[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#mwanadamu

131 posts

TOP POSTS

Mafanikio na mapungufu ni sifa ya #Mwanadamu ukamilifu ni wake #Manani

Shilingi angekuwa anatoa #mwanadamu basi ningekosa hata #buku ya vocha

Asante #Mungu

#mrRomantic

##YA mungu **si ya
##mwanadamu.. Asante MUNGU kwa yote. .. (Ngindo boy)

...Nilishamalizana na Vijana wa Kanisa la KKKT Wailes TEMEKE, tumekuwa na Mazungumzo mazuri na yenye kuonesha nini kifanyike......Ratiba inayofuata sasa ni kuelekea kwenye Usaili wa KARIBU MUSIC CENTER SEARCH pale Mbezi Beach,Mimi na Crew nzima ya Zingo TV Tutakuwa pale kufanya mahojiano na Majaji pamoja na washiriki......#Mwanadamu Hawezi Kuzuia wewe kwenda mbele......#Zingo The Greatest,

C kila nikifanyacho kitampenda kila mtu ni ngumu sn kumfurahisha kila ##mwanadamu

MUNGU HUMSAIDIA #MWANADAMU KUPITIA #BINADAMU,HIVYO USIMZARAU #BINADAMU MWENZI MAANA HUJUWI NI NANI ATAKAYE #KUSAIDIA KESHO

Naipenda #Furahaaaa_kuliko_chochote #hakika_mungu_hanaga_upendeleo🙏 hufanya kwa wakati anawo taka yeye na si anawo taka #Mwanadamu

#KAZI ni Kipimo cha "UTU" {Mwlm: J. K. Nyerere}

#Hapa "KAZI" TU..! {Mh. Raisi: J. P. Magufuri}

#Mwanadamu ni Mnyama Mfanyakazi..! {Karl Max} ... Hivyo basi tutie bidii ktk Kufanya KAZI...! @PH KING

#Mungu wetu sote anaga ubaguz kama #Mwanadamu na yeye ndo kimbilio la mwengi kuliko mwanadamu yeyote yule #love_god❤️

MOST RECENT

Translated by doppe_waxy
Tafsili na doppe_waxy
#makeithappen #fanyakwelikamaumeamua #humanbeing #mwanadamu#fear #hofu

Thamani ya binaadamu haifanani hata na ya dhahabu, jipende, jiheshimu na jithamini, maana wewe niwathamani mbele za Mungu ndio maana kakutofautisha na viumbe wengine
#mwanadamu kiumbe aliyeheshimiwa na Muumba
#mwenyewe jikubali hivyo ulivyo
#mimi_niwathamani_asante_Yesu 🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌💪💪💪💃💃🙋

#NATHAMINI na kutambua #MCHANGO wako braza tumekuwa sote katka #KUSUKUMA_GURUDUMU la #MAISHA japo changamoto ni nyingi ila #PUNDA_AFE_MZIGO inabidi ufike

#LEO ni siku yako ni moja kati ya siku muhimu sana kwenye maisha ya #MWANADAMU nikiwa kama #JAMAA nadhani miaka 900 #ITAPENDEZA zaid

#HAPPY_BIRTHDAY BRAZA mungu akutie nguvu afya akujalie furaha Aman na #UPENDO akuongoze #UENENDE katika njia ikupasayo na yenye#KUMPENDEZA yeye

#DUNIANI hakufai ndo maana ukizaliwa tu #UNALIA

Huyu
#YESU si #Mwanadamu hadanganyeee
#AHADI zake zote #KWELI na #AMINA nimemuonaaa
Hakika #AKIKUBARIKI Hakuna
Wa #KUKUNYANG'ANYA🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏
@RAFIKIWAKWELINIMUNGUTUUU

Unakula #Bata Mpaka #Kuku Anaona #Wivu Lakini Yote Ni #Upendo & #Furaha Kwa #Mwanadamu.

#Ulimi_Uliponza_Kichwa.
#Busaraa_Kukaa_Kimyaaaaaa.. Ndani Ya #C_PARK_MATEMA """""""""""""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA"""""""""""""""""""""""

Unakula #Bata Mpaka #Kuku Anaona #Wivu Lakini Yote Ni #Upendo & #Furaha Kwa #Mwanadamu.

#Ulimi_Uliponza_Kichwa.
#Busaraa_Kukaa_Kimyaaaaaa.. """""""""""""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA"""""""""""""""""""""""

SIKU ZOOTE KATKA #MAISHA YA #MWANADAMU HAKUNA KITU KIZURII NA CHENYE #UMUHIMU KAMA #FURAHAAA😊😊..
WAPO WANADAMU WANAOISHIII WENYE #PESA #MAGARII #MAJUMBAA , KILA KITU WANACHO LAKINI WANAKOSA KITU KIMOJA KIITWACHOO.... #FURAHAA😊.
IVOO #FURAHAA😊 INARUDI KWA KUWA HURU KWA KUFANYAA NA
KUCHAGUA KUTOKA KWENYE MOYO WAKO NA NAFSI INAPENDA KUFANYAA ULICHOKIONA NINASTAHILI HAPO NDIPO UNAWEZA KUWA NA MAISHA YENYE FURAHA NDANI YAKE.
KUNA #MASIKINI AMBAO WANAMAISHA MAGUMUU LAKINI KATKA MAISHA YAO WANAFURAHAA INATOKANA NA KURIDHIKA KWA WALICHOKICHAGUA NDAN YA NAFSI ZAO ILI ZIWE NA #AMANI NA FURAHAA PIAA. IVOO UKIKOSA FURAHA KATK MAISHAA UNAWEZAA UKAKATAA #TAMAA KATKA KUFIKIA #MALENGO YA MAISHA YAKO.
#NINAFURAHAAAASIJUIIIIIWEWEEEE!!!!!!!
KUWA HURU KUFANYAA UPENDACHO NA UTAKACHO ILI UWEZEE KULETA NA KUPATAA FURAHA YA MAISHAA

Tittle: #powerofprayer
Mchoro: @danielsusuma.tz . "And now i have learnt the most important lesson of all, GOD ANSWERS PRAYERS"

#Mwanadamu si #mkamilifu lakini unavyozidi kumtumainia Mwenyezi #Mungu ndivyo unavyozidi kukaa nuruni na kung'aa zaidi na #mafanikio tele.
Stail yangu ni ya #vibox vilivyotengeneza sura ya mtu kanakwamba ukikitoa kimoja kinaaribu maana ya sura ya mtu katika #Mchoro na ndipo kusema mwanadam si mkamilifu, na pia stail ya vivuli kwa nyuma kichwani nipeusi kulinganisha na kwenye paji la uso ambapo ni peupe kumaanisha kuwa zaidi unavyomtumainia Mwenyezi Mungu ndivyo unavyozidi kutoka #gizani kwenda #nuruni ama kwenye #mafanikio makubwa.

#kipajichakoajirayako
#mfuraisheumpendae
#dsusuma

#mwanadamu mwenziyo akikutakia mabaya we mtakiea kheri kwakira jambo atendalo`amen!

#فأخذناه #جنوده #فنبذناهم #في #اليم
KUNA WAKATI #MWANADAMU ANAKUWA KAMA VILE #TAKATAKA:
_______
Mwanadamu ana thamani kubwa mbele ya Allah (s.w)... Sema anapokuwa na kiburi au Kibri mbele ya Allah (s.w) anspoteza thamani thamani yake ya uanadamu.

Anakuwa kama vile kitu ambacho unaweza kukishika na ukatupia kule kwenye dustbin🗑 kama vile takataka.

Tizama Kibri cha Fir'aun....Mwisho wake mbaya alishikwa yeye na watu wake waliokuwa wakimfuata na wakatupiwa huko baharini au kwenye mto mkubwa wa nile... Kama vile unavyotupa matakataka kwenye shida la Takataka.

فأخذناه و جنوده فنبذناهم في اليم ...."
"Basi Tukamshika yeye na majeshi yake na Tukawatupa baharini...."
Suratul _ Qasas: Aya ya 40.

Tizama...Mtu unatupiwa tu kule! Kama vile takataka na uchafu unavyotupia kule kwenye shimo la takataka!.... na sababu ni kibri chako tu kwa kukataa ya Mola wako au kuyapinga au kuyakejeli au kuyadhihaki n.k

Kuwa makini...usije kuwa takataka.
____________________
http://t.me/ShTaqeeTheIslamPost

MUNGU HUMSAIDIA #MWANADAMU KUPITIA #BINADAMU,HIVYO USIMZARAU #BINADAMU MWENZI MAANA HUJUWI NI NANI ATAKAYE #KUSAIDIA KESHO

..#MUNGU pekee ndiye Anayeweza kunihukumu....#MWANADAMU Hajapewa #MAMLAKA...💯 .....JUMAPIL⛪⛪⛪NjEMA.....

#Upendo ni kitu #muhimu katika #maisha ya #mwanadamu!!!

#inawezekana ikawa unajua lkn #nimesahau😹😼😻na ndo maana najitahd kusoma #kasoro zangu kupitia #Tabia za kwako na kwa kua #najua kuna kipnd #hata_sumu umsamehe #Mwanadamu pindi inapo bembelezwa na #maziwa BA's hata samahn inaweza kuja pale #unapopatia
#hla_kumbka sura yako sio #njia
#maisha lazma yaendeleee🙌
#na ukinichukia #ckosii helaaa

#king_kizzø_zè_lëmēd
#966moneyMaker

##YA mungu **si ya
##mwanadamu.. Asante MUNGU kwa yote. .. (Ngindo boy)

#Hakuna Aliye #Mkamilifu Mbele Ya #Allah Na #Mwanadamu Wa Kweli Ni Mwenye #Kusamehe.

#MUNGU Jaalia #Safari Yangu Nifike Salama #Zanzibar.. """""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA""""""""""""""""

#prayfortundulisu
#watanzania tupo nyuma yako #kila mtu kwa imani yake pray for him
#mungu wetu sote
#akipangachomungu #mwanadamu #hawezi kupangua
#hapandipotanzaniailipofika
#god

#Mataharisho ya #MOYO ni ya #MWANADAMU ila jawabu la ULIMI hutoka kwa #MUNGU.....#ultimate #sophistication

Mafanikio na mapungufu ni sifa ya #Mwanadamu ukamilifu ni wake #Manani

#Mwanadamu ni #vigumu Sana kukumbuka #Mema Uliyomtendea....ila #Rahisi Sana kukuhesabia #Mabaya Unayotenda..... 💯 🎹🎷🎺🎸 Asubuh Njema
Wazawa Classic Ent
W. C. E
#Manyoni BoY

Nnaamini muonekano wangu haumchukizi #Bwana bali unawachukiza #Wanadamu
Na ukimfurahsha #Mwanadamu %mia lazma umkwaze #Bwana!!

Ushawahi kujiuliza '

#Anayekueleza mabaya ya Flani!
Akifika kwahuyo flani
Anamueleza nini kuhusu wewe??? #Mwanadamu ni mwanadamu tu, 😁
nakushauri umsikilize nakumuamini Mungu tu,#ujumbemzurihuuu @danielpauloikoja #goodmorning #siteketei_siangamii_sigharikishwisababu_upo_nami_bwana

#mwanadamu..Ishi nae vizuri,usimuamini kila mtu.!!!

#KAZI ni Kipimo cha "UTU" {Mwlm: J. K. Nyerere}

#Hapa "KAZI" TU..! {Mh. Raisi: J. P. Magufuri}

#Mwanadamu ni Mnyama Mfanyakazi..! {Karl Max} ... Hivyo basi tutie bidii ktk Kufanya KAZI...! @PH KING

Si lazma ueleweke na kila mtu kwenye uduma yako... Hawo wanaokuelewa ndio uliyoitiwa... Usifanya Kama flani but ufanye Kama wewe. #alizishwi #mwanadamu.. #nikwajili ya Utukufu wa #MUNGU BABA

#Mungu ndio anajua #SIKU NA #SAA wakati ukiwadia #mwanadamu awezi kuzuia
Nikiwa kama member wa #efm_supporters #Taarifa hii imenishtua na kunitoa #machozi :-
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 😊
Kwa masikitoko makubwa E FM inapenda kuwajulisha kuwa mwenzetu #Seth_Katende maarufu" #Bikira_wa_kisukuma"amefariki dunia Leo mchana katika hospitali ya
#Taifa_ya_Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.
#Seth atakumbukwa sana kwa ucheshi wake kupitia kipindi cha #Ubaoni alichokua akiendesha sambasamba na #Imma_Kapanga na #Mpoki au "#mwarabu_wa_Dubai".
Msiba upo nyumbani kwa baba yake mzazi #Changanyikeni Dar es salaam.
Endelea kupitia kurasa zetu na kusikiliza #Efm_radio na #TVE kwa taarifa zaidi.
Mungua ailaze Mapema roho ya marehemu amen.

#supotbymanenonyagaly🍊🍎🍋
#toka_kona_ya_matunda_Kawe

...Nilishamalizana na Vijana wa Kanisa la KKKT Wailes TEMEKE, tumekuwa na Mazungumzo mazuri na yenye kuonesha nini kifanyike......Ratiba inayofuata sasa ni kuelekea kwenye Usaili wa KARIBU MUSIC CENTER SEARCH pale Mbezi Beach,Mimi na Crew nzima ya Zingo TV Tutakuwa pale kufanya mahojiano na Majaji pamoja na washiriki......#Mwanadamu Hawezi Kuzuia wewe kwenda mbele......#Zingo The Greatest,

#Mwanadamu yeyote lazima aiogope kesho,hili aweze kuifathi kile kidogo akonacho,napia kuwa kioo cha jamii,pia lazima ukue creative kwa jambo lolote unalo lifanya....ndio uweze kuthaminika na kuifathika katika jamii ya sasa, na mshukuru Mungu kwa yote ambayo amenitendeya maishani.

Kila kunapo kucha nazidi kuwa na furaha pia #namshukuru mwenyezi mungu mahana yeye ndio mgawaji #ridhiki kwa kila #mwanadamu anaetoa bila ya #upendeleo nawambia wanangu wa mtaani akuna kitu kinacho #shindikana endapo utakapo jituma #Mtafutaji OG+

Tatizo lako Aliyekuumba ni #Mwanadamu,lkn Angekuumba #Mungu Usingenipotea...!
🐜Hela,Hela,Hela🐛Hela.....
___________A Nice____
************Mondey""""****

Tumepoteza viongozi na watu muhimu wa kesho kwa families na taifa. Mungu simama na ndungu, walezi, na wazazi katika kipindi hiki kigumu.
#Mwanadamu ni mavumbi. Na mavumbiniutarudi.
#goingtoosoondears
R.I.P

Huyu. Yesu si #SANAMU,, si #Mwanadamu " Adanganye"
Akisema ndio hakuna wa kumpinga

NASAHA ZA ASUBUHI RAFIKI WA KWELI, leo alhamis 27/4/017
imeandaliwa na Group la KIKAVU ISLAMU FAMILY
#Mwanadamu utambue kuwa katika maisha yako kuwa hakuna rafiki wa kweli umezungukwa na kila aina ya adui na ndomaana katika qur'an ziliteremshwa sura mbili (al'muawwadhataan) surat naas na surat falaq ili ujilinde kila asubuhi na jioni
kwamaana nyengine RAFIKI wa kweli ni ALLAH s,w hivyo soma sura hizo kila asubuhi na jioni allah akupe ulinzi wake inshaallah.

#ninaishi Kwa #neema yake #mwanadamu hana pingamiz juu yangu #caption
#HANDSOME asiyekuwa na,#MATUNZO

Kama hujalala bado, na hujakumbuka kumshikuru #MUNGU Kwa ukarimu wake kwako siku nzima ya leo.
#Mwanadamu piga magoti hapo ulipo, Muambie #MUNGU asante kwa uzima ulio nao.

Most Popular Instagram Hashtags