#redioyawatu

1249 posts

TOP POSTS

Kwenye #AlaZaRoho ya @divatheebawse atakuwa LIVE na Shilole (@shilolekiuno_badgirlshishi ) ambae ataambatana na mpenzi wake mpyaaaaaaaaaaa, wana mengi ya kufunguka.

Chakufanya isogelee #RedioYaWatu dondosha swali lako hapa....kisha twende mdogo mdogo mpaka saa sita usiku.

#Ishinamimi.

Ungana na @divatheebawse #hewani #AlaZaRoho tayari yupo na @shilolekiuno_badgirlshishi pamoja na mpenzi wake Uchebe.

Leo kizungu tu😁😁😁😁😁 hapana chezea @shilolekiuno_badgirlshishi.

#MjengoniPatamu #RedioYawatu #Ishinamimi

#XXL255: Joseph Haule aka Nigga Jay (@professorjaytz) aka mti mkavu ni moja kati ya wasanii wakubwa ambao waliamua kuachana na inshu za kipaza na kuamua kuingia kweye siasa rasmi ambapo mwaka 2015 wananchi wa MIKUMI walimpa ridhaa ya kuwaongoza kama Mbunge wao lakini pamoja na kwamba ana historia kubwa kwenye muziki kipo kitu ambacho inawezekana asitokee msanii mwingine wa kuivunja ambayo imebaki kichwa cha P funk Majani....msikilize Majani hapa #XXL ya #RedioYaWatu.

Cc: @perfectcrispin
@askofutza.

#Ishinamimi.

#XXL255: #Najiuliza ni #BrandNewSingle ya @chegechigunda akiwa kawatupia wasichana wawili @rayctanzania pamoja na Sanaipei, kitu ambacho hujui ni kwamba sifa za Ray C na Sanaipei zinafanana kiaina,hasa kwenye vitu walivyowahi kupitia, hivi unajua kama Sanai Pei naye alishwahi kuwa mtangazaji wa Radio huko Kenya? ilikuaje mpaka akaamua kuachana na utangazaji?...Msikilize hapa @sanaipeitande.

Cc: @perfectcrispin
@askofutza.

#RedioYawatu.

@divatheebawse #OnAir #AlaZaRoho: #HotTopic, Je unahisi mahusiano sehemu ya kazi yanashusha uwezo wako wa kufanya kazi kwa ufanisi ?.. Share nasi hapa #RedioYawatu @divatheebawse yupo na wewe mpaka saa sita usiku.

#Ishinamimi🇹🇿.

#AlaZaRoho @divatheebawse: #HotTopic 👉 kwanini wanawake wengi wamekuwa na tabia ya kuomba vocha kila wakati ?. Wale wanaotafuta mchumba leo Pia ni siku yao waache namba zao za simu sababu huwezi jua labda mpenzi wako utampata kwenye #RedioYawatu #AlaZaRoho na @divatheebawse.

Karibu #CloudsFM.

#ishinamimi🇹🇿

#MamaMkwe: Ni kiasi gani unampenda Mama wa Mpenzi wako? Hivi unajua kwamba Mama wa Mpenzi wako anaweza kuwa mama yako? Ni kitu gan Maalum ambacho umewahi mfanyia mama mkwe? .

#ishinamimi🇹🇿. Share na @divatheebawse hapa #AlaZaRoho #RedioYawatu tupo mpaka saa sita usiku.

MOST RECENT

@amber___lulu yupo mjengoni, anasikika live kupitia #LeoTena pamoja na @dahuuofficial @geahhabib @mwanadsm - Una swali lolote? Uliza hapa na watasema nalo hewani.

#RedioYawatu.

#IshiNaMimi.

Ungana na @divatheebawse #hewani #AlaZaRoho tayari yupo na @shilolekiuno_badgirlshishi pamoja na mpenzi wake Uchebe.

Leo kizungu tu😁😁😁😁😁 hapana chezea @shilolekiuno_badgirlshishi.

#MjengoniPatamu #RedioYawatu #Ishinamimi

Kwenye #AlaZaRoho ya @divatheebawse atakuwa LIVE na Shilole (@shilolekiuno_badgirlshishi ) ambae ataambatana na mpenzi wake mpyaaaaaaaaaaa, wana mengi ya kufunguka.

Chakufanya isogelee #RedioYaWatu dondosha swali lako hapa....kisha twende mdogo mdogo mpaka saa sita usiku.

#Ishinamimi.

#XXL255: #Najiuliza ni #BrandNewSingle ya @chegechigunda akiwa kawatupia wasichana wawili @rayctanzania pamoja na Sanaipei, kitu ambacho hujui ni kwamba sifa za Ray C na Sanaipei zinafanana kiaina,hasa kwenye vitu walivyowahi kupitia, hivi unajua kama Sanai Pei naye alishwahi kuwa mtangazaji wa Radio huko Kenya? ilikuaje mpaka akaamua kuachana na utangazaji?...Msikilize hapa @sanaipeitande.

Cc: @perfectcrispin
@askofutza.

#RedioYawatu.

#XXL255: Joseph Haule aka Nigga Jay (@professorjaytz) aka mti mkavu ni moja kati ya wasanii wakubwa ambao waliamua kuachana na inshu za kipaza na kuamua kuingia kweye siasa rasmi ambapo mwaka 2015 wananchi wa MIKUMI walimpa ridhaa ya kuwaongoza kama Mbunge wao lakini pamoja na kwamba ana historia kubwa kwenye muziki kipo kitu ambacho inawezekana asitokee msanii mwingine wa kuivunja ambayo imebaki kichwa cha P funk Majani....msikilize Majani hapa #XXL ya #RedioYaWatu.

Cc: @perfectcrispin
@askofutza.

#Ishinamimi.

@divatheebawse #OnAir #AlaZaRoho: #HotTopic, Je unahisi mahusiano sehemu ya kazi yanashusha uwezo wako wa kufanya kazi kwa ufanisi ?.. Share nasi hapa #RedioYawatu @divatheebawse yupo na wewe mpaka saa sita usiku.

#Ishinamimi🇹🇿.

#Repost @cloudsfmtz with @instatoolsapp ・・・
#AlaZaRoho @divatheebawse: #HotTopic 👉 kwanini wanawake wengi wamekuwa na tabia ya kuomba vocha kila wakati ?. Wale wanaotafuta mchumba leo Pia ni siku yao waache namba zao za simu sababu huwezi jua labda mpenzi wako utampata kwenye #RedioYawatu #AlaZaRoho na @divatheebawse.

Karibu #CloudsFM.

#ishinamimi🇹🇿

#AlaZaRoho @divatheebawse: #HotTopic 👉 kwanini wanawake wengi wamekuwa na tabia ya kuomba vocha kila wakati ?. Wale wanaotafuta mchumba leo Pia ni siku yao waache namba zao za simu sababu huwezi jua labda mpenzi wako utampata kwenye #RedioYawatu #AlaZaRoho na @divatheebawse.

Karibu #CloudsFM.

#ishinamimi🇹🇿

#MamaMkwe: Ni kiasi gani unampenda Mama wa Mpenzi wako? Hivi unajua kwamba Mama wa Mpenzi wako anaweza kuwa mama yako? Ni kitu gan Maalum ambacho umewahi mfanyia mama mkwe? .

#ishinamimi🇹🇿. Share na @divatheebawse hapa #AlaZaRoho #RedioYawatu tupo mpaka saa sita usiku.

#XXL255: Pamoja na kwamba mpe habari ni moja kati ya single kubwa kwa sasa upande wa muziki wa #HipHop lakini taarifa ikufikie kuwa mshkaji wetu @stereosingasinga muda wowote kutoka sasa anategemea kuachia rmx ya ngoma hiyo, why kafikiria rmx na sio ngoma mpya, Stereo amefunguka kwenye 255.

Cc: @perfectcrispin
@askofutza.

#RedioYawatu 88.5 DSM #Ishinamimi🇹🇿 .

#XXL255: Unapoambiwa kuwa muziki uko DSM (88.5) inabidi ukubali hasa kwa wewe mshkaji wetu ambaye plan yako ni siku moja kuja kuwa star kubwa Tanzania, ndiyo maana tunaona baadhi ya Mastar wakihama toka mikoa wanayotoka kuja DSM, na ndiyo kitu ambacho nahisi @belle9tz kilikua kikimchelewesha sana mpaka siku Menejiment yake ilipoamua kumleta Dar moja kwa moja, Hivi Belle kama isingekua VITAMIN MUSIC angekua wapi ? ....msikilize hapa.

Cc: @askofutza
@perfectcrispin.

#RedioYawatu 88.7 #Morogoro #Ishinamimi🇹🇿

#XXL255: #Sikika ni #BrandNewVIDEO toka kwa Rais wa Manzese @madeeali, ambapo ndani ya video hii imekua ni tofauti kidogo na namna watu walivyozoea kwa sababu kama umefanikiwa kutazama chupa la ngoma hii utakua umeona mfumo alioutumia Madee ni ule wa Cartoon na ngoma hii kamshirikisha @teknoofficial watu wengi wanahisi kwamba sababu ya kufanyika hivyo hiyo video ni sababu Tekno alikua ngumu kupatikana, sasa #XXL255 imemvuta Madee na yuko tayari kutuambia kilichotokea.

Cc: @perfectcrispin
@askofutza.

#RedioYawatu 88.1 #Arusha #Ishinamimi🇹🇿

@Regrann from @cloudsfmtz - @askofutza mitamboni, @kenedytheremedy yungali fungateni.
.
.
Yes, kunako #BongoFleva leo @askofutza anasimamia mchongo mzima kwa niaba yake Mzee wa Mipuyango ambaye yuko fungate lakini pia yupo chini ya uchunguzi wa Kamati ya mabachela inayomtuhumu kuwahujumu.
.
Sikiliza #RedioYaWatu sasa hivi.

@askofutza mitamboni, @kenedytheremedy yungali fungateni.
.
.
Yes, kunako #BongoFleva leo @askofutza anasimamia mchongo mzima kwa niaba yake Mzee wa Mipuyango ambaye yuko fungate lakini pia yupo chini ya uchunguzi wa Kamati ya mabachela inayomtuhumu kuwahujumu.
.
Sikiliza #RedioYaWatu sasa hivi.

Most Popular Instagram Hashtags