#ubingwa

55 posts

TOP POSTS

From #kibaha to #dar ,#thanks for coming.Tunawapenda sana watu kama nyie ili kuthibitisha #ubingwa wetu katika kufundisha#Kingereza . (with his consent -)

Aslaam aleykum wadau, mungu Mkubwa kumekucha salama tunalisongesha kwa uwezo wake #mungu
Yanga mbele kwa mbele adi kwenye kilele cha #ubingwa sote kwa pamoja tuungane tuipe sapoti timu yetu itetee makombe yote mawiliπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ†βš½πŸ†βš½

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ujiz Umekutoa Xna Karibu #Young_African Ss Jadi Yetu Ni #Makombe..Wao Wana Fnya Usajili Wa Kmfunga..#YANGA.sisi Twafnya Usaiji Wakuchukua K#UBINGWA. msi Ujao Tena..

Tumejarbu lkn kwa kwl hawa jamaa wakiwa nyumbn kwao wanakuw tofauti lkn wakiwa away wanakuw tofauti tumejarb kushinda kpnd cha kwanza lkn daah ngoma ilkuw ngumu kwa hiyo cy mbaya tumeambulia point moja mbele kW point 10 bdo match 13 hatuwez sema tumechukua #ubingwa ila tunaongoza #league

Urafiki wa Kweli hautenganishwagi,kifo huondoka na Mwili ila nafsi inabaki, Hongera Sana Jamaa Yangu@niyonzimaharuna kwa #Ubingwa wa #VPL nilitamani Mutesa angekuwa hai Leo Hii Sijui angekuambia nini, Rest in Peace Mafisango!

πŸ’―πŸ”’##UBINGWA

Wakimataifa
Kazi juu ya kazi
#Ubingwa

MOST RECENT

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ujiz Umekutoa Xna Karibu #Young_African Ss Jadi Yetu Ni #Makombe..Wao Wana Fnya Usajili Wa Kmfunga..#YANGA.sisi Twafnya Usaiji Wakuchukua K#UBINGWA. msi Ujao Tena..

Hakuna #Timu Yoyote iliyowahi Kutetea #Ubingwa Wa #Ulaya Msimu Uliofuata...
#Ujumaa #Njema """""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA""""""""""""

#Ukweli ni #Kwamba nilipata #mshtuko niliposikia ni #wewe #pekee ndiye uliyekutwa na #umauti kwenye ajali iliyotokea...... Ulikuwa umetoka kushuhudia timu yako uipendayo ya #Simba ikichukua #ubingwa wa #FA....ni #machozi pekee ndiyo yatakayopunguza #machungu yangu... #RIP #Sister , #Friend #Mbele yako #Nyuma yetu #Inna lillah waina lillah rajun #Going too soon my fellow #Man#United fan!

Wakimataifa
Kazi juu ya kazi
#Ubingwa

#Ubingwa raha sana mskie Juma Abdul na Deus Kaseke rahaaaa snaaaa

Urafiki wa Kweli hautenganishwagi,kifo huondoka na Mwili ila nafsi inabaki, Hongera Sana Jamaa Yangu@niyonzimaharuna kwa #Ubingwa wa #VPL nilitamani Mutesa angekuwa hai Leo Hii Sijui angekuambia nini, Rest in Peace Mafisango!

@yangasc Furaha yetu ni #ubingwa kushinda tumewaachia wasiotaka kushuka daraja habari wanayo kuwa baba atabaki kuwa baba hata asipoleta matumiziπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#MwanzaMwanza are you ready for our last game Yanga Sc against Mbao Fc today??
Jisogeze pale #CcmKirumba ushuhudie mchezo wetu wa mwisho wa #LigiKuuVodacom_VPL 2016/2017 huku tukisubiria kukabdhiwa mwali wetu wa #Ubingwa .... KickOff :16:00hrs
Be there tufanye fanye na Hizo mbao za Mwanza
Champions @yangasc @yangasc @julius_ntulwe @@costantui @kindago_the_senior

KIKOS KAMILI CHA YANGAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚#ubingwa #ahsinhermany #ahsinhermany

πŸ’―πŸ”’##UBINGWA

Leo hatumwangalii #nyani usoni,Tunataka #Ubingwa

Most Popular Instagram Hashtags