[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

tanzaniabodybuilding tanzaniabodybuilding

211 posts   1456 followers   1657 followings

TBBF with MR TANZANIA 2017  TBBF is the federation of bodybuilding in Tanzania. It is the official organization which deals with bodybuilding in Tanzania

http://www.tzbbf.org/

@tanzaniabodybuilding tunawatakia hero ya Xmas na Mwaka mpya

Kamati ya Maandalizi ya Mr.Tanzania 2017 inapenda kuwashukuru watu wote walioweza kusaidiana nasi kwenye kukamilisha shindano hili. siku ya leo tunapenda kupeleka shukrani zetu kwa Hussein Pamba Kali-HPK kwa kuweza kushirikiana nasi na kuweza kufanikisha salama.
Ahsante

@hussein_pambakali @erick.majura @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @prosper_kiri @jkcomedian @monalisatz @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment

Kamal Steel Mr.Tanzania 2017 WINNER (Mshindi wa 3)
Hongera sana Noah Schembe Kai Tz kwa kuweza kushinda mshindi wa Tatu (3) kwenye shindano hili Pia kuwa mshindi wa Mr.Popular. Tunashukuru pia wadhamini wetu wote pamoja na mashabiki walioweza kujitokeza nchi nzima kwa ajili ya kuangalia shindano hili kubwa la Mr.Tanzania 2017. Ahasanteni sana

@erick.majura @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @prosper_kiri @jkcomedian @monalisatz @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson @andondile @noahschembe

Kamal Steel Mr.Tanzania 2017 WINNER (Mshindi wa 2)
Hongera sana Omary Lyombe kwa kuweza kushinda mshindi wa pili (2) kwenye shindano hili. Tunashukuru pia wadhamini wetu wote pamoja na mashabiki walioweza kujitokeza nchi nzima kwa ajili ya kuangalia shindano hili kubwa la Mr.Tanzania 2017. Ahasanteni sana

@martin_njessa @azamtvtz @monalisatz @jkcomedian @monalisatz @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson @andondile @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @prosper_kiri

Kamal Steel Mr.Tanzania 2017 WINNER
Hongera sana Erick Majura kwa kuweza kushinda shindano hili. Tunashukuru pia wadhamini wetu wote pamoja na mashabiki walioweza kujitokeza nchi nzima kwa ajili ya kuangalia shindano hili kubwa la Mr.Tanzania 2017. Ahasanteni sana

@erick.majura @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @prosper_kiri @jkcomedian @monalisatz @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson @andondile @mzeechilo1957

Mr. Tanzania 2017 WINNER
Hongera @erick.majura kwa kuwa mshindi wa Mr.Tanzania 2017, Taji hili limetoka kwa Nyakashi Norbet ambae alikuwa Mr. Tanzania 2002 na amekaa na taji hili kwa miaka 15 mpaka tulivokuja kumpata Eric Majura.
Hongera sana @erick.majura
@erick.majura @erick.majura
@noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @prosper_kiri @jkcomedian @monalisatz @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson @andondile @mzeechilo1957

#mrtanzania2017 Live on Azam Two from 10 pm

Kamal Steel Mr.Tanzania 2017 inaendelea...
Leo ndio siku tuliyouwa tunaisubiria kwa hamu sana, Ile fainali ya Mr.Tanzania 2017 imewadia. Je umeshanunua tiketi yako..? kama bado basi wahi sasa na ununue tiketi yako kwenye gym iliyoko karibu nawe.

@andondile @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @azamtvtz @monalisatz @jkcomedian @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson @obadiaokman @mussa0712 @myussuph @mrishowilinon

Zimebaki siku 2 tu kufikia Fainali za kamal Steel Mr.Tanzania 2017, Je umeshanunua tiketi yako..?
Wahi sasa tiketi ni chache, nunua kwa M-Pesa au tembelea gym iliyoko karibu nawe.

@andondile @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @azamtvtz @monalisatz @jkcomedian @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson

Kamal Steel Mr.Tanzania 2017 Boot Camp Day 1

Usisahau Kununua tiketi yako ya Fainali za Mr.Tanzania, Mr.Photogenic pamoja na Mr.Handsome 2017 ambayo itafanyika pale Mayfair Hotel Mikocheni siku ya Ijumaa Tarehe 15/12/2017.
Karibuni sana

@azamtvtz @monalisatz @jkcomedian @monalisatz @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson @andondile @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23 @prosper_kiri @richard_lupembe

Je unasubiri nini kununua tiketi yako sasa.
Wahi sasa ili ujipatie tiketi yako ya Fainali za Kamal Steel Mr.Tanzania 2017, Unaweza kununua kupitia Vodacom M-pesa au fika gym iliyoko karibu nawe ili kujipatia tiketi yako sasa.

@@monalisatz @bony_benard @richard_lupembe @pilipilientertainment @fike_wilson @andondile @noahschembe @obote_innah @obadiaokman @bodylinegymtz @aaronboka @sadoraja @hamza_hamzuu @shazzad_khan @aptmill @queenbert_kb @tonnytoledo23

Most Popular Instagram Hashtags