[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

tzshaderoom tzshaderoom

13545 posts   209597 followers   1621 followings

MILLYRAPA πŸ€—πŸ€—πŸ€—  HATERS HAPA C MAHALA PAKO βœ‹ "I will post only from stars account. WAFANYABISHARA WASILIANA NA NUMBER 0715111541

#roommates huyu NASEEB should be A MAN AND STOP ALL THIS DRAMA MITANDAONI NA AONGEE NA WAZAZI NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAPIGE KIMYAAA COZ WOOTE WANAHARIBU HAWEZI KUCHOOSE SIDES BTN HIS BABY MAMAS ANAANDAA MAISHA YAPI KWA WANAE 😨😨😨
.
#naseebstopthisdramaaaaaaaaaπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯ .
#kamashetanialipitanakuombeamalaikaapiteeee
.
#upatenguvuzakusimamakamamwanaumeπŸ™πŸ™πŸ™
.
#takeureesponsibilitySTOPTHISDRAMA
.
#ongeanawaziwenzakoooooo
.
#nochosenoneallareyooobabymamas

#roommates guys tuongee ukweli in btn huyu NASEEB KAKOSEA how many time #naseeb anachepuka?
Ktk interview juzi clouds hakuruhusu watangazaji to call #hamisa names why alifafanua kua yupo on and off with #hamisa since 2010. Naomba tuende sawa which means alikua anagongaa tuu since #wema #jojo #penny #wema then #zari don't forget shetani kampitia πŸ˜†
Kaachana na #wema paaaaah yupo ktk project na #zari at the end kamkaribisha 1st born guys don't forget alisema mahusiano ni project. .
Twende kazi penzi kikoozi #hamisa kavumilia wote na wooote aliwaita project but tukumbuke hajawahi hata cku 1 kumuita #hamisa project haya kajijenga ktk mitandao yupo na #zari watu wamekubali na wamekheshimu hilo uongooo? Hadi #zari kapewa cheo cha MKE yes she is right ktk mahusiano more than 6 month kitamaduni she is a #wife but kuna mtu () mnakumbuka on and off za #naseeb na #wema 😨 also kitamaduni she was a #wife too but kulingana na hali halisi na makosa ya #wema ilionekana #zari aheshimike.
.
Mates here we come b4 #zari hakujua kua kuna on and off (hamisa) alijua anapambana na #wema we all saw the drama but nn #naseeb alifanya is to give some several πŸ’ΊπŸ’ΊπŸ’Ί to #wema jiulize why coz kuna mtu yupo kimya wanafanya yao which is #hamisa.
The same #naseeb kaendelea kupiga one night show na mademu kibaoooo haina haja kuwataja majina coz hatujui makubaliano yao πŸ™Œ let us focus on #hamisa yooote hayoooo kapiga kimyaaa.
.
The same #hamisa karudiwa tena kipindi #naseeb yupo na #zari also the promise in btn hatujui but mbea nimepost mara kibao wanagonganaaaa what was #zari ans ni " kama hujapostiwa hupendwi" 😨cmlaumu πŸ™Œ but hakujua kua yule ambae hapostiwi alikuwepoo na hapostiwi since but anakula kimyaaaaa kimyaaa 😨
.
Mara paaaaaah mimba 😨 #naseeb kakiri kuhudumia mimba siri hadi #hamisa kujifungua hapa sasa nawaacha na swali as mwanamke utakubali MWANAO PIA APITIE ULIO PITIA AU UTATAKA MWANAUME AWEKE MAAMUZI?
HOW LONG HAMISA ATABAKI KUA SIRI ?
#Naseeb kaamua kutengeneza maisha na #zari if kweli hakua namapenzi na #hamisa why hakuachana nae?
SWALI LA MWISHO NA LA MSINGI JE FAMILIA, MLEZI WA WCB #paulmanda NA MANAGEMENT YA WCB HAWAKUJUA UWEPO WA HAMISA? .
#acheniubabaifuπŸ˜₯

#roommates πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ so it's okay nimnyakue mume wa mtu but nisitangaze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mmfyuuuu WHY MSISEME CHA MTU MAVI you guys msinifanye nichambee 😩😩😩

#roommates #naseeb vs #fans 😨😨😨😨 young bro take them insults stop tripping that is a cup of tea ulio pika mwenyewee now drink it 😊😊😊

#roommates beautiful birthday wish from #naseeb to #zari πŸ‘πŸ‘πŸ‘ #naseeb respect a mother of your kids TAG HER PLS πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ NO MATTER WHAT WW NI MKOSAJI JUST BE A MAN TAG HER πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ NOTHING WRONG TO RESPECT AND TO GO DOWN FOR THE MOTHER OF YOUR OWN BLOOD 😞😞😞

#roommates kazi ya nani hii 😨😨😨 ebu acheni kuwapambanisha hawa wanawake 😳😳😳 ebu jaribuni kuwafikiria watoto for the sake of GOD fikirieni watoto tuu 😳😳😳 this is too much mnao tengeneza izi vitu acheniii hamjengi bali manabomoaaaaa 😑😑😑 .
.
.
#GD9TKESHO😀😀😀

#roommates 😨😨😨 #akhoteekenya maisha ulianzia kusimama barabarani na ktk club mbali mbali za MSA ila cjui ulikua na ishu zipi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† usisahau kila mtoto wako ana baba 😩😩😩 i am sorry if ntakua na kudisrespect πŸ™Œ but Madam boss huoni aibu kukaa na kumuandikia gazeti loote lile kwa msichana rika kama wanao 😨😨😨 unajichanga mara "jua kula na kipofu" oooh "interfering with family" which is which 😨😨😨
.
.
On my own naona ulijichanganya becoz unajaribu kumdis #hamisa but ur own past inakusumbua ukakosa msimamo na ulicho taka kuandikaa Madam achana na Wantania tunajuana sisi kwa sisi ningelikuona wamaana ungelichagua side kisha ukapost neno 1 tuu SO AND SO NAME BE STRONG πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ UNGELITISHAA SAANA πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰

#roommates huyu dada @katie.vs.kilimanjaro amejitolea maisha yake kusaidia watoto wanao ishi ktk mazingira magumu na sasa anatarajia kuja kwa mara nyingine na watalii walio jitolea kutembelea kazi zake na kupanda mlima kilimanjaro. So inspired 😍😍😍 dada #katie karibu saana Tanzania ❀❀❀ na asante kwa kutujali πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

#roommates 😨😨😨 jamaniii 😨😨😨

#roommates KAMA UNAWEZA MTIE KAMBA MUMEOOOOO MZIWIEEE MZIWIEEE AKITOKA NJEE CHINI KWA CHINI TUNALIA NAE πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
.
MICHEPUKO MKIROGWA CMOOOO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
.
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

#roommates TGIF πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Hustlerz Entertainment Presents;
YENUWAA NIGHT *⃣Date:22 September (Ijumaa)
*⃣Venue: Club Kakala (Kigamboni)
*⃣Entrance: 5,000/= Kuanzia Saa2 Usiku Mpaka Morning Music By: @DjCavanni. (RED CARPET) Host By: @lifeoftahiya @iamjimmyj

Performance By:
@JohMaker @Moni_Centrozone @Makomandootz @Manem_onair @Mr.Kesho

N:B WADADA 50 wa kwanza wataingia Bureee!!.
Cc; @Hustlerz_ent
@mbwanakhamis
@djcavanni :designed by
@Gregory_nass

Most Popular Instagram Hashtags