verohackee verohackee

342 posts   245 followers   140 followings

Vero Hackee  Veronica Msaga Mom & Director Endeleza Credit Facility Ltd Mob: +255 656 566 606 Email@ mikopo.endeleza@gmail.com .Realize Your Prosperity with Us..

Birthday vibes#happy birthday baby Charlote,tunakuombea ukue vyema ukiongozwa namapaji saba ya roho mtakatifu.

Ha ha ha aaa!its never too late#never too old to have funny#make the most of it#enjoy each stage of your life#Old is GOLD#Good Morning!

Waitin for the african wedd...#mtotoo111 #superseth24

I do choose to be happy#happywoman#happymommy#happywife#through his grace, power,love,protection&peace,etc,oooh!God i do love u night&day

Good-morning!

Good-night!

Kwa wakatoliki tunaposali sala ya Baba,kuna sehemu huwa tunasema"utusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea"hiki kipengele huwa nimuhimu nakigumu sana pengine huwa tunakitamka kwa mazoea tu lakini kama ingelikuwa ukifika hapo unaweka poz kidogo unatafakari kisha unaendelea basi tungekuwa nanafasi kubwa sana yakusamehewa makosa yetu kama amabavyo tunasamehe,kikubwa tujitahidi kuomba neema ya Mungu na kwa maombezi ya mama Maria basi tuwe ni watu wakusamehe bila kuhesabu,msamaha ni silaha kubwa sana ktk maisha ya kila siku tusiende kulala navinyongo au hasira utajikuta unapunguza siku zakuishi buree#make peace

Good-night!

#ECFL OFFICE,team Massawe's walipozulu hapo jana#for emergency loan call 24/7#0656 566 606

Mchana mwema kwenu

Good-Night!

Most Popular Instagram Hashtags