#queentipha_products

18 posts

TOP POSTS

#AfricanMomy
Kwa mahitaji ya #queentipha_products wasiliana. nasi +255746244080

#QueenTipha_Products ft #AngelaProducts
Popcorn zinapatikana kwa jumla na rejareja .. Na ubuyu wa katoto kangu @angela_products unapatikana kwa jumla na rejareja pia.

Sura ya kazi. Sura ya uchovu..
Today's uniform..
#QueenTipha_Products
#QueenTipha_popcorn
Weka order yako +255746244080
#queentipha_collection Tupo wazi mpaka saa 2 usiku...πŸ™ˆ
#MwengeBehindAzaniaBank

MOST RECENT

#QueenTipha_Products ft #AngelaProducts
Popcorn zinapatikana kwa jumla na rejareja .. Na ubuyu wa katoto kangu @angela_products unapatikana kwa jumla na rejareja pia.

Tunawatakia heri ya sikukuu ya Pasaka
#QueenTipha_Products
#queentipha_collection
#queentipha_Popcorn Duka litakua wazi kuanzia saa 5 asubuhi mpaka saa11 jioni.

My babies...
πŸ†πŸ‘—
#QueenTipha_Products
#queentipha_collection
#queentipha_Popcorn
Tupo wazi mpaka saa 2 usiku.
#MalkiaWaNguvu2017 #Retail

πŸ™ˆπŸ™ˆ nafanyia kazi maoni yoote.. Hahaha ntaongeza ukubwa kiduchu.πŸ˜€πŸ˜€
#queentipha_products
1,000/=

Sura ya kazi. Sura ya uchovu..
Today's uniform..
#QueenTipha_Products
#QueenTipha_popcorn
Weka order yako +255746244080
#queentipha_collection Tupo wazi mpaka saa 2 usiku...πŸ™ˆ
#MwengeBehindAzaniaBank

99.9% ya maisha yangu, yanaendeshwa na hili jina.
Mungu pekee ndio anajua jinsi gani naliheshimu na kulipenda hili jina, ndo linaniweka mjini jamaniπŸ’ͺπŸ™ˆ..
#QUEENTIPHA Japo changamoto ni nyingi,ila tufanyeni kazi kina dada wenzangu... Sisi ni zaidi ya tunavojichukulia. #QUEENTIPHA_COLLECTION
#QUEENTIPHA_POPCORN
#QUEENTIPHA_EMPOWERS
#QUEENTIPHA_PRODUCTS πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Leo mapema tulipata ugeni wa KCB bank... Mtu wa marketing alikuja kutusalimia, kufatilia maendeleo yetu na kushauriana vitu vingi vinavyohusu marketing, baada ya workshop yao walio ifanya Dec na #QueenTipha_products tukahudhuria... Thank you KCB for this opportunity.. Ni kubwa mno kwetu Kama #QueenTipha_Products
#WomenEmpowerment
#KCBbank

Unapozungumzia #QueenTipha_Products Huachi kuzungumzia #QueenTipha_popcorn ..
Unataka popcorn tutafute kwa namba +255746244080
#Cocoapopcorn
#QueenTipha_popcorn

Leo amezaliwa mmoja wa staff wa #queentipha_collection
Happy Birthday Doreen.
Mungu akutunze na azidi kukubariki kwenye kazi zako.
Kwa niaba ya Team nzima ya #QueenTipha_Products kwa ujumla
tunakutakia kila la kheri katika siku yako hii.

Wakati mwingine tujifunze kusema HAPANA bila kujihisi tunatakiwa kuelezea kwanini tumesema hapana.
#QueenTipha
#QueenTipha_Collection
#QueenTipha_popcorn
#QueenTipha_Products

follow this page in feedly

Most Popular Instagram Hashtags