[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#wcb_tweets

1264 posts

TOP POSTS

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya muziki ya @wcb_wasafi @Rayvanny, ni wiki kadhaa tangu kukutana kwake na Staa wa ngoma ya ‘Swalla’ kutoka Marekani @JasonDerulo katika msimu mpya wa awamu ya tano wa Coke Studio nchini Kenya na sasa wamekutana tena Studio kukutanisha sauti zao katika kazi ya pamoja.
Kwa mujibu wa picha, imeonekana tayari wawili hao wameimgia studio kufanya kazi ambapo katika kuhakikisha hiko linakamilika meneja wa shughuli za kimuziki wa lebo hiyo Hamis Tale Tale a.k.a @BabuTale ameonekana kuwa sambamba katika hilo.
Hata hivyo Rayvanny kwa mfululizo huo wa matukio makubwa huko Marekani ni dalili tosha kuwa kiwango cha muziki wake kinazidi kupanda kwakuwa hii ni mara baada ya kutia kibindoni tuzo yake ya ‘Best International Viewers Choice Award’ BET Awards 2017. powered by #wcb_tweets

@DiamondPlatnumz has become a household name in and across Africa. Nasib Abdul, his real name, made his debut in the music industry back in the day with the song Kamwambie. He would later release another hit song Mbagala that hit across East Africa.

Today, Diamond is among the most celebrated artstes we have in the world. Platnumz recently did the Nyashinski Challenge: he dropped two songs at a go Those Are #Fire ft @tiwasavage And #IMissYou All Available Link On My Bio #wcb_tweets

Staa wa muziki wa Bongo Fleva,
Naseeb Abdul a.k.a @DiamondPlatnumz
amesimulia kugongana kwa wazo la
uandishi wa ngoma yake ya ‘I miss
You’ na wimbo wa ‘Hello’ wa Staa wa
Uingereza @Adele.
Akizungumzia sababu zilizochangia
kuchelewa kutoka wa wimbo huo wa ‘I
miss You’ Diamond amesema kuwa
akiwa nchini Italia baada ya kusikiliza
wimbo mkubwa wa Hello wa Adele
aligundua kufanana kwa mwanzo wa
ngoma hiyo na matumizi ya neno la
‘HELLO’ hali ambayo ilimpa hofu ya
kuhisi kuwa atakapoachia wimbo huo
ataonekana kuwa alitumia wazo la mtu.
“wakati nimeandika hii nyimbo ninayo
ndani…mimi nimesafiri nimeenda Italy,
mara ya kwanza nasikia ile nyimbo ya
Adele ile ya Hello nilikuwa niko na
meneja @Sallam_sk …nikapagawa, nikasema
mbona huyu kaimba kama mimi
nilivyoanza mwanzo alafu nyimbo
ninayo ndani!?. Nafikiri hiyo pia
ilichangia nyimbo isitoke nisije
kuonekana nimemuiga huyu…
kwasababu sometime idea
zinagongana” Alisema Diamond
Platnumz.
Hata hivyo Diamond ameitaja ngoma
ya ‘I miss you’ kuwa ni ngoma ambayo
iliandika kwa hisia sana ambapo wazo
la wimbo huo alilipata akiwa safarini.
powered by #wcb_tweets

I think @ChibuPerfume instagram Account has An Exclusive for You.... Follow the Account to be the Witness Now!! @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve
(Inaonekana akuna balaa zito linataka kudondoshwa kwenye akaunti ya @ChibuPerfume Hebu iffollow uwe mtu wa Kwanza Kushuhudia Balaa hilo.... @ChibuPerfume @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve 📸 @lukambaofficial #wcb_tweets

#VIDEO @rayvanny Akicheza Basketball Na @jasonderulo Nyumbani Kwake Derulo
powered by #wcb_tweets

Hayo Mashauzi vepee..Hilo Party vepee.. Hizo Picha Na Tuzo vepee #betawards17 Allah Atufikishe ..pia Siku Haijatangazwa Rasmi cz Mwez haujaonekana Ukiwahi Airport Kabla Ya Mwez Kuonekana Eti Kisa Umeonekana Pakistan.. Utavuna Mabua 😂😂😂 Full Interview Ipo Kwa Bio Ya Mtu Wako Wa Nguvu @MillardAyo #wcb_tweets Enjoy

Pamoja Tutashinda Umoja wetu Ndio Msingi Mkuu Wa Mafanikio @rayvanny Bring Back Our Trophy All East Africa Eyes On You God Bless U 🙏🙏🙏 supported by #wcb_tweets @bet_intl @betawards @bet_africa

MOST RECENT

I think @ChibuPerfume instagram Account has An Exclusive for You.... Follow the Account to be the Witness Now!! @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve
(Inaonekana akuna balaa zito linataka kudondoshwa kwenye akaunti ya @ChibuPerfume Hebu iffollow uwe mtu wa Kwanza Kushuhudia Balaa hilo.... @ChibuPerfume @ChibuPerfume #TheScentYouDeserve 📸 @lukambaofficial #wcb_tweets

#VIDEO @rayvanny Akicheza Basketball Na @jasonderulo Nyumbani Kwake Derulo
powered by #wcb_tweets

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka lebo ya muziki ya @wcb_wasafi @Rayvanny, ni wiki kadhaa tangu kukutana kwake na Staa wa ngoma ya ‘Swalla’ kutoka Marekani @JasonDerulo katika msimu mpya wa awamu ya tano wa Coke Studio nchini Kenya na sasa wamekutana tena Studio kukutanisha sauti zao katika kazi ya pamoja.
Kwa mujibu wa picha, imeonekana tayari wawili hao wameimgia studio kufanya kazi ambapo katika kuhakikisha hiko linakamilika meneja wa shughuli za kimuziki wa lebo hiyo Hamis Tale Tale a.k.a @BabuTale ameonekana kuwa sambamba katika hilo.
Hata hivyo Rayvanny kwa mfululizo huo wa matukio makubwa huko Marekani ni dalili tosha kuwa kiwango cha muziki wake kinazidi kupanda kwakuwa hii ni mara baada ya kutia kibindoni tuzo yake ya ‘Best International Viewers Choice Award’ BET Awards 2017. powered by #wcb_tweets

You Can Listen #MarryYou by @diamondplatnumz ft @neyo Through @deezer Also Audio Available On @wasafidotcom only #wcb_tweets

Thanks @Speed969Fm #FireDt by @diamondplatnumz ft @tiwasavage Link On My Bio #wcb_tweets Enjoy

@DiamondPlatnumz has become a household name in and across Africa. Nasib Abdul, his real name, made his debut in the music industry back in the day with the song Kamwambie. He would later release another hit song Mbagala that hit across East Africa.

Today, Diamond is among the most celebrated artstes we have in the world. Platnumz recently did the Nyashinski Challenge: he dropped two songs at a go Those Are #Fire ft @tiwasavage And #IMissYou All Available Link On My Bio @wasafidotcomsoldier #wcb_tweets

#InternationalViewersChoiceAward Held By @rayvanny From Tanzania @rayvanny Made East Africa History A First Artist To Win @betawards 2017 #wcb_tweets Cc. @RadioCitizenFm

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amempongeza msanii wa kizazi kipya @Rayvanny kwa kushinda tuzo ya BET. #betawards17 International Viewer's Choice Award powered by @wasafidotcomsoldier #wcb_tweets

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amempongeza msanii wa kizazi kipya @Rayvanny kwa kushinda tuzo ya BET. #betawards17 International Viewer's Choice Award powered by @wcb_tweets #wcb_tweets

Thanks @97FmRadiocity From Uganda for Support On #Fire by @diamondplatnumz ft @tiwasavage Link On Bio #wcb_tweets Enjoy

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amempongeza msanii wa kizazi kipya @Rayvanny kwa kushinda tuzo ya BET. #betawards17 International Viewer's Choice Award powered by @wcb_tweets #wcb_tweets

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amempongeza msanii wa kizazi kipya @Rayvanny kwa kushinda tuzo ya BET. #betawards17 International Viewer's Choice Award powered by #wcb_tweets

@DiamondPlatnumz – Fire ft. @TiwaSavage. After scoring more fans with his record dubbed Marry You which features International star, Ne-Yo, the Tanzanian Bongo Flava king, @DiamondPlatnumz scores this new one titled Fire. Fire features Mavin records diva, @TiwaSavage. Hopefully, this will be a chart topper, download Through @wasafidotcom only #wherehitsbelong supported by #wcb_tweets Video Link On My Bio

@DiamondPlatnumz has become a household name in and across Africa. Nasib Abdul, his real name, made his debut in the music industry back in the day with the song Kamwambie. He would later release another hit song Mbagala that hit across East Africa.

Today, Diamond is among the most celebrated artstes we have in the world. Platnumz recently did the Nyashinski Challenge: he dropped two songs at a go Those Are #Fire ft @tiwasavage And #IMissYou All Available Link On My Bio @wasafidotcomsoldier #wcb_tweets

@DiamondPlatnumz has become a household name in and across Africa. Nasib Abdul, his real name, made his debut in the music industry back in the day with the song Kamwambie. He would later release another hit song Mbagala that hit across East Africa.

Today, Diamond is among the most celebrated artstes we have in the world. Platnumz recently did the Nyashinski Challenge: he dropped two songs at a go Those Are #Fire ft @tiwasavage And #IMissYou All Available Link On My Bio @wasafidotcomsoldier #wcb_tweets

@DiamondPlatnumz has become a household name in and across Africa. Nasib Abdul, his real name, made his debut in the music industry back in the day with the song Kamwambie. He would later release another hit song Mbagala that hit across East Africa.

Today, Diamond is among the most celebrated artstes we have in the world. Platnumz recently did the Nyashinski Challenge: he dropped two songs at a go Those Are #Fire ft @tiwasavage And #IMissYou All Available Link On My Bio #wcb_tweets

Most Popular Instagram Hashtags