Na #SexyRosey @2niteflavour Kutoka Nchini Nigeria,Nana Ni Ngoma Ambayo Ilisumbua Sana AFRICA 2015 Adi Kupelekea @diamondplatnumz Kuchukua Tunzo Ya MTV MAMA As Best Live Act,Basi Habari Njema Ni Kwamba Wawili Hao Wamerudi Tena Jikoni Na Kukupikia Mzigo Huu Hapa #TimeToParty
_
Kupitia Ukurasa Wake Wa INSTAGRAM @2niteflavour Amepost Teaser Inayoonyesha Kionjo Cha Video Hiyo Inayotarajia Kuachiwa Hivi Karibuni.
#WasafiDotCom
#WhereTheHitsBelong

Think about it nimechange mpaka behavior
Think about me kuna madawa ya kulevya...
#Labda nizikwe
#Labda nizikwe
Tembelea www.wasafi.com sasa kupakua na kusikiliza wimbo huu toka kwa @billnass
#Wasafidotcom
#WhereTheHitsBelong

@keysha_queen_ karibu #Wasafi
Ingizo jipya toka kwa @keysha_queen_ #Nioe
Unapatikana ndani ya www.wasafi.com
Pakua na kusikiliza wimbo huu sasa
#Wasafidotcom
#WhereTheHitsBelong

Mapenzi Ni Magumu Sana Kwa Ambao Mfukoni Kumetoboka Hakika Ukitaka Uyafaidi Mapenzi Basi Mfuko Uwe Umetuna..Na Ukiwa BADO Mambo Si Shwari Yatakutesa
_
Brand New Song From @rapsam_ #Bado Inapatikana Exclusive Ndani Ya @WasafiDotCom Pekee
#WasafiDotCom
#WhereTheHitsBelong

#Zagada wimbo mpya toka kwa @brownmauzomusic
Unaofanya vizuri hivi sasa
Unaweza upakua na kusikiliza ndani ya @wasafidotcom kwa Tsh.300 tuu
Chagua Kizuri
#zagadaBm
#Wasafidotcom
#WhereTheHitsBelong

UNAELEWA NINI KUHUSU WASAFI.COM NA JE ULISHAWAHI KUITUMIA? DROP YOUR COMMENT..
It's Throw Back Thursday @queendarleen_ & @WasafiDotCom In TABORA
#WasafiDotCom
#WhereTheHitsBelongs

YOUNG.....RICH....FAMOUS
#ABoyFromTandale @diamondplatnumz

Tembelea www.wasafi.com sasa kupakua na kusikiliza Qaswida mpya kutoka kwa @naslim_tz #Siamini
#jumaamubarak
Pia unaweza pakua App yetu ndani ya Play store
#Wasafidotcom
#WhereTheHitsBelong

Kazi mpya kutoka kwa @iamgolden_dee #Sangida
Tembelea www.wasafi.com sasa kupakua na kusikiliza wimbo huu
#Wasafidotcom
#WhereTheHitsBelong

Mziki Wa BONGO FLAVOUR Anazidi Kukua Kadri Siku Zinavyokwenda,Ubora Wa Kazi Za Wasanii Umeongezeka Pia Hata Wasanii Wachanga Wanaoanza GAME Nao Wamekuwa Wanajitahidi Kuhakikisha Wanafanya Kazi ZENYE Ubora Ili Kuweza Kupita SOKONI....Unadhani Nini Kifanyike Kwenye Tasnia Kuweza Kuendana Na Hali Ya Soko La Muziki La Sasa.
_
Hii Ni Moja Ya Kazi Kutoka Kwa @mgalilaya_muziki #ForYou Iangalie Kupitia YouTube Channel Yake Kisha Tupe Maoni Yako.
#WasafiDotCom
#WhereTheHitsBelong

@rayvanny V Vanny Boy once again in your speakers #Chombo Bonyeza Link Kwenye Bio Yetu
#WasafiDotCom
#WhereTheHitsBelongs

Kama bado hujausikiliza wimbo huu toka @iamlavalava
Tembelea www.wasafi.com sasa kupakua na kusikiliza wimbo huu
#Nimekuchagua
#Wasafidotcom
#WhereTheHitsBelong

Most Popular Instagram Hashtags