[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#tanzaniatourism

816 posts

TOP POSTS

Huyu mtoto wa simba alipata uvimbe mkubwa tumboni. Madaktari wetu wa wanyamapori wakamchukua na kumfanyia upasuaji mkubwa. Kidonda kilipoanza kupona akarudishwa kwenye kundi lake. Jana nimepata taarifa za kusikitisha sana kwamba anatengwa na wenzake. Bado tunajifunza sababu ni nini haswa! #HK #TanzaniaTourism #UtaliiTanzania

#utaliitanzania #tanzaniatourism #nationalparks
Zebra trying to escape from a crocodile mouth

‪Yesterday, I was honored to receive H.E. Wang Ke, the Chinese Ambassador to Tanzania. We discussed a lot of strategies for working together in promoting destination Tanzania to China. In February 2018, we will conduct a seminar that will have a B2B component for tour operators and hotel owners; and we will make use of Chinese celebrities who knows Tanzania as our ambassadors (like the famous actor 'Maododo'), we will send our team along with tour operators to the Chinese International Import Expo in November 2018 for B2B networking and make use of Chinese international media like CCTV for promotion campaigns in China. We have further promised to give plots to serious Chinese hotel chains inside or close to the various tourist attractions for building hotels with Chinese themes. We also discussed about the possibility of having a direct flight between Tanzania and China. ‬. Jana Nilimkaribisha Balozi wa China, Tanzania, Mhe. Wang Ke ofisini kwangu hapa Dodoma. Tulijadili mambo mengi yakiwemo: kuanzisha mkakati mahsusi wa kuvutia watalii wa kichina nchini Tanzania, kuunganisha wafanyabiashara wa sekta ya utalii wa nchi zetu mbili, kutumia watu mashuhuri wa China wanaoijua Tanzania (kama vile 'Maododo'), uwezekano wa kuwa na mahusiano ya Anya kwa ajili ya kuwa na ndege ya moja kwa moja kutoka China mpaka Tanzania, kutumia vyombo vya habari vya kichina kutangaza vivutio vilivyopo hapa nchini kwenye TV za China na kuwaalika wafanyabiashara wa sekta ya utalii na ukarimu wa China kuja kuwekeza kujenga hotel za kitalii zenye mahadhi ya kichina. #HK #SiasaNiVitendo #TanzaniaTourism #UtaliiTanzania #MzeeWaField

Ol Doinyo Lengai; the only known active volcano that belches out silvery lava rich —flowing faster than a person can run. via @NatGeo https://t.co/0631DGGAq9 #wowtanzania #tanzania #tanzaniatourism #tanzaniatouristboard @tanzaniaparks @easytraveltz

Discovering Tanzania #TanzaniaTourism

RUAHA NATIONAL PARK 1/3. Wherever you go becomes a part of you somehow ~ #Anita Desai #traveltanzania #tanzaniatourism #ruahanationalpark #photostanzania

Some may have heard the name Tour Guide. But what does it mean?
~A Tour Guide is anyone that provides interpretations about a tourist destination on its atttractions that are found, culture that surounds the destination as well as guidence on tourist by ensuring the saftey within the tourist destination.

There is an importance of having a Tour Guide such as ~he/she is the linkage between local people and tourists as creates a bond between tourist and the local people to make them feel as part of the society.
~ A Tour guide is an image his nation as he/she does and says to the tourist creates symbolis the people of the destination.
~A Tour Guide is an interprator on different attractions, culture and lifestyle found in a destination to the tourist where by he/she is able to teach and share knowledge on a destination.
~This is just half of why is a Tour guide important, there many more inportance as pathfinder, tax payer influencer etc... @tzguideawards #tanzaniatourguideawards2017 #tourguide #tanzaniatourism

MOST RECENT

Nilipo kuwa #selousgamereserve @selousgamereserve niliweka kambi hapa @selousmapumzikolodge . Jamani ukitaka kupumzika for X mass basi nenda #selous na ulale @selousmapumzikolodge . Na hapa usiku tembo wanakuja mpaka nje ya chumba. Nakumbuka nilikuwa nimepiga jagermeister lakini ilikwisha yote kicwhani baada ya kusikia tembo yuko nje ya chumba. Kweli nilisali lol maana nilizani zile picha nilizo mpiga yuke tembo akikojoa basi ka kasirika soo kaamua kunifuata nizifute 🚶🏻#utaliiwandani #tanzaniatourism #tanzaniaparks

Camera setting lol yani nikajisahau kama niko #selousgamereserve . Sikawi kuwa kitoweo cha mamba au simba. Wanyama wakali huwa wanakuja kuwinda sehemu yenye maji kwasababu wanyama wanakuja kunywa maji. #utaliiwandani #wildlifephotography #wildlifephotographer #tanzaniaparks #tanzaniatourism #tanapa #selous @selous_mapumziko_lodge #gabrielmakupa #grmproduction

Kweli wanyama wa #selousgamereserve wana enjoy kuliko sisi tunaokwenda kuwaangalia. Cheki twiga anakula upepo wa bahari aka Ziwa -mto #utaliiwandani #giraffe #selous #wildlifephotography #wildlifephotographer #wildphoto #safari #tanzaniatourism #tanapa #tanzaniaparks #gabrielmakupa #grmproduction

Huyu mtoto wa simba alipata uvimbe mkubwa tumboni. Madaktari wetu wa wanyamapori wakamchukua na kumfanyia upasuaji mkubwa. Kidonda kilipoanza kupona akarudishwa kwenye kundi lake. Jana nimepata taarifa za kusikitisha sana kwamba anatengwa na wenzake. Bado tunajifunza sababu ni nini haswa! #HK #TanzaniaTourism #UtaliiTanzania

Easy Sunday at the Pugu forest reserve . come hike rejuvenate and have fun with us just 25km away from the city. #monkey #velvetmonkey #puguhills #pugu #forests #foresthike #foresthiking #nature #walkingtour #tanzaniatrip #tourisme #tanzania #tanzaniatourism

Enjoy your weekend #utaliiwandani #tembo #elephant #selousgamereserve #selous #kuchimba dawa 😀#tembomashine #elephant. Dah nilipokuwa napiga picha tembo gafla alikuja huyu tembo akaziba njia akatoa mashine na kuanza kumwaga maji. Kumbe hii ni ishara yakusema yeye ni baba wa familia-(baba mwenye nyumba) na alikuwa anatutisha kwasababu baada ya sekunde walianza kupita watoto wake wadogo. #elephantphotography #wildphotos #wildlifephotographer #wildlifephotography #tanzaniaparks #tanzaniatourism #tanapa #gabrielmakupa #grmproduction #bwphotography

Its friday. Je wa jua na unataka kujua zaidi ?? Je wajua kuwa Twiga #giraffe ana korodani nyeupe 😀 # giraffe may eat up to 34 kilograms of food per day. #utaliiwandani #wildlifephotographer #wildlifephotography #wildphoto #giraffephotography #tanzaniaparks #tanzaniatourism #tanapa #gabrielmakupa #grmproduction #uzalendo

Most Popular Instagram Hashtags