#severini

1440 posts

TOP POSTS

Produced and Directed by me.... Siku njema
#Chaguolangu
Coming soon 🔥 🔥
#AhsanteMungubaba
#Mwakawamalengo
#SEVERINI

Tangazo
NAHITAJI FILAMU 5 ZA KIBONGO ZA WAIGIZAJI WANAOCHIPUKIA KWA AJILI YA KUZIRUSHA kwenye media.. -Azamtv
-Dstv
-startimes
-maishamagic Bongo -Swahilimovie
-Zukutv
Nk... 0759619721
0653619721
peterseverini8@gmail.com
Lengo ni kuwatangaza sehemu mbalimbali..
Mwisho jumapili 04/03/2017.. Kwa wa mikoani pia mnaruhusiwa kutuma.. #SEVERINI...

😁😁😁😁😁 ulifikiri nimesahau Eeeh.... Niliwaambia I must revenge... Hehehehehe happy Birthday mshkaji wangu Wa faida... Live long life my Dear @tembacecilia...thanks @tupilikej For this video... Cc
@chiqo_appetizer
@esthermsuya770

#SEVERINI

Foto con #Severini # sidigas Scandone🏀

2. MAISHA YA SANAA..
Mtu pekee ambaye Unajua kuanzia nilivyoanza mpaka hapa nilipofikia kwenye upande Wa Sanaa, mshauri mkuu Wa kampuni yangu Lakini pia ndo Meneja.. Vipo vingi Sana ulivyosaidia na ambavyo Bado unasaidia, kwamara yakwanza nakwambia kuwa unafaa Kuigiza ukaniambia 'HAPANA' tulikua Mimi wewe na Daktari Fredrick Shayo baada ya kuwaconvince Sana mkakubali na siku huohuo nikawapeleka kwenye kundi langu La Bahari Arts Group na mkajiunga.. Zilitokea fursa Za kucheza filamu mbalimbali Ila uliniambia Bado haupo sawa sikujua labda kwasababu zilikua Za watu Wengne Pengine ukaogopa kuharibu..wakati Naandaa filamu yangu ya Chuo nikakwambia kuwa humu lazima ucheze na ingawa ulikua Unaogopa Ila ulifanya vizuri (Mungu akipenda mwezi Wa 7 itatoka) na uliplay sehemu nyingi na ulijitoa Sana ilihali sikukulipa Hata senti..
Mikataba yangu yote niliyoingia unaifahamu na Makampuni yte (DSTV, AZAM, Clouds, Nk) Lakini pia wasanii ambao nimewasaini kuwamanage wewe ndo uliyewapitisha.. Wiki mbili zilizopita nilikua nawafundisha watu namna ya kuandaa Filamu Huku wewe ukiwa pembeni ukisikiliza bila kuelewa nini nilikua natarget ulipofika muda Wa kuingia Location nikakwambia kuwa 'you are going to be a Production Manager' ilikushtua kidogo hii Taarifa Ila nikakwambia kuwa hakuna mwingine and you have to.. But thanks mwanzo hadi mwisho ulifanya vizuri na wasanii wangu waliienjoy.. Ndoto zangu ni kuona huu mwaka hauishi Nawe utengeneze Filamu yako mwenyewe (from producing to directing)

3. MAISHA YA KIROHO
Chuoni Nna vijana watatu ambao nawafundisha maandiko Yani Biblia ( wewe, Soka na Dr Shayo) nashukuru mnaenda Katika Njia impasayo bwana na nimewalea Katika misingi Mizuri na imara yenye kumpendeza bwana.. Keep it up Kijana wangu... Lakini nje ya yote hayo umekua zaidi ya kaka kwangu and sometimes unayabeba matatizo yangu na kuyafanya kama yakwako.. Yapo mengi Sana yakuelezea brother Lakini kwa leo wacha Niishie hapa mdogo angu.. HAPPY BIRTHDAY @toby_shechambo .. Live long life L, Mwenyezi Mungu akubariki MAYONGA junior, Best Cr, young bro, big bro, mshauri, Daktari mkuu Wa jopo ,sera, itikadi, mipango, utaalamu na ushauri.. MWISHOOO

Obrigadinho

#SEVERINI

Wakati mwingine huwa ni ngumu kumlazimisha Nyani kwamba Asali ni tamu kuliko Ndizi.. I, myself and Me... Strong enough to handle anything... #Mwakawamalengo
#SEVERINI

9/04/2017
Catch me live tomorrow morning on PEVUKA @ UHAI FM Radio 107.3 (AZAM Radio) @ufm107.3 from 11:00 Am - 12:00.. Will be discussing about how far we got and what are the challenges we have on our Movie industry + my new coming project.. 09-04-2017
Nisikilize mubashara kesho jumatatu kupitia kipindi chako cha PEVUKA kinachorushwa na redio yako pendwa ya UHAI Fm 107.3 (AZAM radio)kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 6.. Nitaongelea kuhusu Sanaa yetu ya Filamu ilipofikia na changamoto Zake pamoja na Filamu yangu mpya inayotoka hivi punde.. Ya pili hii
#mwakawamalengo
#ahsanteMungubaba
#Actor, producerand
Director
#SEVERINI

MOST RECENT

Produced and Directed by me.... Siku njema
#Chaguolangu
Coming soon 🔥 🔥
#AhsanteMungubaba
#Mwakawamalengo
#SEVERINI

The mid-century Boschi Di Stefano home filled with #Fontana #DeChirico #Severini #italian #design in #Milan ✨✨✨

Collection Magnani Rocca: interessanti Tiepolo , Durer , Van Dyck, Severini, Morandi- Cézanne le dialogue du moment, vases empire, Bellini.#durer #dürer #vandyck #tiepolo #severini #cezanne #cézanne #morandi #bellini

Олег Вакулин, "Три цвета", 2010, холст, масло.
Oleg Vakulin, "Three colors", 2010, Oil on canvas. ☝️Дивизионистическую технику рисунка (я сам не знал, что так называют пуантилизм - направление неоимпрессионизма в живописи, в основе которого лежит манера письма раздельными мазками, точками) Джино Северини перенял у Джакомо Балла, когда учился в Риме, в 1900 году. Я, когда писал эту картину, ещё не был знаком с творчеством Джино Северини и, тем более, с его картиной "Sea=Dancer". Но техника, мне кажется, очень похожа. 👉Ищите ссылку в шапке профиля и присоединяйтесь к группе #живописьсвоимиглазами #paintingwithyourowneyes #вакулин #олегвакулин
#джиносеверини #северини #живописьмаслом #painting #искусство #art #severini #ginoseverini #vakulin #olegvakulin #moscow #russia #москва #россия #художник #artist

Durante algún tiempo soñé...
#thomasligotti #Severini #TeatroGrottesco #Valdemar

Visiting MOMA. One of my favourites so far //Dynamic Hieroglyphic of the Bal Tabarin - by Gino Severini. Painting of a Paris nightclub 'Bal Tabarin' in 1912. In awe. #moma #nyc #futurists #parisiannightclub #baltabarin #severini #artwork

Divento zio nella notte e ovviamente sono sperso nei monti della calabria, con la banda psichiatrica centro italica conosciuta come The Zen Circus... LIVE #captnlovestar #lasciafá #thezencircus #zencircus #calabria #live #zio #ziozanni #severini #uncle #biondezza

Джино Северини, "Море=Танцор", 1914, холст, масло. Музей Пегги Гуггенхайм, Венеция, Италия.
Gino Severini, "Sea=Dancer", 1914, Oil on canvas. PeggyGuggenheimCollection. ☝️Джино Северини - итальянский художник, график, скульптор. Известен как представитель футуризма и кубизма. Поддерживал контакты с Модильяни, Браком, Пикассо. 👉Полноразмерные фотографии картины в группе. Ищите ссылку в шапке профиля и присоединяйтесь #живописьсвоимиглазами #paintingwithyourowneyes
#джиносеверини #пикассо #кубизм #северини #футуризм #моретанцор #модильяни #гуггенхайм #музей #венеция #италия #живописьмаслом #italy #venice #painting #museum #guggenheiminternationalgala #cubism #art #picasso #severini #ginoseverini #futurism #seadancer #modigliani

Gino Severini
Danseuse articulée, 1915
#Severini #Futurism #Art #dance #ballerina #Futurismo

Asiyejikwaa na kuanguka ni Yule Asiyesimama na kutembea.. #AhsanteMungubaba
#Mwakawamalengo
#SEVERINI

MOSHE TABIBNIA GALLERY  is delighted to announce its new exhibition on 20th century tapestries and carpets by Italian artists and manufactures, 12 september - 8 october 2017, at Triennale di Milano.
#moshetabibnia #milano
#triennalemilano #italy🇮🇹 #art🎨 #20thcentury #futurismo #abstract #Balla #Severini #Guttuso #Depero #Kokoschka #Radice #Dorfles #Sottsass #Baj #Novecentoart #tapestry #arazzi #tappeti #fiberart #carpets #italianartists #collection #2017 #september

Wakati mwingine huwa ni ngumu kumlazimisha Nyani kwamba Asali ni tamu kuliko Ndizi.. I, myself and Me... Strong enough to handle anything... #Mwakawamalengo
#SEVERINI

Most Popular Instagram Hashtags