#neria

1315 posts

TOP POSTS

Jana ilikuwa siku ya Wajane. Nashukuru niliweza kushiriki siku hii kwa kutembelea taasisi inayosaidia wajane na watoto yatima kwa kushiriki kwa kuwapatia kitu kidogo kama zawadi ya Eid na kuwafariji. Kwanini siku hii ni muhimu? Wajane wengi kutokana na tamaduni wananyimwa haki za ardhi, kipato na mali na hivyo hupata shida katika kukidhi mahitaji yao baada ya kufiwa. Nadhani wengi mnakumbuka kwenye ile filamu inaitwa #Neria iligusia changamoto hizi na hata mtazamaji kutokwa na machozi juu ya changamoto alizokuwa anazopitia Neria baada ya kufiwa na mume wake. Nashukuru Deputy Secretary General wa UN Mama Amina kutukumbushia umuhimu wa siku hii.

Nafikiria mikoba ya Prof j au Sugu unaweza kumkabidhi Roma fasta na usiwe na tatizo au hata kala jeremiah.kifupi malegend wa kiume wakipumzika muziki huwa hatulioni pengo kubwa sana.

Ila tukirudi kwa wasanii wa kike bado naangalia nani mwenye uwezo wa kuipokea mikoba ya Lady jay dee.

Jide kama dada wa bongofleva hii sidhani hata yeye kichwani kama analo jina la mmoja ambaye anaweza kumkabidhi mikuki na sime.

Hapa sizungumzii uwezo tu wa kimuziki maana tunafahamu tunao Ruby,maua,vanesa n.k .Nazungumzia Package nzima ya jide.kwanza muonekano wa kitanzania kuanzia mavazi hadi muziki wake, ile Heshima(Brand)aliyojiwekea,mipango mikakati ya kudumu kwenye game,Kwa wanaofatilia muziki nadhani mmeelewa nazungumzia nini.

Niliwahi kumuwaza Mwasiti ila sijui ilikuaje tena naye.kifupi wasanii wengi wa kike waliojitokeza siku za nyuma,mifumo ya ulinzi wa status zao kimuziki waliziacha mikononi mwa #menejaz kiasi kwamba ilikua rahisi kudrop,mf.wasanii wengi Tht.

Nikumbushe kidgo kuwa Dada ndiye msanii pekee Tz mwenye collabo na mzee Oliver mutukudzi.Nadhani mnamfahamu huyu mzee wa #Neria.collabo za wasanii wakubwa south africa alizipiga longtime kabla hata #instagram,whats app au issue za connections.

Hatukatai lazima msanii awe na starting point ila Dada Jide alifanikiwa kuiweka hatma ya status yake mikononi mwa Mashabiki kiasi kwamba waliweza kumsimamisha hata baada kutikiswa kidogo.

Unfotunatly sijapata kujua endapo kuna msanii wa kike aliyejaribu kukaa karibu na dada haswa au kutaka kujifunza kitu.nilimsikia Fnl Dada akisema wasanii wengi wanaogopa kumuomba collabo sababu wanajua walichokifanya kipindi yupo kwenye misukosuko.sikutaka kuwa mtabiri ila najua wasanii wa kike pia mlimuacha Dada peke yake.😐 Anyway yamepita sasa na jide ni mupya na yupo na Shem letu bwana #Spicy😛😉 ila kiukweli hii ni changamoto kwa wasanii wa kike bongo.wengi wanaoibuka wanatumbukia kwenye shimo linaitwa #KIKI NA SKENDO za uongo na zikifikia mwisho chali.tukisema Vannesa i respect her ila mziki wake si wa nchi hii😜😜 ana njia yake na identity tofauti.

Kifupi hakuna namna,Da judy tukuombee tu uendelee kuwepo badae uwe Mirium makeba wetu angalau apatikane wa kumpa kijiti😍 💃💃💃💃

In today's edition of "being born is neither an achieverment nor a talent".....#tukumusic #neria .......http://bit.ly/1wYjt2I

MOST RECENT

I'm gonna miss you my cool funny smart grandma. I know your shining down on me. 😓❤️ #grandmaBarb #neria #togetheragain #restinpeace #family #love #fbf #missyoumuch #grandma #og #godblessourfamily

Be your own boss #neria

@Regrann from @jokatemwegelo - With Dr Oliver Mtukudzi @tukumusikofficial yesterday before heading out to the #NBAAfricaGame Fan Zone Celebrity Game ... My all time favorite songs from him are definitely #NERIA and #TOBII what an honor to be in such greatness!!! #Legends #AficanIcons #Zimbabwe #Tanzania - #regrann

@jokatemwegelo - With Dr Oliver Mtukudzi @tukumusikofficial yesterday before heading out to the #NBAAfricaGame Fan Zone Celebrity Game ... My all time favorite songs from him are definitely #NERIA and #TOBII what an honor to be in such greatness!!! #Legends #AficanIcons #Zimbabwe #Tanzania@globalpublishers
#YouTube===>; #globaltvonline
#Facebook===>; #globalpublishers
#twitter ===> #globalhabari
#website===>; #globalpublishers.co.tz

With Dr Oliver Mtukudzi @tukumusikofficial yesterday before heading out to the #NBAAfricaGame Fan Zone Celebrity Game ... My all time favorite songs from him are definitely #NERIA and #TOBII what an honor to be in such greatness!!! #Legends #AficanIcons #Zimbabwe #Tanzania

Most Popular Instagram Hashtags