#siku_njema

MOST RECENT

Kwa maana ya kuwa Mungu aliuumba ulimwengu akamuumba na #Adam na akaona sio vema mwana huyo awe peke yake akamleta #Eva awe msaidizi wake.
.
Basi kwa maana hiyo akaona #MagaiJr27 awezi kuwa peke yake akaampa msaidizi wake.
.
#simu_imeelewa .
#siku_njema wapendwa katika bwana

Maarifa na hekima haitaji ukubwa wa umbo #SIKU_NJEMA .
Follow @imma_tz @imma_tz

Ni rahisi sana CHOO kukigueza BAFU ila ni ngumu sana BAFU kuligueza CHOO...#siku_njema

Basi nasema neno hili, tena nashuhudia katika Bwana, tangu sasa msienende kama Mataifa waenendavyo, katika ubatili wa nia zao;Bali ninyi, sivyo mlivyojifunza Kristo;ikiwa mlimsikia mkafundishwa katika yeye, kama kweli ilivyo katika Yesu,mvue kwa habari ya mwenendo wa kwanza utu wa zamani, unaoharibika kwa kuzifuata tamaa zenye kudanganya; na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu;mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
#Efeso_4:17,20-24
#siku_njema
πŸ™πŸΎ

Mwenyeenzi atubarikie #siku_njema yenye amani

Daaah... Nime post sana ...
Ngoja nijipoozeshe na juice kwanza.. Hii juice ya Miwa ni tamu lakini tatizo lake ukinywa usiku ...Na vyoo vyetu vya uswazi mara uambiwe na mwenye nyumba mwisho Kuingia chooni Saa sita usiku yaani aaah shida tu.. #siku_njema

Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu.Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi.
#Kol_3:1-2
#Mungu_atutangulie
#Siku_njema

Ukitaka Ng'ombe wako aendelee kutoa maziwa ya kutosha huna Budi kumlisha vizuri.

Usipende kuvuna usicho kipanda

#Siku_Njema

#TUNAPAMBANA_IlI_KUJENGA_TAIFA_LETU_inshallah nikiwa na mwamba wangu salumu mussa ndomondo a.k.a #SAMUNDO_JR

#siku_njema

Ipo siku nami nitaitwa ......Jr #SIKU_NJEMA

#Mr_Soldier_Jr

Tunawatakia #siku_njema.
πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

Ninaweza kumsamee mjinga anae jifananisha na mwelevu ila sio mwelevu anae jifananisha na mjinga #SIKU_NJEMA #THEOPHILI_THE_GREAT

Liishalo ndio dogo kuliko linalokuja
#hakika
#siku_njema
#one_love_to_u

#THAMANI_YA_NENO_SAMAHANI -------------------------------------------------------------- "Duniani kuna makosa ya aina #MBILI_TU yale ambayo binadamu anaweza kukusamehe na Yale ambayo asiyoweza kukusamehe kama unataka kudumisha #MAHUSIANO epuka kufanya #MAKOSA yasiyosameheka.....Hata kama mtu atakuambia #AMEKUSAMEHE kiukweli ni labda amekubali tu yaishe au ameamua kuepusha #SHARI au labda ameamua tu #KUVUMILIA na kumezea lakini #HAJASAMEHE ....Na kuna mambo mengi yatabadilika #NDANI_YAKE dhidi #YAKO hata Kama huoni mabadiliko huenda anayaficha tu..... #EPUKA makosa yasiyosameheka usidanganywe na neno #NIMEKUSAMEHE_SIO_UKWELI_KUTOKA_MOYONI .... Naomba #USIA_WANGU ukusaidie katika maombi yako na maisha yako yajayo na familia yako ewe #KIJANA_MWENZANGU na wewe #BINTI πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ #HATA_KATIKA_MAHUSIANO_MAKOSA_YASIYO_SAMEHEKA_HUPUNGUZA_KIWANGO
#CHA_UPENDO_BAINA_YENU_NINYI_WAWILI

#NARUDIA_TENA_EPUKA_KUFANYA_MAKOSA_YASIYOSAMEHEKA #SIKU_NJEMA --------------------------

Penye Udhia, penyeza rupia.
#siku_njema

I always pray to God, May you live long, May you always be with me. Love you more than my life. Love You Mom.

#mysterious_hero
#everlasting_hero
#siku_njema

Mungu ni mwema na mambo mema japo awajataka yawe pema lakini saizi yanazidi kuwa mema
#SIKU_NJEMA
#THEOPHILI_THE_GREAT

Most Popular Instagram Hashtags