v2.africanwear v2.africanwear

1357 posts   14389 followers   352 followings

V2 WEAR  🔖Designs and Sales Of African Fabrics. 👗Custom Made And Ready To Wear Available! 📲+255 753555503 / +255 754888802 CLASSY N FABULOUS!

Ni nani alisema batik imepitwa na wakati?! 😍😍 mambo ni motooo @carolyn___r ukuje madam usiposifiwa na koh koh koh nahamia kibiti😂

@ikundamtui hapo asubuhi kaka na dada wamesimama dirishani wananiaga kwa sautiiii.. byeee mamieee.. byeeeeee...😊😊😊 ningeachaje sasa kuwajibu☺☺ #suchabeautifulfeelinginside #mykidsmyworld #mykidsmyinspiration dressed by #v2africanwear

In my own brand.. representing #v2africanwearpekee😍😍

Kwa wale tunaopenda vitenge vya kushout.. kitu kama hiki ni hataree😍😍😍 kitenge kizuri mnooo hizo prints zake kiboko kabisa.. mshono pia simple basi full burdani..😚 kitenge bado kipo, karibu tukushonee!.. DM/Watsapp 0753555503 @wandebangili

#CasualWear😍😍😍 #loosedress #MixedPrints kitamu haswaaa.. @wandebangili @wandebangili mtag Dr aje kuchukua pigo lake☺☺

Nguo nzuriii.. kitenge pia kizuri sana..😍 very unique!! Ongezea #classicdariz😗😗😗😗😗😗😗 hakika mwenye nayo atapendeza sanaaa.. Karibu tukushonee kama hio. DM/Watsapp 0753555503 @lavie_ebell

Shirt available.. DM/Watsapp 0753555503

Most Popular Instagram Hashtags