udom_celebrities udom_celebrities

289 posts   4,293 followers   3,450 followings

UDOMCELEBRITIES OFFICIAL A/C  FOR UNIVERSITY NEWS FASHION & MODELLING SPORTS⚽ & ENTERTAINMENTS🎤 SHOUT-OUTS BDAY WISHES AWARD-WINNING SOCIAL MEDIA PAGE🏆🏆 Whatsapp 0714 132 075

MISS UDOM TOP 5. .
.
Tag unaemjua.

Hongera @procephinevaldez mwananfunzi kutoka college of Health and allied science kwa kuweza kuibuka MISS UDOM 2018/2019. .
.
.
Tunatarajia vitu vya ubunifu, na kujitoa kwa jamii kutoka kwako.

Kati ya washiriki wa MISS UDOM 2018 @ms.cianer_makoi .... Kumpigia kura, the link is ☝☝☝on the bio.
.
.
.

Photo Credit @dauupicha

Mnajuaga vile ambavyo tunafanya. Hatujawahi kukosea na hatutokuja kukosea kamwe. Kama hauamini, dondoka ROYAL VILLAGE jumamosi hii ushuhudie ..... MR AND MISS UDOM 2018 ni 🔥🔥🔥🔥🔥. Cc: @kuntakinte_dr.o

Mwaka jana aliibuka kuwa the BEST FINE ARTIST katika tuzo za UDOM's FINEST AWARDS. .
.
Unapoongelea wachoraji bora kuwahi kutokea Tanzania kama sio duniani kwa ujumla huyu jamaa @sammydasilver, sio poa. .
.
Sa mchongo upo hivi, mwaka huu jamaa anagombea kuwa MR UDOM 2018. Kumpigia kura SAMWEL GOBLESS KAWICHE, simply click the link on the BIO ☝ then follow the on-screen instructions.
.
.

Mpigie Kura MARIA CHARLES TAGORA kwa kulike picha yake.. jinsi ya kumpigia kura; ingia
www.udomawards.com
kabla ya kulike picha yake unatakiwa kuregister account yako na kuingiza password yako then itakuletea option mr participant and ​miss participant​ ingia kwenye miss participant then like profile lake ambapo jina ni MARIA CHARLES TAGORA hapo utakuwa tayar ushampigia kura.. pls wadau wangu support her ashinde💪✔
VOTE VOTE🗣🗣

Photo Credit @dauupicha .
.
.
Tukiwa tunazihesabu siku kuelekea kilele cha MISS UDOM 2018. Kila siku tutakua tunawadondoshea picha mbili za washiriki wa mwaka huu.
.
.
Tuambiane kwa hawa warembo wetu vipi tumeyumba au tupo kwenye reli? Shusha comment yako dowwn here👇
.
.
Unaweza kuwatag kama unawajua.

Hongera sana kwa wanafunzi wote kutoka UDOM mliotuwakikisha kwenye tuzo za UNIAWARDS.....Hakika mmetutoa kimasomaso. .
.

You can tag all the winners please...
.
.
.
Cc: @bellion__ @bablodicaprio @jackiecharlz @ziggyjustine @official_viny_jr

It's all green from this side. Weekend picture of the Day. @__triceyofficial__

#Fursaaaa.. .
Kwa mwanachuo yeyote unaejiona unaweza kufanya maajabu mbele ya kideo. Fanya kuwacheki jamaa apo☝☝.... . Cc: @kebby_designs. .
Tag all udom talented presenters

Tag MR and MISS UDOM wako halafu mwambie mchongo upo hivi 👇👇👇👇👇.. .
Form za ushiriki wa MR & MISS UDOM zinapatikana College zote na ni bure zitaanza kutolewa leo tarehe 11/04/2018 hadi tarehe 15/04/2018 hivyo tunawaomba watakao penda kushiriki wachangamkie fursa hii bila kusita!..
*_Form zinapatikana kwa watu wafuatqo:-_*
*1.CIVE*
Andrew Umbedo 0657689239
*2.COES*
JOSEPHINE 0686279831
*3. CHSS*
MWILEGY RAMADHAN 0714712550/0752053846
*4. COED*
NEEMA 0767131533
*5. CBSL*
DEUSDERT NELSON 0653134702
*6.CNMS*
CHRISTOPHER *Imetolewa na Afisa Habari MR &MISS UDOM 2017/2018*
*_JACKSON BAHEMU_*

University of Dodoma, Picture of the Day.
Model-In focus @africancute1.

Most Popular Instagram Hashtags