#ungana

MOST RECENT

Part 1.kwa kuwa Wokovu ni ufunuo wa Mungu kwa mtu binafsi ....Haja ya Moyo wangu ni kuishi maisha ya utauwa japo yana vikwazo vingi haijalishi Mimi #NITAYARI#ungana nami kumuomba Mungu atusaidie kutuongoza, tumusikilize na tumtukuze....... Mithali 4:4-6 amesema tumpende Mungu naye atatulinda, tusimwache Naye atatuhifadhi...........Mungu akuvushe ktk hatua yako soon video utaipata you tube Mungu awabariki Sana @hopemedia_tz @gospomedia @safinamusicdotcom @kashina_life @gospel_movement_online_tv

Sijui tuseme nini zaidi ya kumshukuru Mungu kwakila hatua tupigayo...tulitembelea moja ya club yetu iliyopo mbagala kuu sec. Na wageni wetu.
#Mungu ni wetu sote
#ungana nasi katika harakati za kuikomboa kijana leo.

Mabalozi wa KMO wakipita mitaani kwaajili ya kuelimisha vijana juu ya maisha,
Hakuna aliezaliwa na mfumo wa mafanikio
Hakuna aliyeshikilia utajiri au umaskini wa mwengine.
..mabadiliko yanaanza ndani yako ..sikia,tafakari,tofauti niwewe
#ungana nasi katika harakati za kuikomboa kijana leo.

Mungu kwanza,uchakalikaji,Ujasiri,kujiamini,kutokukata tamaa ndio zake nguzo tunajifunza mengi kutoka kwako dada valeria @chickcharming mwanzilishi wa kijana mwerevu org. Azam wanamuita binti shujaa..mama natasha alikua mmoja kati wageni waliotutembelea asante sana mama kwa ushirikiano wako.
#forum theatre
#harakati za kukomboa kijana leo
#ungana nasi

@megamixyaabood hewani huu muda hadi kikumi jioni.
#ungana nasi muda huu kuitia code za kwenye picha ..........
..........
#2018aboodfmtzfimboooochapaaaaa

Mwanzilishi wa Kijana Mwerevu org,@chickcharming akiwa na mgeni alietutembelea jana pina from finland...
Ni binti mdogo lakini kwetu tunapenda kumuita shujaa ...
#harakati za kuikomboa kijana leo
#ungana nasi

Only real niggas know where this from馃槶馃槶

Ukishindwa kuwafunga...##Ungana nao...Welcome Sanchez#Red devils

#Ungana nami Mubashara Kwenye kipindi Bora kabisa cha #VIJANA TZ kuanzia saa 8.
#Mgeni wetu leo ni MKURUGENZI WA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI WA SERIKALI DK HASSAN ABBASI.

#Tutazungumza Mafanikio na Changamoto za Vyombo vya Habari na Utendaji wa Serkali Kiujumla.

#USIKOSE

@uvccm_tz

Je, nini unachowaza juu ya kutafuta suluhisho lako.
#ungana na #afrispice Tanzania.
#afrispice
#taboo
#asili
CONTACT:
+255 (0) 685 103339

Most Popular Instagram Hashtags