[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#mpirawamiguu

21 posts

TOP POSTS

#NDONDOKWANZA sio mdau makini sana wa #mpirawamiguu ila damu iko kwenye #ndondo.....ukiniuliza sababu nitakwambia naamini vipaji ndiko vilipo!
#ndondocup

Artwork © g16 (2012)
#KALIart
#makiniWorknaG16
255HARAKAHARAKATI

For the love of the game....neva neva let it go......call it any hw...u like #soccer #football #mpirawamiguu #purelove

"we mic him much"
Siku kama ya leo mwaka : 1999, @thierryhenry alijiunga Arsenal akitokea Juventus kwa ada ya £11m.
Aliitumikia Arsenal kwa takribani miaka 8. #Gwiji #arsenalfc #thegunners #arsenal #soccer #football #epl #soka #mpirawamiguu

#DizzimUpdates: #TujuaneTusaidiane ya #MkubwaFella inayofanyika huko #kilungule jijini Dar es salaam inayokutanisha watu mbalimbali wenye #Vipaji tofauti tofauti...Baadhi ya watu waliojitokeza kuonyesha vipaji vyao #MpiraWaMiguu
Sponsed by @mziiki & @smile_tanzania

"Makombe Yanapoathiri Falsafa Za Timu"
Msishangae jamani, leo najivisha uchambuzi wa michezo kidogo japokuwa by professional ni mchambuzi wa siasa! Kimsingi nataka kuwashirikisha nnachokiona katika mpira wa ulaya kwa sasa.
Nadhani currently trophies/makombe yameongezeka thamani zaidi ukilinganisha na zamani, kiasi kwamba hata timu naona zinaelekea kubadili falsafa zao ili tu ziweze kupata makombe!
Man Utd kumuajiri Mourinho, Chelsea kubadili makocha kila mara, Barca, Madrid, Man Utd, Arsenal,n.k., kuanza kuwekeza zaidi katika usajiri wa wachezaji kuliko kuchukua vijana katika academy zao na mambo mengine mengi sampuli hiyo, yananifanya nianze kuwa na wasiwasi na umuhimu wa falsafa katika zama zijazo za mpira! Naziona falsafa zikibaki kama vivuli tu vya miongozo ya timu kwa baadae na si kama msimamizi wa mienendo ya timu pamoja na muamuzi wa kocha yupi na mchezaji gani ni sahihi kwa timu gani.
Nimejikuta nikifikiria hili baada ya kitendo cha Man Utd kumsajiri Mourinho kama kocha mpya akija kumreplace LVG, kwa kuwa iko wazi kuwa Mourinho si kocha wa kudumu na si mtu anaetoa fursa kubwa kwa youngstars from the academies.
Kwa mawazo yangu nadhani LVG alikuwa mtu sahihi kwa Man Utd, japokuwa kuna sababu sahihi za kimkataba na kiufundi zilizochangia kuondoka kwake, mojawapo ikiwa ni kutokupata hizo trophies/makombe.
Anyways, najua washabiki wenzangu wengi wa Man Utd hawatakubaliana na mimi katika hilo suala la kumuona LVG kama mtu sahihi kwa club hii, ila naamini sababu itabaki kuwa hiyo hiyo ya kutaka sana makombe tena kwa kila msimu.
Unaeza sema makombe ndio kila kitu katika football competitions hadi ukasahau falsafa and its roles, lakini amini nakuambia bila kuzingatia falsafa, hizi Man Utd, Barca, Madrid,n.k zisingefikia mafanikio ziliyonayo leo. Ama Brazil, England, n.k, zisingepata maanguko ya kimpira endapo zingeendelea kuzingatia falsafa zao.
#mawazoyangu #mawazohuru #football #soccer #mpirawamiguu

#DREAMFULFILLER

Hapa kuna vitu viwili makini, moja ni mchezaji ambaye yuko mahiri na game na jingine ni mpiga picha alieweza kuonyesha umakini wake!
#KuwaOriginal #Vipaji #Umakini #MpiraWaMiguu #MpigaPicha #Photography #football #ChaguaOriginal #BeYou #TagMshkaji #play #live

MOST RECENT

"we mic him much"
Siku kama ya leo mwaka : 1999, @thierryhenry alijiunga Arsenal akitokea Juventus kwa ada ya £11m.
Aliitumikia Arsenal kwa takribani miaka 8. #Gwiji #arsenalfc #thegunners #arsenal #soccer #football #epl #soka #mpirawamiguu

#DizzimUpdates: #TujuaneTusaidiane ya #MkubwaFella inayofanyika huko #kilungule jijini Dar es salaam inayokutanisha watu mbalimbali wenye #Vipaji tofauti tofauti...Baadhi ya watu waliojitokeza kuonyesha vipaji vyao #MpiraWaMiguu
Sponsed by @mziiki & @smile_tanzania

Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea kesho, Jumapili.
MECHI ZA KESHO ZIKO HIVI:👆
Karata yako unatupa wapi?

#ligikuu #vpl #soka #mpirawamiguu #diratv #michezo

Most Popular Instagram Hashtags