#uwoya

43 posts

TOP POSTS

Tunapozungumzia vifua saa 6..... . 😘😘😘 #uwoya #gigy

uyu #uwoya wa chinichini balaa yule babaetu alievuliwa uwazir had akataka kujiua kwa stress ndo alikua mfadhil ss ivi bidada anamkwepa mzee ni shida mana alimpangia alikua yupo vzr si anaona ubunge mtupu haulip kapata mzungu sjui ss ivi uko napa ananyanyapaliwajee mana hd krish alikua anajua ndio babake ahaaa shkamoo unkole magu..vimada byeee

#uwoyaβ™₯β™₯β™₯

@##madameee...@$$
@##uwoya@#$'

Mm najiuliza kama #Kajala alisagana nae je #Uwoya alikosa kweli maana urafiki wao ulikuwa mkubwa kushinda #Kajala mpaka wa kuibiana mabwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shikamoo bongo movie

Dah kuzaa raha Sana #uwoya namwanae pambe tu

USHAURI KWA #HARMORAPPA.!
.
Ndugu yangu harmorapa umeshaskia kabisa kwamba #uwoya anapenda sana wanaume wenye visura chungu kama wewe...sasa sijui wewe wasubiri nini kaka angu..πŸ˜‚πŸ˜‚..hebu nenda kajipakulie mzigo ule fastaaa...tena ulivyokiki sahizi akikukataa njoo unidai damwani...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
.
#NiMtazamoTu #ManenoYaUwoyaHayo SiyoMimi

Baada ya #Batuli kumjibu #Wemasepetu kuwa hela za kampeni walilipwa #Uwoya nae kafunguka haya kupitia kurasa yake ya Instagram...kumjibu #Batuli
.
#IreneUwoyaπŸ‘‰"Katika maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa... Lakin sio lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa... Kila mtu anauhuru wakuamua kitu ambacho anahisi kinamfaa kwenye maisha sababu... Sazingine kwenye maisha Kuna sehemu inafika unacho jiskia kwenye moyo wako sio rahisi mtu mwingine kujiskia ... Sasa ni mbaya sana kuishi kwa hisia... Ifikie Wakati tujitaidi kuheshimu hisia Za mtu... Lakin pia kunavitu vingine nazani Nivyema vkabaki kwa wausika wavinaowahusu...yani sio lazima kuongea kila kitu kwenye jamiii... Watu wanatamani sazingine kuskia vtu ambavyo wanahisi vinafaida kwa Jamaniii... Kunavitu vingine ukiongea havina maana... Mfano mim ni CCM damu... Lakin kunavitu vinaboa sanaaa Kweli kada mzima wa CCM unasimama hazarani unasema tulilipwa kufanya campaign? hatakama lakini unafundisha Nin Jamiii? Unafundisha jamiii kwamba yote tuliyoongea kuhusu CCM hatukuyaamanisha nikwasababu tulilipwa? Unaiambia jamiii ulikuwa tayari kuwadanganya na mliwadanganya sababu mlilipwa? Hivi Kweli? Kwahiyo jamiii ione Chochote Tutachoonge wasikiamini maana yake tutakuwa tumelipwa? Kwahiyo ata mnayoyaongea mnataka kusema mmelipwa? Minazani tujifunze kunyamaza sazingine kama hamna ulazima wakuongea mnaweza kuhisi mmnajenga kumbe mnaharibu kabisaaa... Embu Tufanye Kazi zinazo tuhusu Jamaniii... Nigeria wenzetu sasa wako Hollywood wanaigiza huko... Sisi ata nigeria kwenyewe bado hatuja pasua... Lakin hapa Tupo busy kushabikia ujinga na vitu vya kipumbafu na visivyo na Msaada kwajamiii... Kwastaili hiii... Hollywood tutaiskia na kuiona kwenye TV.no"
.
.
#bongogossip

In lv #uwoya.

MOST RECENT

#uwoya.com

In lv #uwoya.

Tunapozungumzia vifua saa 6..... . 😘😘😘 #uwoya #gigy

Ramadhan Kareem πŸŒ™πŸŒ™
#uwoyaβ™₯β™₯β™₯

#uwoya β™₯β™₯β™₯

uyu #uwoya wa chinichini balaa yule babaetu alievuliwa uwazir had akataka kujiua kwa stress ndo alikua mfadhil ss ivi bidada anamkwepa mzee ni shida mana alimpangia alikua yupo vzr si anaona ubunge mtupu haulip kapata mzungu sjui ss ivi uko napa ananyanyapaliwajee mana hd krish alikua anajua ndio babake ahaaa shkamoo unkole magu..vimada byeee

Mm najiuliza kama #Kajala alisagana nae je #Uwoya alikosa kweli maana urafiki wao ulikuwa mkubwa kushinda #Kajala mpaka wa kuibiana mabwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shikamoo bongo movie

#uwoyaβ™₯β™₯β™₯

#uwoya ...

Baada ya #Batuli kumjibu #Wemasepetu kuwa hela za kampeni walilipwa #Uwoya nae kafunguka haya kupitia kurasa yake ya Instagram...kumjibu #Batuli
.
#IreneUwoyaπŸ‘‰"Katika maisha siku zote ushauri unaruhusiwa kutolewa au kupokelewa... Lakin sio lazima mtu kupokea ushauri unaotolewa... Kila mtu anauhuru wakuamua kitu ambacho anahisi kinamfaa kwenye maisha sababu... Sazingine kwenye maisha Kuna sehemu inafika unacho jiskia kwenye moyo wako sio rahisi mtu mwingine kujiskia ... Sasa ni mbaya sana kuishi kwa hisia... Ifikie Wakati tujitaidi kuheshimu hisia Za mtu... Lakin pia kunavitu vingine nazani Nivyema vkabaki kwa wausika wavinaowahusu...yani sio lazima kuongea kila kitu kwenye jamiii... Watu wanatamani sazingine kuskia vtu ambavyo wanahisi vinafaida kwa Jamaniii... Kunavitu vingine ukiongea havina maana... Mfano mim ni CCM damu... Lakin kunavitu vinaboa sanaaa Kweli kada mzima wa CCM unasimama hazarani unasema tulilipwa kufanya campaign? hatakama lakini unafundisha Nin Jamiii? Unafundisha jamiii kwamba yote tuliyoongea kuhusu CCM hatukuyaamanisha nikwasababu tulilipwa? Unaiambia jamiii ulikuwa tayari kuwadanganya na mliwadanganya sababu mlilipwa? Hivi Kweli? Kwahiyo jamiii ione Chochote Tutachoonge wasikiamini maana yake tutakuwa tumelipwa? Kwahiyo ata mnayoyaongea mnataka kusema mmelipwa? Minazani tujifunze kunyamaza sazingine kama hamna ulazima wakuongea mnaweza kuhisi mmnajenga kumbe mnaharibu kabisaaa... Embu Tufanye Kazi zinazo tuhusu Jamaniii... Nigeria wenzetu sasa wako Hollywood wanaigiza huko... Sisi ata nigeria kwenyewe bado hatuja pasua... Lakin hapa Tupo busy kushabikia ujinga na vitu vya kipumbafu na visivyo na Msaada kwajamiii... Kwastaili hiii... Hollywood tutaiskia na kuiona kwenye TV.no"
.
.
#bongogossip

USHAURI KWA #HARMORAPPA.!
.
Ndugu yangu harmorapa umeshaskia kabisa kwamba #uwoya anapenda sana wanaume wenye visura chungu kama wewe...sasa sijui wewe wasubiri nini kaka angu..πŸ˜‚πŸ˜‚..hebu nenda kajipakulie mzigo ule fastaaa...tena ulivyokiki sahizi akikukataa njoo unidai damwani...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
.
#NiMtazamoTu #ManenoYaUwoyaHayo SiyoMimi

NANUKUU #UWOYA ANASEMA APENDI MWANAUME ANAE MTONGOZA UKU AKIJINADI KUA YEYE NI MTOTO WA NANI APENDIIII #Kiramtunamuonowake

Dah kuzaa raha Sana #uwoya namwanae pambe tu

Mmh pedeshee #uwoya sio kwa mihela iyo πŸ˜‚πŸ˜‚

Most Popular Instagram Hashtags