#us2tz

MOST RECENT

Wateja wetu tunawasogezea vitu vya ukweli kutoka marekani!! If you like what u see go ahead and press your order today. Tag all your makeup buddies. Karibuni Sana #wethebest#bestmakeupstoreintown#wetnwild#makeup#urbandecay#anastasia#bhbrushes#dopegoodies#makeupthings
#lashes#dopestuff#foundations#us2tz
#vituvyaukweli#shopwithus#uwontregret

Mambo ya Anastasia hayo!!! Karibuni mjipatie wanja huo. Inapatikana kwa orders.
#anastasiabrows #pendezanasi #mamboyawanja #wethebest #bestmakeupstoreintown #us2tz

Kwa wale wanaopenda kuwa na viuno nyiguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ karibuni tunawasogezea mjipatie hii mikanda inapatikana kwa rangi nyeusi & nude. Na sizes kuanzia small mpaka XL . Agiza ya kwako mapema !!! Kwa laki tuu mtag na mwenzio!!! #missbelt #pendezanasi #mikanda #us2tz #wethebestintown

BB creams !!! Kwa wale wasiopenda kutumia foundations nyingi ..hii ni nzuri unapaka kidogo tuu & you are set to go. zinapatikana kwa orders!! Agiza yako Leo ... Karibuni sana 35,000/
#maybelline #bbcreams #maybellinegoodies #bestmakeupstoreintown #shopwithus #uwontregret #us2tz

Wateja wetu mzigo umeingia , karibuni Sana mkajipatie vitu vya ukweli Kama Anastasia lipglosses & lipsticks na la girl lipglosses ... Mtag na mwenzio , karibuni Sana πŸ’‹πŸ‘„πŸ’‹πŸ‘„#anastasiabeverlyhillsliquidlipstick #anastasialipglosses #lagirlcosmetics #lagirllipglosses #us2tz #bestmakeupstoreintown #streetknowledgemakeupstore #wethebest #lippies

Lipsticks zinapatikana kwa orders!! 30,000/ You like what you see ?? Press your order quick & tag your makeup bestie #nyxcosmetics #wethebest #lippies #mattelipsticks #makeuptingz #bestmakeupstore #us2tz

Mzigo mpyaaa huoooo #nofakezone #us2tz umewasili leo πŸ’„πŸŽβœˆοΈβœˆοΈβœˆοΈβœˆοΈ Moja kwa Moja toka USA nenda kajichagulie lipstick πŸ’„οΈbora na Yenye muonekano wa ukweliiiii Wapi πŸ‘‰NHC house Samora Avenue Ground Floor No 21 #mac #anastasiabeverlyhills #anastasiacontourkit #anastasiabeverlyhillscontourkit #maccosmetics #maclipstick #nyxcosmetics #nyxmattelipstick na vingine vingiiiiiiπŸŽπŸŽπŸŽπŸŽπŸŽπŸŽπŸ’…πŸ™Œ

Anastasia illuminators available in 4 shades... 130,000/ each Order yours today#anastasiabeverlyhills #illuminators #dopeshades #shopwithus @streetknowledge_makeup_store #makeup #anastasiagoodies #us2tz

Most Popular Instagram Hashtags