[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#vyakulavizuri

MOST RECENT

@Regranned from @sherry_kitchen - JUICE
MAHITAJI
EMBE MBIVU 1
NANASI 1
NDIZI MBIVU 2
TANGAWIZI KIASI
SUKARI KIASI
MAJI

MATAYARISHO
saga fruits zote na tangawizi kwenye blender (usisahau kuvimenya). Halafu Weka kwenye bakuli kubwa, tia maji na sukari. Mix vizuri onja sukari kama iko sawa. Ichuje tia barafu tayari kwa kunywa.
Ni tam sana.

Usisahau ku like na comments zenu ni muhimu sana kwetu.
#vyakulavizuri #mapishi_yetu #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu #mapishi #juice #fruits # - #regrann

@Regranned from @sherry_kitchen - MANGO LASSI

MAHITAJI
Mango pulp 1 cup
Mtindi (natural yorgut) 1 cup
Maziwa (milk) 1/2cup
Sukari (sugar) 3 tbls
Hiliki (cardamon powder)1/4 tsp

JINSI YA KUTENGENEZA
Weka vitu vyote kwenye blender saga mpaka vichanganyike
Unaweza kuongeza sukari kwa testy yako weka barafu au weka kwenye fridge ipate baridi
Nzuri sana utajiramba😃😋 Enjoy
Mango pulp ni embe ilosagwa nzito so kama huna unaweza kutengeneza kwa embe ilowiva vizuri iwe haina manyuzi unatowa maganda than unasaga kwa blender

#mapishi #vyakulavizuri #ndombolo #mapishiyetu #chakulachema #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu #mangolassi #juice #mango # - #regrann

FIRIGISI ZA KUKU (CHICKEN GIZZARD )
Firigisi za kuku 1 kg
Kitunguu saumu 1tbsp
Tangawizi mbichi 1 tbsp
Chumvi kiasi
Bizari nyembamba ( cumin powder ) 1 tbsp
Pilipili manga 1 tsp
Bizari ya mchuzi ( tumeric ) kiasi
Pilipili ya kuwasha ( ukipenda )
Pilipili boga ( capsicum ) 1
Ndimu /limau 1
Mafuta ya kupikia 3 tbsp
Kosha firigisi(ziwe zimeshatengenezwa) zitie kwenye sufuria ,tia chumvi, kitunguu saum na tangawizi mbichi, weka kwenye moto wacha yachemke kwa dakika 5-7 , baada ya hapo tia maji kiasi (vikombe 2 ) na spices zote, wacha yachemke mpaka karibu na kukauka kata kata pilipili boga ndogo ndogo zitie ,pilipili ya kuwasha pamoja na mafuta ya kupikia , weka moto mdogo mdogo kwa dakika nyengine 5 mpaka 10,yakauke vizuri kamua ndimu au limau tia wacha kidogo , epua na ENJOY. *ukipenda unatia na carrots,
*Unaweza kuengeza spices unazopenda.
WATAG NA WENZAKO PIA
#jifunzemapishi#jifunzekupika #misosi #chakula #mafirigisi #mafirigisiyakuku #vyakulavitamu #vyakulavizuri - #regrann
. .

balfin weka oda yako ka #vyakulavitamu #vyakulavizuri

@Regrann from @jifunze_mapishi - MAFIRIGISI YA KUKU (CHICKEN GIZZARD )
Mafirigisi nusu kg
Kitunguu maji 1
Kitunguu saumu 1tbsp
Tangawizi mbichi 1 tbsp
Chumvi kiasi
Pilipili manga kiasi
Pilipili boga 1
Tomato puree 3 tbsp
Bizari nyembamba ( cumin ) 1 tbsp
Curry powder 1 tsp
Pilipili ya kuwasha ( ukipenda )
Ndimu / limau 1
Mafuta ya kupikia 3 tbsp
Yatengeneze vizuri mafirigisi, Yakoshe vizuri, yatie kwenye sufuria, na chumvi, cumin, pilipili manga, kitunguu saum, tangawizi mbichi, curry Powder, wacha yachemke kwa dakika 2 mpaka 3 yatie maji kiasi (vikombe 2 ) wacha yachemke, yawive na yakauke maji, (bakisha supu yake kidogo sana, epua yatie kwenye chombo.
Iweke tena sufuria kwenye moto, kaanga Vitunguu maji na pilipili boga mpaka viwive kiasi, tia maggi soup /kidonge cha supu (si lazima) ,tia tomato puree, endelea kukoroga kwa mda mdogo tu kamua limau au ndimu utie, wacha kwa muda ukisubiri vichanganyike (dakika 1 au 2 ) tia yale mafirigisi na supu yake pamoja na pilipili ya kuwasha ukipenda. Funika wacha na mdogo mdogo kwa dakika kama3-5 ,yakoroge vizuri, epua na ENJOY 😋 kwa chapati au hata wali. *Unaweza kubakisha na supu kiasi unachopenda ili iwe na rojo jingi.
#chakula#misosi #jifunzemapishi #jifunzekupika #tanzania #zanzibar #vyakulavizuri #vyakulavitamu #kiburudisho #mafirigisi - #regrann

Make it a Tz night as you get to order a hot bowl of beef stew, goat stew or chicken stew with rice from Kruz In Park Restaurant for only Tsh 5,000
#dinnertime🍴 #familytime #dinnerathome #mealsonwheels #orderfoodonline #yummy #delight #beef #chicken #goat #stew #delicious #food #vyakulavizuri #instagood #instalike #jumiafoodtz #sunday #sundaydelight #instapic #tz #localcuisine #homely #foodporn #foodie

@Regrann from @jifunze_mapishi - ANDAZI LA SUKARI
simple
Unga wa ngano vikombe 2
Sukari 4tbsp au zaidi ukipenda
Hamira 1 tbsp
Maziwa nusu kikombe
Iliki 1 tsp
Yai 1
Ufuta (sesame seeds ) kiasi ila sio lazima pia

Maziwa yawe ya uvuguvugu,

Tia maziwa kwenye bakuli pamoja na hamira,wacha hamira iyayuke au ikoroge, tia sukari, iliki na kiini cha yai (ute weka pembeni ) , changanya kidogo, anza kutia unga wa ngano kidogo kidogo huku unachanganya, mpaka unga unamaliza, unaweza kuengeza maziwa yakihitajika, mpaka unga unakua donge kiasi la kukandika , kanda unga mpaka unalainika,
Chukua sufuria au trey ipake mafuta ya kupikia kidogo, ugawe unga wako madonge 4, fanya shape unayopenda panga kwenye trey au sufuria, chukua ute wa yai koroga tumia brush kupaka juu ya andazi ulilokwishalitia kwenye trey na unyunyizie ufuta juu ukipenda , wacha andazi liumuke mara 2 zaidi ya lilivyo ,bake kwa mkaa au oven kwa moto wa kiasi mpaka linawiva,inategemea na ukubwa au udogo wa sufuria au trey yako, mm nimetumia sufuria dogo limejaa nimeweka moto 150°c kwa dakika 40. Baada ya hapo litoe uangalie kama limewiva ENJOY na chai.

WATAG WALE WOTE UNAOPENDA WASIPITWE HAPA LEO.
NOTE.sukari ikipitiliza sana kiasi inasababisha andazi liumuke, hivyo weka sukari kiasi au ukiengeza sana hakikisha na unga na vipimo vyengine unazidisha.
#andazi #chakula #misosi #jifunzemapishi #jifunzekupika #tanzania #zanzibar #vyakulavizuri vitam #Regrann

: Ndizi zenyewe bei juu, mchele umepanda balaa, viazi ndo usiseme sasa kwa sisi tunaokula unga wa Donna tunafanyaje dah!! Wanaokula sembe endeleeni itawatokeeni pabaya, itawatokeeni puani!!
Na wale wenye tabia ya kwenda kula mzigo/mizigo inabidi muanze kula jeuri yenu maana mzigo ni laana!!
#mzigo #mzigompya #mzigoni #mchele #viazi #unga #takbir #china #intanzania #shekheanawajua #kipozeo #beijuu #vituvimepandabei #vyakula #vyakulavyetu #vyakulavizuri #vyakulavitamu #msosi #ugalidona #ugalisembe #mashati #mashatikutokachina #unga

MANGO AND YOGURT DESSERT
MAHITAJI
Plain yogurt (maziwa mgando/mtindi) kikombe 1
Embe mbivu 2
Sukari 2 tblsp

MATAYARISHO
Menya (peel) embe kata vipande vidogo vidogo. Ni vizuri kutafuta embe zilokuwa hazina nyuzi nyuzi.

Weka kwenye blender pamoja na yogurt na sukari. Saga mpaka embe zisagike vizuri. Onja kama sukari inatosha kwa taste yako.

Tayari kwa kuliwa iweke kwenye friji ule ukisikia joto. Au weka kwenye freezer ina taste kama icecream. Iko easy kutengeneza na very delicious, utapenda.

Usisahau ku like na ku comment

#mapishi #vyakulavizuri #ndombolo #mapishiyetu #chakulachema #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu #cooking #yogurt #mango

BAMIA LA KUKAANGA
MAHITAJI
bamia kiasi
Carrots 2 (chopped)
Kitunguu maji 1 ( chopped )
Kitunguu thaum 1tsp
Nyanya ( tomatoes ) 3 kubwa ( chopped )
Chumvi kiasi
Mafuta ya kupikia 4 tblsp

MATAYARISHO
Kata bamia size unopenda, kwenye dish weka bamia kitunguu maji na mafuta. Weka kwenye jiko kaanga kwa muda wa dakika 5.

Tia carrots na kitunguu thaum kaanga kwa dakika 2 halafu weka nyanya na chumvi wacha ziive mpaka mafuta yajiachie, usiache kukorogo kila baada ya muda.

Mafuta yakisha kujiachia unaweza kuyatowa . Onja chumvi kama iko OK tayari kwa kuliwa.

Hii bamia ni perfect kwa ugali na very nice kwa wali halafu ni rahisi kupika hasa kama ni mtu wa busy kama mie.

Mtag yule alokuwa busy au mwanafunzi au mpenda ugali na wali.

ENJOY 😃. #mapishi #vyakulavizuri #ndombolo #mapishiyetu #Regrann

MCHUZI WA PWEZA WA NAZI

MAHITAJI
Pweza mmoja mdogo(kama mkubwa nusu)
Tungule/nyanya(tomato) 1 chopped
Kitunguu maji 1
Mbatata(potatoes) 3 zikate
Carrot 1
Pilipili hoho (mix pappers) 1/2
Tui la nazi (coconut milk) kiasi
Mafuta 5tbsp
Bizari manjano 1/2 tsp
Bizari nzima (cummin powder) 1/2tsp
Chumvi kiasi
Tangawizi 1/2 tsp
Kitunguu saum (garlic paste) 1/2 tsp
Ndimu (lemon juice) 2 tbsp
kitmiri(corriander leaves) kiasi
JINSI YA KUTENGENEZA
Mkate pweza mkoshe mueka garlic ,tangawizi ,chumvi na cummin powder mchemshe akikaribia kuiva weka mbatata chemsha pamoja mpaka ziwive na zikauke maji yote

Kwenye pan weka mafuta kaanga vitunguu mpaka vikilainika tia carrot na mix pappers kaanga kidogo than weka tungule mpaka zilainike weka bizari ya manjano than mtie pweza na mbatata changanya vizuri weka tui la nazi (kiasi cha kufunika pweza au kiasi unachotaka uchuzi wako uwe) wacha vichemke kidogo tia ndimu than test size yako ya chumvi (usiache ukauke sana coz ukipoa utazidi kukauka)
Ukimaliza tia corriander
Enjoy na mikate ,wali au chochote

#mapishi #vyakulavizuri #ndombolo #mapishiyetu #chakulachema #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu #mapishi #chips #rice #kabab #biriyan #vegy #octopus #curry

Ukimaliza usisahau kulike❤ na kutag unaowapenda na wao wafaidike😀

Assalam alykum
TUMEPOKEA MAOMBI MENGI KUHUSU HII BURIANI. RECIPE NI HIO APO

BIRIANI YA NYAMA
MAHITAJI
Nyama 3/4 kg
Tungule (tomato) 2 1/2 kubwa
Vitunguu 7 (chopped)
Mbatata 3 zikate
Tungule ya kibati (tomato puree) 2tblsp
Natural Yogurt 1 cup
Tangawizi 1 tsp
Kitunguu saum 1 tsp
Bizari nzima(cummin powder) 1tbsp
Masala ya biriani(garam masala) 1 tbsp
Mdalasini 1 tbsp
Hiliki 1/2 tsp
Chumvi kiasi
Sukari 1 tsp
Soy sauce 1 tsp
Mafuta 3/4 cup
Samli 1tblsp

Mchele 3 cups
Rangi ya orange kiasi tia na maji kidogo
Zafarani(safron) kiasi roweka kwenye maji 2 tbsp
Samli 1tbsp
Chumvi
JINSI YA KUTENGENEZA
Kaanga vitunguu kwa mafuta na 1tbsp samli mpaka viwe rangi ya golden brown visiungue weka pembeni
Roweka mchele kwa 1hr
Ikate nyama kosha itie yogurt,chumvi,tangawizi,saum ,soy sauce ,bizari nzima na mdalasini nusu kijiko each ichemshe mpaka iwive iwe laini (unaweza kuitia maji kama haijawiva kwa yogurt tu) iwache maji yote yakauke tia mafuta ulokaangia vitunguu 3/4 cup,saga tungule kwa blender zitie kwenye nyama na zile spices zilobakia na tomato puree na mbatata weka moto mdogo mpaka mbatata ziwive pia unaweza kueka maji kidogo kama hazijawiva, uwe unakoroga rost lisigande chini ,usiache mpaka likakauka sana tia vitunguu (bakisha kama 1/2cup vitunguu kwa wali) vikichanganyika vizuri weka pembeni
Chemsha maji ya wali tia chumvi na samli tia mchele wacha uchemke mpaka uwive half mwaga maji, kwenye sufuria ulopikia wali weka rosti kidogo chini mimina wali nusu than weka vitunguu ulobakisha malizia wali ulobaki juu nyunyiza rangi na zafarani than toa mafuta kwenye rost kama 2tbsp utie kwenye wali
Funika weka kwenye oven ukikauka towa
Enjoy na salad

#mapishi #vyakulavizuri #ndombolo #mapishiyetu #chakulachema #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu #mapishi #chips #rice #biriani #

MAANDAZI YA CUSTARD
MAHITAJI
unga wa ngano 1/2 kg
Hamira 2 tsp
Sukari 100 gm
Maziwa ya maji 100ml
Chumvi 1/2 tsp
Maji 1/2 kikombe
Yai 1
Butter 100gm
Unga wa Custard 2tblsp
Mafuta ya kupikia

MATAYARISHO
Changanya unga wa ngano, unga wa custard, hamira (hamira unaweza kuiroweka kabla ya kuchanganya) chumvi, sukari na butter pamoja mpaka ichanganike vizuri.

Piga yai na maziwa pamoja mpaka yai lichanganyike na maziwa. Halafu tia kwenye unga changanya.
Tia maji kidogo kidogo mpaka uwe donge laini. Si lazima utumie maji yote na kama kidogo ongeza. Ukande unga kwa dakika 15.
Ufunike uwache uumuke. Ukiwa tayari kata size unopenda. Yaweke tena yaumuke. Halafu choma kwa mafuta.

Yakiiva yachuje mafuta yaache yapowe. Ukipenda saga sukari unyunyize juu yake.

Tayari kwa kuliwa na chai ya maziwa. Yaani ni matamu sana. 😃😃. Usisahau ku like na ku comment please. Tunawapenda nyote.

#vyakulavizuri #mapishi_yetu #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu#mapishi #bread #egg #eggs #tanzania #vyakulavyetu #mapishi #juice #fruits #key #chin #funny #men #paris #party #mombasa #mombasaraha #worldwide #party #pie #statue

CHOCOLATE BANANA CAKE (Bila kutumia mashine)

MAHITAJI
Unga 1 cup (usikijaze mpaka juu)
Cocoa powder 1/3 cup (unsweetened)
Sukari 1 cup
Baking powder 3/4 tsp
Baking soda 3/4 tsp
Chumvi 1/4 tsp
Yai 1 kubwa
Ndizi mbivu 1 kubwa (2 ndogo)
Mafuta ya kupikia 1/4 cup
Maji 1/2cup (warm)
Maziwa 1/4 cup
Vanilla 1 tsp
Nutella (au chocolate yoyote unayoweza kupaka juu)

JINSI YA KUTENGENEZA
Washa oven 180°c
Ipake trayer siagi (nimetumia loaf pan)
Kwenye bakuli kubwa changanya vitu vikavu vyote ,unga, cocoa, sukari, b.soda, b.powder na chumvi vikoroge vichanganyike vizuri
Chukua bakuli jengine lipige yai lako vizuri , vuruga ndizi sehemu kwa kutumia uma (fork) than itie kwenye yai ,tia maji, mafuta, maziwa na vanilla changanya vizuri than mimina kwenye mchanganyiko wa unga uchanganye pamoja (mchanganyiko utakua majimaji hautokua kama keki ya kawaida)
Tia kwenye trayer uchome kwa oven 180°c kwa dakika 45 -50 au mpaka ukitia kijiti katikati kitoke kikavu
Itowe isubiri ipowe ipake chocolate juu
ENJOY TAMU HATARI
USISAHAU KULIKE NA KUTAG WANAOPENDA KEKI
#mapishi #vyakulavizuri #ndombolo #mapishiyetu #chakulachema #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu #mapishi #chips #rice #Regrann

- MCHUZI WA NYAMA YA KUSAGA WA CURRY
MAHITAJI
Nyama ya kusaga 1/2 kg
Curry powder (simba mbili) 2 tblsp
Kitunguu maji 1 kikubwa
Kitunguu thaum 1 tsp
Pilipili ya unga ukipenda
Tangawizi mbichi 1tsp
Mafuta ya kupikia 2 tblsp
Chumvi kiasi
Tomato puree 2 tblsp
Nyanya (tomatoes) 3 kubwa( chopped)
Njegere (peas) 1 kikombe

MATAYARISHO
Weka nyama kwenye bakuli pamoja na curry powder, kitunguu thoum, tangawizi na pilipili ichanganya kwa mwiko mpaka viungo vienee vizuri.
Iweke pembeni iendelee kukolea

Weka dish kwenye jiko, moto wa kati kaanga vitunguu mpaka viwe laini visiwe vyekundu. Tia nyanya pika mpaka zilainike halafu tia tomato puree. Pika tena kwa dakika kama 5.

Tia nyama mix na roast la nyanya kwa dakika 2-3 halafu tia maji kikombe 1 na 1/2 pamoja na chumvi wacha nyama iwive kwa dakika kama 5.
Halafu tia njegere kama maji yamekauka ongeza kidogo wacha njegere ziwive onja kama kila kitu kiko sawa.

Tayari kwa kuliwa na wali. Hii sause iko so easy unaweka wali kwenye rice cooker wali ukimaaliza na sauce limemaliza. ENJOY😃. Tag wale wenye busy life, watoto wadogo ama mabechula😃😃. #vyakulavizuri #ndombolo #mapishiyetu #chakulachema #kenya #uganda #tanzania #vyakulavyetu #mapishi #

@Regrann from @jifunze_mapishi - POTATO & CHEESE BALLS
Viazi mviringo 3 vya kiasi
Mixed vegetables nusu kikombe
Grated cheese nusu kikombe
Chumvi
Kitunguu saumu 1tsp
Tangawizi mbichi 1 tsp
Pilipili manga kiasi
Pilipili boga
Pilipili ya kuwasha
Bread crumbs nusu kikombe
Yai 1
Bizari nyembamba ( cumin ) 1 tsp
Chemsha viazi na vegetables mpaka viwive, mwaga maji viponde mpaka viwe laini vyote, add chumvi, kitunguu saum, tangawizi, pilipili ya kuwasha, pilipili manga, bizari nyembamba, ukipenda na ndimu 1, changanya vizuri tia cheese (nimetumia mozarella )unaweza kutumia nyengine uliyonayo, changanya vizuri, kata kata pilipili boga uchanganye pia,

Fanya balls (viduwara) vya kiasi mpaka unamaliza, tia mafuta kwenye pan weka kwenye moto,
Chukua potato cheese balls zako zipake mayai, then zipake bread crumbs zote na weka pembeni,
Mafuta yawe na moto mdogo wa kiasi, yakipata tu zichome uwe unazigeuza mpaka ziwe na rangi ya brown, zitoe zitie kwenye sahani na ENJOY 😋 kwa sauce yoyote. *sio lazima kuweka mixes vegetables
#jifunzemapishi #jifunzekupika #misosi #chakula #misosimitamu #jifunzemapishi #jifunzekupika #vyakulavizuri #vyakulavitamu #Regrann

@Regrann from @marashi.yapemba - FIRIGISI ZA KUKU (CHICKEN GIZZARD )
Firigisi za kuku 1 kg
Kitunguu saumu 1tbsp
Tangawizi mbichi 1 tbsp
Chumvi kiasi
Bizari nyembamba ( cumin powder ) 1 tbsp
Pilipili manga 1 tsp
Bizari ya mchuzi ( tumeric ) kiasi
Pilipili ya kuwasha ( ukipenda )
Pilipili boga ( capsicum ) 1
Ndimu /limau 1
Mafuta ya kupikia 3 tbsp
Kosha firigisi(ziwe zimeshatengenezwa) zitie kwenye sufuria ,tia chumvi, kitunguu saum na tangawizi mbichi, weka kwenye moto wacha yachemke kwa dakika 5-7 , baada ya hapo tia maji kiasi (vikombe 2 ) na spices zote, wacha yachemke mpaka karibu na kukauka kata kata pilipili boga ndogo ndogo zitie ,pilipili ya kuwasha pamoja na mafuta ya kupikia , weka moto mdogo mdogo kwa dakika nyengine 5 mpaka 10,yakauke vizuri kamua ndimu au limau tia wacha kidogo , epua na ENJOY. *ukipenda unatia na carrots,
*Unaweza kuengeza spices unazopenda.
WATAG NA WENZAKO PIA
#jifunzemapishi#jifunzekupika #misosi #chakula #mafirigisi #mafirigisiyakuku #vyakulavitamu #vyakulavizuri - #regrann
. .
@temidollface @yorobo86 @yaerii @youngskales @unilagfm @UYOENT @iyereikhide @237Magazine @primetimeafrica @panamusiq @ameyaw112 @emanueldanieel @realpapadennis @therealmambazo @tsedenia @UKenyatta @ibayoomisore @officialayuba @wonderalbum @obasijuade @nowmuzik @OfficialOlisa @mycoyah @HITRADIOMA @MoroccoTVCrews @2babaidibia @obasijuade @StanleyEnow @CassperNyovest @chastecharity
@mannypacquiao @leomessi @muhammadali @canelo @therock @jordanspieth @cameron1newton @underarmour @menfashionco @margotrobbie @markwahlberg @thexpensive @jharden13  @mamybabytz @djdommy
@manh0s2 @faty.naderi @farhad.nc @fati.g_18 @ifaezew @rawgozar @kavehrezaei @rezawsh @kwsri @ravani21 @pemiiw @ielhawm @i.salmanw @ifateme_ @danyyy48 @__.sick.__ @_arti____ @mohamad_pkr @_.s0wgand._ @ihowra  @ibhwri @___.samaw.__ @mohamad_pkr @amiwr._.km @behrad_mardi @__.sick.__ @mafh0m @amiralihpm @evilboy008 @dipplomat  @sherris._2 @zahra_anjel @rmitaw @w0nster_ @turk.kizi22 @miss_3203 @nargess.sm @__fatemeh_fk_ @__.sick.__ @_.mawsiix._ @follow_kadeh._ @danialahudashti @amin__javan @h___n.p @_.mrs.avg._ @amiralihpm @i_pariya @ms_____sarina @tidaax  @yzdnw @__reyhawne__ @alicr_0ps @

@Regrann from @marashi.yapemba - FIRIGISI ZA KUKU (CHICKEN GIZZARD )
Firigisi za kuku 1 kg
Kitunguu saumu 1tbsp
Tangawizi mbichi 1 tbsp
Chumvi kiasi
Bizari nyembamba ( cumin powder ) 1 tbsp
Pilipili manga 1 tsp
Bizari ya mchuzi ( tumeric ) kiasi
Pilipili ya kuwasha ( ukipenda )
Pilipili boga ( capsicum ) 1
Ndimu /limau 1
Mafuta ya kupikia 3 tbsp
Kosha firigisi(ziwe zimeshatengenezwa) zitie kwenye sufuria ,tia chumvi, kitunguu saum na tangawizi mbichi, weka kwenye moto wacha yachemke kwa dakika 5-7 , baada ya hapo tia maji kiasi (vikombe 2 ) na spices zote, wacha yachemke mpaka karibu na kukauka kata kata pilipili boga ndogo ndogo zitie ,pilipili ya kuwasha pamoja na mafuta ya kupikia , weka moto mdogo mdogo kwa dakika nyengine 5 mpaka 10,yakauke vizuri kamua ndimu au limau tia wacha kidogo , epua na ENJOY. *ukipenda unatia na carrots,
*Unaweza kuengeza spices unazopenda.
WATAG NA WENZAKO PIA
#jifunzemapishi#jifunzekupika #misosi #chakula #mafirigisi #mafirigisiyakuku #vyakulavitamu #vyakulavizuri - #regrann
. .
@temidollface @yorobo86 @yaerii @youngskales @unilagfm @UYOENT @iyereikhide @237Magazine @primetimeafrica @panamusiq @ameyaw112 @emanueldanieel @realpapadennis @therealmambazo @tsedenia @UKenyatta @ibayoomisore @officialayuba @wonderalbum @obasijuade @nowmuzik @OfficialOlisa @mycoyah @HITRADIOMA @MoroccoTVCrews @2babaidibia @obasijuade @StanleyEnow @CassperNyovest @chastecharity
@mannypacquiao @leomessi @muhammadali @canelo @therock @jordanspieth @cameron1newton @underarmour @menfashionco @margotrobbie @markwahlberg @thexpensive @jharden13  @mamybabytz @djdommy
@manh0s2 @faty.naderi @farhad.nc @fati.g_18 @ifaezew @rawgozar @kavehrezaei @rezawsh @kwsri @ravani21 @pemiiw @ielhawm @i.salmanw @ifateme_ @danyyy48 @__.sick.__ @_arti____ @mohamad_pkr @_.s0wgand._ @ihowra  @ibhwri @___.samaw.__ @mohamad_pkr @amiwr._.km @behrad_mardi @__.sick.__ @mafh0m @amiralihpm @evilboy008 @dipplomat  @sherris._2 @zahra_anjel @rmitaw @w0nster_ @turk.kizi22 @miss_3203 @nargess.sm @__fatemeh_fk_ @__.sick.__ @_.mawsiix._ @follow_kadeh._ @danialahudashti @amin__javan @h___n.p @_.mrs.avg._ @amiralihpm @i_pariya @ms_____sarina @tidaax  @yzdnw @__reyhawne__ @alicr_0ps @

@Regrann from @jifunze_mapishi - BARFI ZA MAZIWA NA CASTURD POWDER
Maziwa ya unga kikombe 1 na nusu
Casturd powder nusu kikombe
Sukari kikombe 1 na nusu
Maji kikombe 1 na nusu
Iliki 1 tsp
Arki ( essence ) vanilla 1tbsp (sio lazima )
Mafuta ya kupikia 5 tbsp
Rangi (food colour) yeyote
Weka sufuria kwenye moto, tia maji na sukari wacha yachemke mpaka shira yako iwe nzito, ifanye kuitojeza chini kidogo ikipata upepo kama imekauka ujue ipo tayar, tia mafuta, iliki,rangi na arki, koroga tena kidogo, changanya maziwa ya unga na casturd powder uanze kutia kwenye sufuria ya shira huku unakoroga haraka haraka, hakikisha huwachii mkono mpaka inashikana vizuri na ukikoroga inaachana na sufuria na iliyoenea pembeni mwa sufuria ishaganda. .
Pakaa mafuta trey au sehem utakayoweka, uweke mchanganyiko wako utandaze vizuri kwa mwiko ukianza kupoa tumia kifimbo cha chapati kuwekea sawa mpaka inakaa sawa, ( isiwe nyembamba sana wala nene sana) , iwache mpaka ipowe na igande, ikate shape ya kiasi unachopenda na ENJOY 😋 kwa kahawa.
WATAG WALE WOTE UNAOTAKA WASIPITWE HAPA LEO. *arki/essence si lazima, iliki inatosha *kabla kutia maziwa ya unga hakikisha sukar uliyoipika inanata /inaganda vizuri *ukishaweka mahala pa kukata itandaze haraka haraka sometimes inaganda mapema. *nimetia rangi ya pink ila unaweza kutia rangi yoyote unayopenda.
#chakula#misosi #jifunzemapishi #jifunzekupika #tanzania #zanzibar #vyakulavizuri #vyakulavitamu #kiburudisho #chakulakitamu #barfi #kashata #Regrann

Most Popular Instagram Hashtags