[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

udakutz_ udakutz_

60,388 posts   1,761,585 followers   30 followings

Udakutz.  Kwa Habari Za Umbea/Udaku Download App Yetu ➡Bonya Link hii 👇

😂😂😂weka comment yako Hapa

😂😂weka comment yako Hapa

AKIZUNGUMZIA KUHUSU STORI YAKE :
msanii @mbosso_ anayetamba na Ngoma Ya " ALELE " aweka wazi kuwa @diamondplatnumz Aliwahi kumpigia simu Mara nyingi Sana ili Ajiunge @wcb_wasafi kipindi YAMOTO BAND imevunjika lakini alikataa kwakuwa alikua ana mapenzi Ya Dhati na YAMOTO naalikuwa ana Imani kundi litarudi Upya ....Mbosso ayasema hayo katika hafla Ya #STUDENT CONGRESS inayofanyika Ukumbi wa watu wazima Posta.

Njia ni moja na ya Pekee ya kukwepa Mvua na Maneno ya mwenye Nyumba. Tumia BUKU lako kiusahihi leo ili uibuke MJENZI mpya siku ya Kesho. kamata BUKU lako fasta muda huu UCHEKI BAHATI YAKO kupitia BIKO BAHATI NASIBU YA WATANZANIA ni JUMADILI JENGA yenye MILIONI 60 kwa watu wengine wa 3. Cheki bahati yako sasa
1. Ingia kwenye TIGO PESA, M-PESA au AIRTEL MONEY
2. Chagua Lipia bili
3.Weka namba ya Kampuni ambayo ni 505050.
4.Kisha weka namba ya kumbukumbu 2456 ambayo ni sawa na neno #BIKO
5. Weka kiasi unachotaka kucheza kuanzia tsh 1,000 au zaidi.
@bikotanzania
Hakuna kikomo cha muda kushiriki BIKO, cheza mara nyingi zaidi ujiweke kwenye nafasi nzuri ya kushinda zawadi za papo hapo mpaka milioni 1.
#BikoKipimoChaBahati
#NguvuYaBuku
#ChekiBahatiYako

AKIZUNGUMZIA KUHUSU STORI YAKE :
msanii @mbosso_ anayetamba na Ngoma Ya " ALELE " aweka wazi kuwa Mwanzoni alipata nafasi kuwa CHAWA Wa @aslayisihaka yaani Mpambe Wa Msanii anaye saidia kuimba Back vocal pindi msanii Anaimba Stejini.... Lakini baada jambo hilo lilimsaidia mpaka akapata nafasi Ya kuwa muimbaji wa YAMOTOBAND.. Mbosso ayasema hayo katika hafla Ya #STUDENT CONGRESS inayofanyika Ukumbi wa watu wazima Posta.

Zari The Bosslady ameendelea kutupa mawe gizani, na yameendelea kumpata muhusika wake.

Mrembo huyo ametupa dongo lisilopimika kwenye mzani ambalo limeonekana moja kwa moja kumlenga baba watoto wake, Diamond kwa mujibu wa comment za mashabiki ambao wameupitia ujumbe huo.
Zari kupitia mtandao wa Instagram ameweka picha tatu mpya na amendika kwenye moja ya picha hizo ujumbe unaosomeka, “She is also someone’s daughter, treat her how you would want your daughter to be treated by another man. #JustSaying.”
Kutokana na ujumbe huo pia unaonyesha tayari mrembo huyo kwa sasa moyo wake umechukuliwa na mwanaume mwingine ambaye atakuwa amemrithi Diamond kiti chake.
TOA MAONI YAKO HAPA.

Nabii Anayegawa Fedha kanisani @prophet_daniel_daniel_shillah Afumaniwa katika kaunta Ya Bar Akinunua Pombe Kali .
Je hii ni sawa au Sio sawa?? Kwa Nabii Kufanya Hivyo.
TOA MAONI YAKO HAPA TAFADHALI

@idrissultan amewasili nchini Rwanda kwaajili ya Shughuli zake za Comedy pichani akiwa ameongozana na Hosts wake🔥🔥🔥

FAHAMU :
@idrissultan tayari amewasili nchini Rwanda kwaajili ya Shughuli zake za Comedy 🔥🔥🔥

MATUKIO KWA PICHA :
@nikkwapili X @johmakinitz na @bellachristian1 Jana katika FNL kutambulisha Kazi Ya Mpyaa #NIJUE 🔥🔥🔥

@aikanavykenzo ndani Ya Australia kwaajili Ya Tour na Shughuli mbalimbali za kimuziki.. 🔥🔥🔥

VIATU VIKALI - Available elf 25000 .
kwa mahitaji follow :
@onlineshop_tanzania
@onlineshop_tanzania

Most Popular Instagram Hashtags