#nguva

MOST RECENT

Copy ya #Nguva 🙆😀😀😀

Mark 5:19...but He said to him, "Go home to your people and report to them what great things the Lord has done for you, and how He had mercy on you." #Nguva zhinji kuMusiki #LOG #Testimony
#Usakanganwe kutenda Ishe

Hizo Munazo ziona Ndio Picha Halisi za #nguva. Kumbe sio mtu nguva ni kiumbe kimmoja kinacho tisha sio kama tulivo zoea kumuona nusu mkia na mwili wa binaadam aa nikiumbe kamili hiyo ya nusu mkia nusu mtu ni ubunifu wa watu

Baada ya kutoa video ya #magongo iliyokuwa na concept ya nguva, miezi 3 baadae @nickiminaj katoa na concept ile ile....hmmm usipuuzie mawazo utakayoyapata, itendee kazi mapema vinginevyo wenzako watakuwai 😅😁
.
.
After releasing my previous video #Magongo with a #mermaid concept, 3 months later @nickiminaj
Releases #bed with a similar idea ......255 representin in advance😁😅, dnt ignore the ideas jumpin in ur mind,make an effort to make it manifest quickly otherwise someone else will.
.
.
#blackmermaid #nickiminaj #bed #tz #melaninpoppin #nguva @deejay_ninaa @favoliii @mamybabytz @tirarira2

When time is up what's remains #nguva

One of the most enchanting places on Earth... Shela village, LAMU town. In one of the most beautiful homes. My aquatic-girl doing what all water-people do/did, swim and play for hours in the water. And the #cicada orchestra is magnificent! #lamutown #Nguva #blackmermaid #honeymoonhouselamu #FunshoKymfestival #mutustudio @mutustudio

Inspired by "Water Woman" by Wangechi Mutu @mutustudio of Kenya in bronze overlooking the lagoon at Laguna Gloria @contemporaryatx - swipe to see more views and the accompanying written context for the work. .
.
.
#wangechimutu #artist #bronzesculpture #mermaid #mermaidart #mermaidsculpture #manatee #dugong #nguva #lagoon #kenyanartist #kenyanart #atx #austintx #austinart #sculpturegarden

#53: Walipatwa na mshtuko wa ajabu baada kuona #nguva akiibuka majini wote walipatwa na mshtuko wa moyo aswa #hanspop kwa kuwa akuwai kuona samaki huyo maishani mwake aliishiwa kuhadithiwa tuu na baba yake japokuwa ashaingia baharini mara kibao na ndo yalikuwa maisha yake ya baharini lkn akuwai pata bahati ya kuomuona samaki huyo. Ila kwa upande wa #mwakipale akuwa na shaka sana kwa kuwa aliona ni #jini_faidesi basi ile ofu ilimpungua na kujiona kawaida ila bado #hanspop akuwa na utulivu wa akili kwa kuwa hadithi ya samaki huyo ilikuwa ya kutisha sana kwa mshtuko alioupata basi mawazo yalirudi nyuma na kukumbuka story moja aliyopewa na baba yake wakiwa baharini """"""""""""""" mwanangu #hanspop ishia kuona haya maji ya bahari, yana mambo mengi na lukuki na yana vitu vya ajabuuu sana pia hata viumbe vyake ni tofauti kabisa na vile uvionavyo nchi kavuuu, pia uonapo samaki wazuri tuwavuapo usizani wote ni wazuri kwa bahari hiii nakumbuka nikiwa mdogo zaidi yako nilikuwa na babu yako kwenye maji haya. Tulitega nyavu yetu safiii ila tulikuja vua kitu cha ajabu kabisa alikuwa samaki mtu (nguva) na kwa upande wangu ilikuwa ndo kwanza kumuona na nilipatwa na mshtuko mpaka mkojo kunitoka, tukiwa ndo tunaparangana naye kumleta kwenye boti mara nilisikia maumivu makaliiii kifuani kwanguuu baada ya ------( sema neno moja juu ya simulizi zangu)

Black + Silver
Press your order Now 0654700661

#Wakandaforever
#nguva #silver #black #gown #royalfashiontz #tanzania🇹🇿

Absolutely beautiful! New bronze sculpture at @desmoinesartcenter by @mutustudio titled 'Water Woman' made in 2017. Love it

#wangechimutu #nguva #mutustudio #artofig #sculpture #bronze #artlovers #artlife #headyart #artcenter #artcollective

MFAHAMU NGUVA. nguva ni kiumbe ambaye amejizolea umaarufu mkubwa sana duniani, lakini umaarufu wake huo huishia kwenye jina tuu na si muonekano wake, kiuharisia kiumbe huyu akionekana ni vigumu sana binadamu kumtambua kwamba ndiye nguva mwenyewe ambaye humzungumza nyakati tofauti, na yote hiyo ni kutokana na uvumi ambao umeenezwa ya kwamba eti nguva ni nusu mtu pia nusu samaki, tena samaki ambaye ni mwanamke, pamoja na uvumi huo lakini hata siku moja katika haikuwahi oneshwa viumbe hao madume wake hufanania vipi, pia haijawahi thibitishwa kwamba dume la nguva huyo avumaye naye huwa na muonekano huo huo wa samaki mwanamke.
#LAKINI_UKWELI_HARISI_WA_NGUVA_NI_UPI ?
Cha kwanza unachotakiwa kufahamu ni kwamba #Nguva si samaki kama ivumishwavo, Kiumbe huyo ni mnyama aishiye majini kama alivyo kiboko tuu, kwa jina jingine huitwa Ng'ombe wa majini lakini kama utapenda majike yake huvuma kwa jina la malkia wa majini, Nguva ni miongoni mwa wanyama wenye bahati kubwa ya kuishi miaka mingi sana huzeeka akiwa na miaka 50 na huweza kugonga hata 70 na ushehe ! Chakula chake kikuu ni majani, hupevuka wafikishapo miaka 9 mpaka 16 na mimba hubeba kwa miezi 13 mpaka 15, Nguva huzaa mtoto mmoja tuu, muda mfupi baada ya kuzaliwa mtoto hupelekwa juu ili apate nafasi ya kupata pumzi vyema na hunyonya kwa miezi 18 baada ya hapo hujifunza kutafuna majani na siku atapopevuka tuu biashara ya kukaa na mama yake huishia hapo.
#KWANINI_ANAFANISHWA_SAMAKI_MWANAMKE ? Nguva anafanishwa na umbile la mwanamke kwa sababu zifuatazo, mosi umbo lake harisi hufanania na nguruwe hivyo ili kumtengenezea picha nzuri isingelipendeza kama wangemvisha umbo lake hilo hilo na mchanganyiko wa binadamu, ndio maana wanasanaa huamua kumtengenezea kama samaki ingawaje mwili wake chini hauna miguu, ila juu ana mikono miwili yaani kulia na kushoto. Pili ana matiti mawili katika kifua chake kama ilivyo kwa mwanamke, tena yale yale yenye viwango vya ubichi ubichi (12:00 kamili pasina hata dakika mbele). Tatu ni mnyama mwenye aibu sana, hapendi kuonekana hovyo na wanadamu pengine labda ni kwa sababu ya 12:00 na isitoshe havai nguo, ufanano wa aibu yake ni sawa na binti anayeanza kupevuk

#53: Walipatwa na mshtuko wa ajabu baada kuona #nguva akiibuka majini wote walipatwa na mshtuko wa moyo aswa #hanspop kwa kuwa akuwai kuona samaki huyo maishani mwake aliishiwa kuhadithiwa tuu na baba yake japokuwa ashaingia baharini mara kibao na ndo yalikuwa maisha yake ya baharini lkn akuwai pata bahati ya kuomuona samaki huyo. Ila kwa upande wa #mwakipale akuwa na shaka sana kwa kuwa aliona ni #jini_faidesi basi ile ofu ilimpungua na kujiona kawaida ila bado #hanspop akuwa na utulivu wa akili kwa kuwa hadithi ya samaki huyo ilikuwa ya kutisha sana kwa mshtuko alioupata basi mawazo yalirudi nyuma na kukumbuka story moja aliyopewa na baba yake wakiwa baharini """"""""""""""" mwanangu #hanspop ishia kuona haya maji ya bahari, yana mambo mengi na lukuki na yana vitu vya ajabuuu sana pia hata viumbe vyake ni tofauti kabisa na vile uvionavyo nchi kavuuu, pia uonapo samaki wazuri tuwavuapo usizani wote ni wazuri kwa bahari hiii nakumbuka nikiwa mdogo zaidi yako nilikuwa na babu yako kwenye maji haya. Tulitega nyavu yetu safiii ila tulikuja vua kitu cha ajabu kabisa alikuwa samaki mtu (nguva) na kwa upande wangu ilikuwa ndo kwanza kumuona na nilipatwa na mshtuko mpaka mkojo kunitoka, tukiwa ndo tunaparangana naye kumleta kwenye boti mara nilisikia maumivu makaliiii kifuani kwanguuu baada ya ------( sema neno moja juu ya simulizi zangu)

Atimae Mungu amesikia kilio chenu
#Nguva Viking aka BABU SEYA
# PAPII COACHER.
#HONGERA RAISI WETU MH. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFURI KWA KUTANGAZA LEO WATU HAWA WAACHILIWE HURU!!! NI JAMBO LA FURAHA SANA HASA KATIKA TASNIA YA SANAA NA PIA KATIKA JAMII PIA! KAMA MDAU ULIEGUSWA NA HILI UNALIONGELEAJE!!?....
# WELCOME NGUZA VIKING FAMILY. # SASA MZIKI WA DANCE UMERUDI TENA. #HONGERA kwa Hili Mh. JPM.

One way to discover Wangechi Mutu's Water Woman at Laguna Gloria! This siren figure - evocative of a mermaid - references the East African folkloric legend of the half woman, half sea creature (nguva in Swahili) who entices and eludes watery travelers. Come find her by the lagoon at Laguna Gloria! Artwork credit: Wangechi Mutu, Water Woman, 2017. Bronze. 36 x 65 x 70 inches. Artwork © Wangechi Mutu. Courtesy the artist and @gladstone.gallery, New York and Brussels. 📷 by @louisgrachos.
#ContemporaryATX #WangechiMutu #WaterWoman #nguva #LagunaGloria

It's all about God's love
#Nguva

Most Popular Instagram Hashtags