#zarithebosslady

28928 posts

TOP POSTS

wakati huu mgumu kinachotakiwa ni faraja sasa mnaosema mahaba msibani mlitaka @diamondplatnumz afanyaje sasa... Basi ilikua haina maana kuja msibani basi kama mlitaka #zarithebosslady awe analia mda wote mnafeli...Wabongo mnaudhi kaaah

cjui kwa nn huu msiba umenikumbusha msiba ulio mpata Mwanamziki maarufu duniani mwanamama CELINE DION alipo fiwa na mumewe baada ya wiki akafiwa na kaka kutoka tumbo 1. .
Sometimes we need to make a choice in life like kujitolea kuacha vile vitu ambavyo tunapenda saana ili tujuwe wapi tunakuwa tunakoseya while tukiwa ktk hali ya kutenda vile vitu.
.
My point is #zarithebosslady for the sake and respect of ur family jaribu kuacha social media for a while coz nimegundua unaabudu fame than what the rest of ur family feels or going through look back at your kids na ndugu zako b4 posting chochote kwa sasa coz unawaumiza tena saana.
.
Celine Dion alitoa taarifa ktk vyombo vya habari especially kwa mapaparazi (wambea waliyo kubuhuu) kuomba jamii inayo mzunguka kumpa privacy ili aweze kukaa ktk msiba ulio mkuta na jamii ilimuelewa wakakheshimu matakwa yake.
.
#zarithebosslady if leo unasimangwa if leo unatukanwa jua ni ww umeyataka coz sport light is on ur head so pls if ww umezowea mitusi kejeli masimango not ur Kids or family kindly pls put ur EGO DOWN respect them log out from the social media let them mourn in peace. Ebu tuliya ujuwe ur love one and ur haters coz mshika mawili 1 humponyoka. .
Team akiwaruhu kunichamba ( hashindwi) kindly do so coz hata nyinyi pia mnachangia kuiumiza familiya yake kwa kujifanya nyote ni ukoo wa Mzee Hassan na mnauchungu saana kuwaliko bila kujali au kuwa na huruma na damu ya Mzee Hassan mwenyewe.
.
R. I. P. Mama etu πŸ™πŸ™πŸ™

Don't loose hope everything is gonna be alright πŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ˜ God always has a plan @diamondplatnumz @zarithebosslady #zarithebosslady #diamondplatnumz #thechibuz #teamzarimondforever #teamzarimond

Good morning πŸ™πŸ˜˜ Wednesday #wcw #zarithebosslady #letgoandletGod #prayersformamazee

Ni mwendo wa mabusu tu hadharani busu la mpenzi tamu jaman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ naona hicho ndo kilichompandisha ndege mond kutoka Tanzania kwenda Uganda hongereni kwa kufiwa jaman Mungu awaongeze na mcba mwingine mzidi kuoneshana mapenzi moto moto mcban af #zarithebosslady Leo umesahau zile kofia zako unavaaga mcban nyeuci zenye manyoa ya kuku na gloves nakukumbusha au kama kuna mtu huku insta anauza zile kofia aniletee kama mbili jaman nataka nimchukulie zari ya kijani na ya orange

Major throwback.Woman Crush Monday,Unbothered zee
#mompreneur
#zarithebosslady

MOST RECENT

You are strong nd amazing dearπŸ™πŸΌ Love u to bits❀️May Mamaa's lovely soul rest in Jannah ameenπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ #zarithebosslady

Keep being strong queenπŸ™πŸΌ Allah is in controlπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ #zarithebosslady #zaridiamondforever

In laws are part of the family πŸ˜πŸ˜πŸ™‹πŸ™πŸ™ they celebrate together and they mourn together πŸ™πŸ™ God be with you all #diamondplatnumz #bossmutoto #zarihassan #zarithebosslady #teamzarimond #teamzarithebosslady #teamdiamondplatnumz #teamzarimond

Ni mwendo wa mabusu tu hadharani busu la mpenzi tamu jaman πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ naona hicho ndo kilichompandisha ndege mond kutoka Tanzania kwenda Uganda hongereni kwa kufiwa jaman Mungu awaongeze na mcba mwingine mzidi kuoneshana mapenzi moto moto mcban af #zarithebosslady Leo umesahau zile kofia zako unavaaga mcban nyeuci zenye manyoa ya kuku na gloves nakukumbusha au kama kuna mtu huku insta anauza zile kofia aniletee kama mbili jaman nataka nimchukulie zari ya kijani na ya orange

R I P mama #zarithebosslady

Baba mzazi wa #zarithebosslady akisalimiana na mkwewe @daimond

@Regrann from @dumientuli_2 - Thank you πŸ™πŸ™πŸ˜πŸ˜ @diamondplatnumz I'm happy to see your supporting to @zarithebosslady sometimes we get confused with regards of the stories that goes around God will protect both of you and seek guidance through this trying time πŸ™πŸ™πŸ˜πŸ˜ #diamondplatnumz #zarithebosslady #wcbwasafidiehardfans #wasafi #teamzarimond #teamzarimondforever #teamdiamondplatnumz #teamzarithebosslady - #regrann

Don't loose hope everything is gonna be alright πŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ˜ God always has a plan @diamondplatnumz @zarithebosslady #zarithebosslady #diamondplatnumz #thechibuz #teamzarimondforever #teamzarimond

Thank you πŸ™πŸ™πŸ˜πŸ˜ @diamondplatnumz I'm happy to see your supporting to @zarithebosslady sometimes we get confused with regards of the stories that goes around God will protect both of you and seek guidance through this trying time πŸ™πŸ™πŸ˜πŸ˜ #diamondplatnumz #zarithebosslady #wcbwasafidiehardfans #wasafi #teamzarimond #teamzarimondforever #teamdiamondplatnumz #teamzarithebosslady

@Regrann from @babutale - Last night msibani nikimsikiliza mfiwa. Mungu akupe nguvu Mama T @zarithebosslady katika kipindi hiki kigumu - #regrann #zarithebosslady #wasafi #diamondplatnumz #teamzaridiamondforever #teamzarimondforever #teamzarimond #teamzarithebosslady

wakati huu mgumu kinachotakiwa ni faraja sasa mnaosema mahaba msibani mlitaka @diamondplatnumz afanyaje sasa... Basi ilikua haina maana kuja msibani basi kama mlitaka #zarithebosslady awe analia mda wote mnafeli...Wabongo mnaudhi kaaah

King n Queen #zarithebosslady @diamondplatnumz #diamondplatnumz πŸ‘‘πŸ‘Έ

Most Popular Instagram Hashtags