titi.shara titi.shara

1,096 posts   12,756 followers   864 followings

T I T I S H A R A  Birth02/03 Team MediaTz Facebook Titi Shara Twitter Titishara_tz Matangazo +255625524540 #ONA By LULUDIVA FT RICHMAVOKOπŸ‘‡

Happy Birthday Blackaaaaaa Blackaaaaaaaaaaaaaaa @rdjblackiie Ishi Miaka Mingi Brother,,, Mzee Wa #ladha3600 & #xray Ndani Ya @efmtanzania πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ #SUPPORTEDBYTITISHARA

Kheri Ya Siku Ya kuzaliwa Anko Wangu @princess_isherz Mtoto Wa Dadangu @mwajumakassimbebe Mungu Akupe Maisha Marefu Zaidi Na Yenye Baraka Teleeee Amiin inshaallaah,,, Pia Upate Mume Bora Km Mimi Anko wako Maana Mimi Ni Mume Bora Mno Aisee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸŽ‚πŸŽ‚πŸ‘πŸ‘ #SUPPORTEDBYTITISHARA

WEEKEND HII HAPA πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ HIVI BADO SIKU NGAPI TULE IDDπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ’ƒ? #RAMADHANI_KAREEM πŸ™πŸ™ #SUPPORTEDBYTITISHARA

Ishi Miaka Mingi Aisee Mwanangu Mwenyewe @yuzzo_ibrozama Mungu Akupe Kila la Kheri ktk Harakati Zako Za life Damu Yangu πŸŽ‚πŸŽ‚πŸ‘πŸ‘πŸ™ŒπŸ™Œ #SUPPORTEDBYTITISHARA

Tonight catch @hennesseyyhennesseyy on @keepitkiss (#kiss TV Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ)at 8:30pm (saa mbili na nusu usiku) on the Superstar countdown show giving u my five favorite joints... Tune in it’s going to be Bananas!!!! Cc @spaciousmusic @teamhennesseyy y @ellydabway @official_akilthebrain2004

#SUPPORTEDBYTITISHARA

KHERI YA SIKU YA KUZALIWA KWAKO TWIGA MNYAMAAAA @FARIDAMPIMBI ISHI MIAKA MINGI AISEE πŸŽ‚πŸŽ‚πŸ‘πŸ‘πŸ™ŒπŸ™Œ #SUPPORTEDBYTITISHARA

"ILI HESHIMA YAKO ISISHUKE JIFUNZE KUWA MSIRI WA SHIDA ZAKO. CHUNGA SANA MATATIZO YAKIKUFIKA USIYAPANDISHE KAMA BENDERA KILA MTU AYAONE" #KILLER_WHITE KASEMA,,,,
#RAMADHANI_KAREEM

#SUPPORTEDBYTITISHARA

ISHI MIAKA MINGI AISEE MWANANGU MWENYEWE @ADAMCLASSIC_SUAFMTZ MTU MWENYE ROHO SAFIIIIIII,, ENJOY YOUR DAY MZEE BABA SEMA PUNGUZA UBISHOO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸŽ‚πŸŽ‚πŸ™ŒπŸ™Œ #SUPPORTEDBYTITISHARA

#FreshFriday kwenye show kubwa #MdundoBando ataskika @luludivatz kipi kitazungumzwa stick around kuanzia 4 mpaka 7 mchana code 102.5 @lakefmmwanza
Kipaza @swaiba_tanzania
@whitney.wonder
Music by @djwillykey
LAKE FM NDIO CHOMBO RASIMI CHA HABARI NA BURUDAN KWA WAKAZI WA KANDA YA ZIWA.

#SUPPORTEDBYTITISHARA

Leo kwenye #Ladha3600 Ya @efmtanzania Na #kibongetozi @jabirsalehtherealest Atakuwepo @fficialdinno Akizungumzia Safari Yake Ya Muziki Mpaka Sasa Alipofikia Pia Atatambulisha Ngoma Yake Mpya Inayoitwa #BADOUPO Kuanzia saa 9:00-10:00 Jioni
Cc: @nambizaentertainment @msafi_himself @nambizaenterprises

#SUPPORTEDBYTITISHARA

CHOMBO KWA HEWA #ONA BY @LULUDIVATZ FT @RICHMAVOKO
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
CC: @BORNTOSHINE_AR

#SUPPORTEDBYTITISHARA

NAMLETA KWENU KIJANA WENU MAHILI KABISAAAA WAKUITWA @PIZZO_WIDA_ NA NGOMA YAKE INAYOITWA #NIPENAFASI SUPPORT YENU UNAHITAJIKA SANA ILI AFIKIE MALENGO YAKE πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
#SUPPORTMUZIKIMZURI

#SUPPORTEDBYTITISHARA

Most Popular Instagram Hashtags