[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#tusimamenawakimbizi

11 posts

TOP POSTS

Pamoja na umri mdogo walio nao wameweza kuguswa kwa namna yao na kuamua kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe hatimae ikapatikana mifuko hiyo miwili ya nguo

Asanteni wadogo zangu na MUNGU AWABARIKI SANA!! #kutoanimoyo #tusimamenawakimbizi

#Repost @cloudsfmtz (@get_repost)
#Shukrani za dhati zikufikie Mtanzania unaendelea kujitoa katika jamii yetu, Mungu ametubariki kuwa na umoja, upendo, kupongezana na kusaidiana katika njia mbalimbali za kimaisha, tufahamu fika tumepishana kiuchumi na kwa kile kidogo ulichojaaliwa na Muumba tukitoe kuwasaidia ndugu zetu wanaoishi katika Kambi ya Wakimbizi #Nyarugusu- Kigoma ambao kwao mavazi ya kujisitiri (Nguo) yamekuwa ni shida kuyapata, kama una nguo nyingi kiasi cha kushindwa uvae ipi na uache ipi tunaomba utuletee ofisi zetu za #CloudsMediaGroup Mikocheni na sisi tutazipeleka moja kwa moja kwa wahusika ili kurudisha tabasamu lao, furaha zao baraka kwako, kwa pamoja TUNAWEZA
Cc. @zamaradimketema

#TusimameNaWakimbizi

Kutoa ni moyo sio UTAJIRI!! Shukran za Dhati kwa wote mnaoendelea kuguswa na binaadamu wenzetu na kujitoa kwa kile mlichonacho

Asante sana TUMAINI kutoka DSM kwa msaada wako, MUNGU AKUBARIKI SANA.
#tusimamenawakimbizi

Haba na Haba hujaza kibaba, sio lazima uwe na kikubwa maana hata Tisa bila moja haiwezi ikawa KUMI

Asante sana JUDITH AGUSTINO kwa moyo wako wa kujitoa
#tusimamenawakimbizi

MOST RECENT

#Repost @zamaradimketema (@get_repost)
Pamoja na umri mdogo walio nao wameweza kuguswa kwa namna yao na kuamua kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe hatimae ikapatikana mifuko hiyo miwili ya nguo.
--------------
Asanteni wadogo zangu na MUNGU AWABARIKI SANA!! #KutoaNiMoyo #TusimameNaWakimbizi

Haba na Haba hujaza kibaba, sio lazima uwe na kikubwa maana hata Tisa bila moja haiwezi ikawa KUMI.
------------
Asante sana JUDITH AGUSTINO kwa moyo wako wa kujitoa
#TusimameNaWakimbizi

#Repost @zamaradimketema (@get_repost)
Pamoja na umri mdogo walio nao wameweza kuguswa kwa namna yao na kuamua kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe hatimae ikapatikana mifuko hiyo miwili ya nguo.
-------------
Asanteni wadogo zangu na MUNGU AWABARIKI SANA!!
#KutoaNiMoyo
#TusimameNaWakimbizi

Haba na Haba hujaza kibaba, sio lazima uwe na kikubwa maana hata Tisa bila moja haiwezi ikawa KUMI

Asante sana JUDITH AGUSTINO kwa moyo wako wa kujitoa
#tusimamenawakimbizi

Pamoja na umri mdogo walio nao wameweza kuguswa kwa namna yao na kuamua kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe hatimae ikapatikana mifuko hiyo miwili ya nguo

Asanteni wadogo zangu na MUNGU AWABARIKI SANA!! #kutoanimoyo #tusimamenawakimbizi

Kutoa ni moyo sio UTAJIRI!! Shukran za Dhati kwa wote mnaoendelea kuguswa na binaadamu wenzetu na kujitoa kwa kile mlichonacho

Asante sana TUMAINI kutoka DSM kwa msaada wako, MUNGU AKUBARIKI SANA.
#tusimamenawakimbizi

Haba na Haba hujaza kibaba, sio lazima uwe na kikubwa maana hata Tisa bila moja haiwezi ikawa KUMI

Asante sana JUDITH AGUSTINO kwa moyo wako wa kujitoa
#tusimamenawakimbizi

Pamoja na umri mdogo walio nao wameweza kuguswa kwa namna yao na kuamua kuhamasishana wenyewe kwa wenyewe hatimae ikapatikana mifuko hiyo miwili ya nguo

Asanteni wadogo zangu na MUNGU AWABARIKI SANA!! #kutoanimoyo #tusimamenawakimbizi

Most Popular Instagram Hashtags