#yangasc

MOST RECENT

Tetesi za Usajili nchini Kenya zinadai kuwa klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga) wanamfuatilia kwa ukaribu mchezaji kiungo wa AFC Leopards, Whyvonne Isuza ambaye amekuwa kwenye kiwango bora msimu huu.

Isuza is Leopards' top scorer in the league with nine goals, two behind Elvis Rupia who is the league top scorer. Hi

#spotispesho #kiungomkabaji #rajuunially #vpl #tanzania #kenya #soccer #njombe #sports#yangasc

#BreakingNEWS: NJOMBE MJI YASHUKA DARAJA RASMI.

Baada ya Simba kuchukua ubingwa wa #VPL 2017/18 wakiwa 'kwenye makochi', na leo hii Njombe Mji wameshuka daraja rasmi wakiwa 'kwenye makochi', kutokana na matokeo ya ushindi wa mabao 3-0 iliyoupata Ndanda SC, dhidi ya Mwadui FC, kwenye mchezo uliomalizika hivi punde, Nangwanda Sijaona, Mtwara.
:
#Transfer #bm #TransferCentre #mpogole #Liveblog #bm #news #Features #mpogole #yangasc #DoneDeals #Teams #bm #PaperTalk #mpogole #Rumours #bm #epl #vpl #mpogole #premieleague #brainmpogole #simba #brain #bm #laliga #seriea #bm #mpogole #yangasc #bundesliga #ligue1 #messi #mpogole #yanga #bm #vpl #ronaldo #mpogole #cr7 #bm #football #mpogole #simbasc #yangasc #simbasc

#OFFICIAL: Bayer Leverkusen imemsajili Golikipa wa kimataifa wa Finland Lukas Hradecky(28) kutoka Eintracht Frankfurt, Hradecky ameingia saini ya mkataba wa miaka mitano mpaka mwaka 2023.
:
#Transfer #bm #TransferCentre #mpogole #Liveblog #bm #news #Features #mpogole #yangasc #DoneDeals #Teams #bm #PaperTalk #mpogole #Rumours #bm #epl #vpl #mpogole #premieleague #brainmpogole #simba #brain #bm #laliga #seriea #bm #mpogole #yangasc #bundesliga #ligue1 #messi #mpogole #yanga #bm #vpl #ronaldo #mpogole #cr7 #bm #football #mpogole #simbasc #yangasc #simbasc

Nyota wa Brazil, Neymar ameanza mazoezi rasmi na timu ya taifa ya Brazil maandilizi ya fainali za kombe la Dunia Russia 2018.
Neymar alikuwa nje tangu Mwezi February alipoumia wakati akiitumikia Klabu yake PSG kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa 16 bora ya #UCL dhidi Real Madrid.
:
#Transfer #bm #TransferCentre #mpogole #Liveblog #bm #news #Features #mpogole #yangasc #DoneDeals #Teams #bm #PaperTalk #mpogole #Rumours #bm #epl #vpl #mpogole #premieleague #brainmpogole #simba #brain #bm #laliga #seriea #bm #mpogole #yangasc #bundesliga #ligue1 #messi #mpogole #yanga #bm #vpl #ronaldo #mpogole #cr7 #bm #football #mpogole #simbasc #yangasc #simbasc

Mikel Arteta amepanga kufanya mazungumzo ya mkataba mpya na Manchester City kufuatia kushindana maslahi na Klabu ya Arsenal kuwa Kocha Mkuu.
:
Source: The Daily Telegraph.
:
#Transfer #bm #TransferCentre #mpogole #Liveblog #bm #news #Features #mpogole #DoneDeals #Teams #bm #PaperTalk #mpogole #Rumours #bm #epl #vpl #mpogole #premieleague #brainmpogole #simba #brain #bm #laliga #seriea #bm #mpogole #bundesliga #ligue1 #messi #mpogole #yanga #bm #vpl #ronaldo #mpogole #cr7 #bm #football #mpogole #yangasc #simbasc

Most Popular Instagram Hashtags