#udaku_tz

MOST RECENT

Wenye Azam tumewashaaaaaaaa.... #diamondplatnumz #babutale #udaku_tz

๐ŸŽต#Double tap ๐ŸŒŽ ๐ŸŽง2 all ma G๐Ÿ‘Š #Watag wanao me nawanawengi sana hawa ni kionjo2๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘Š#wanangu na wanao.๐Ÿ’ช #meebrownofficial #kingluffa #countryboytz #younglunya #salminswaggz #tony_el_shabbaz #udaku_tz #waneneentertainment #erick_lumala #bilnass #iamconboi #chemicalofficial #aloyceshayo #dayoh_tz #izzo_busines #sajo_icon #s2kizzy #jumajux #johmakini #nikkiwapili #jowse24 #metroboomin and moreeeee...๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช #wanangunawanao

Achana na #Udaku_tz Sisi Sio Watu Wa Mchezo Mchezo Tunapostiwa na Makampuni makubwa Kama #TIDAL Udakutz tuwaachie #wamakonde na #Machokorecoeds๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Chezea @officialalikiba Wewe ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Repost to #udaku_tz. Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali, hatunaye. Taarifa zinaeleza ameuwawa kwa kupigwa risasi na mwili wake kuokotwa vichakani maeneo ya Kimara jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.

Yassin Abdallah maarufu kama Ustaadhi, mmoja wa viongozi wakongwe wa mchezo wa ngumi amethibitisha na kusema mwili wa Mashali upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. "Tumethibitishiwa hizo taarifa za majonzi kabisa, mwili upo Muhimbili na msiba upo kwao Tandale," alisema Ustaadhi.
CHANZO - SALEHE JEMBE BLOG

Most Popular Instagram Hashtags