vitambaamodelquality vitambaamodelquality

3,647 posts   73,122 followers   93 followings

vitambaamodelqualty  Kwa vitambaa vizuri mambo ya sare pls tuwasiliane Wtsp Na Kupiga No 0712677335.....tandika mtaa wa mapipa..Follow @rehemah0

UJUMBE WA ASUBUHI

LEO KTK UJUMBE WA ASUBUHI:

Angalia na uchunguze fikra zako..
Kwani hizo ndio zitakuwa maneno yako

Yaangalie maneno yako...
Kwani hayo maneno yako ndio yatakuwa vitendo vyako.
Yaangalie matendo yako..
Kwani hayo matendo yako ndio yatakuwa ada zako.

Angalia ada zako..
Kwani hizo ada zako ndio zitakuwa utu wako

Angalia utu wako...
Kwani huo utu wako ndio utakupelekea mwisho wako.

Bahama Mita Moja 4000...0712677335

Shifon mita moja 4000...duka lipo tandika mtaa wa mapipa kwenye gorofa la tandika plaza panda juu gorofa ya kwanza..tunatuma popote kwa gharama zako....0712677335

Wapenzi Imebaki Rangi Ya Maroon Mita Moja 5000...0712677335

Duka Letu Lipo Wazi Kila Siku Hatuna Mapumziko..Duka Lipo Tandika Kwenye Gorofa La Tandika Plaza Panda Juu Gorofa Ya Kwanza...Tunatuma Popote Ulipo Kwa Gharama Zako....0712677335.

Alhamndulilla!! Kwa kila kilichokuamo
Katika siku ya leo
kheri nawaombea Allah
Kwa uwezo wake awape
Raha na furaha katika
Nyumba zenu na awape
Siha na afya na Awaepushe na shari
Na awalinde na shari
Za mahasidi na awa
Bariki na abariki rizki
Zenu na awafanyie
Wepesi katika mambo
Yenu na iwe siku ya kheri Ameen
Nawatakia siku njema

Mashaallah Mteja Wangu πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ»πŸ‘ŒπŸ» Kitambaa Kimeisha Wapenzi 🀚🏼

Most Popular Instagram Hashtags