[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#moyowashukrani

33 posts

TOP POSTS

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. (Filip 4:6)

Dressed by @unistar_vitenge
#KuelekeaEndofYear#MoyoWaShukrani

Nimrudishie Nini Bwana Mungu Kwa Ukarimu Alionitendea! Gharama ni Kubwa Kalipa Kumtoa Mwana, (Mwanawe Mpendwa) Ili Auwawe na Mimi Nipone!! Ni Ajabu Sana Amenipa Vyote Hata Nisivyostahili, Kila Ninapotembea Kanifurahisha Moyo!! #IjumaaKuu
#MoyoWaShukrani
#KumbukumbuYaWokovu
#TeamJesus

A vulture..waiting patiently for a staving boy to die to eat him!
Silalamiki sina viatu, kwani najua wapo ambao hawana miguu!

Silalamiki sijala bugger, kwani naamini wapo wanaotamani ugali maharage tuu!
Hata kama gari na nyumba sina...poa tu ipo siku yangu itafika.. Historia ya maisha yangu imenifanya nisiishiwe ndoto, lakini pia nisisahau nikipotoka!

Sikufuru kwa kutaka makubwa mno, japo daima siridhiki kwa kdg...naongeza juhudi!
Uzima wangu mwili na akili, utashi na maarifa ndo zawadi kubwa zaidi kutoka kwa Mungu wangu!
Prayers for the needy...Prayer for my country and world at large....Peayers for humanity..Prayers for prosperity!! #MoyoWaShukrani

Ukitazama ulipo ni rahisi kuwa na lawama nyingi kutokana na kukosa vitu ulivyovitamani kuwa navyo na hauna sasa!!!
Lakini jaribu kuvuta picha ulipotoka na ulipo panafanana????
Ukichunguza sana kwa wengi, utagundua ulipotoka si sawa sana na ulipo.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, epuka kulalamika kwani kuna watu wengine wengi ambao wana hali mbaya kuliko wewe na wanatamani kuwa na baadhi ya mambo au vitu unavyomiliki.
Kulalamika sio kuzuri kwani; >Kulalamika kunakufanya usione fursa zingine nyingi zilizo mbele yako. >Kulalamika kunavunja kasi ya kusonga mbele. >Kulalamika kunaondoa radha ya kutafuta au kuchakarika na vitu vya maendeleo. >Kulalamika kunaibua wivu wa kijinga ambao mwisho wa siku haukusaidii bali unakubomoa. >Kulalamika kunazuia kuujenga moyo wa shukrani kwa watu wengine pia ambao kwa namna moja ama nyingine walikusaidia katika eneo fulani ktk maisha yako.

Jifunze kushukuru kwa Mungu kwa ulivyonavyo sasa, utapata vingine vingi kwani kwa kushukuru ni rahisi kujua wapi umetoka, wapi ulipo na wapi waelekea..... Na kutakufanya umuombe Mungu ambaye ndiye Muumba wa vote mbinguni na duniani.
Na hii itakufanya kupiga kazi zaidi kwa nguvu zote na kwa unyenyekevu mkubwa.

BARIKIWA.

#moyowashukrani
@ikupachaula2017

Vyovyote inavyokuwa, Asante Mungu. #Moyowashukrani.

#swahili
Kwanza kabisa ningependa kuchukua Nafasi hii kumshukuru MUNGU BABA kwa kuniwezesha Jana nimepata kuiona siku yangu ya Kuzaliwa. Ni kwa Rehema zake na Neema Zake nimeweza kuiona tena jana na salama usalimin.
PILI ningependa kuwashukuru FAMILIA YANGU Pendwa kwa kunipongeza na kuendelea kunisapoti na kuombeana katika kila jambo.
TATU ningependa kuwashukuru watu wote mlionitakia Heri ya Siku Ya Kuzaliwa kwangu. Mwenyezi Mungu awabariki Sana tena Sana.
#thankful #grateful #moyowashukrani #heriyakuzaliwa #beautyblogger

MOST RECENT

Kimwanaworld.com website is officially on air. It comes with 4 different view, adapted for mobile phone viewing, Pc/laptops, tablet view and smart watch view. all Developed and coded by @tumentadavid from zero. Please do check on the various views and share your opinions in case of any corrections. #blogger #beautyblogger #thankful #kimwanablog #heriyakuzaliwa #moyowashukrani #beautyblogger

#swahili
Kwanza kabisa ningependa kuchukua Nafasi hii kumshukuru MUNGU BABA kwa kuniwezesha Jana nimepata kuiona siku yangu ya Kuzaliwa. Ni kwa Rehema zake na Neema Zake nimeweza kuiona tena jana na salama usalimin.
PILI ningependa kuwashukuru FAMILIA YANGU Pendwa kwa kunipongeza na kuendelea kunisapoti na kuombeana katika kila jambo.
TATU ningependa kuwashukuru watu wote mlionitakia Heri ya Siku Ya Kuzaliwa kwangu. Mwenyezi Mungu awabariki Sana tena Sana.
#thankful #grateful #moyowashukrani #heriyakuzaliwa #beautyblogger

Nimrudishie Nini Bwana Mungu Kwa Ukarimu Alionitendea! Gharama ni Kubwa Kalipa Kumtoa Mwana, (Mwanawe Mpendwa) Ili Auwawe na Mimi Nipone!! Ni Ajabu Sana Amenipa Vyote Hata Nisivyostahili, Kila Ninapotembea Kanifurahisha Moyo!! #IjumaaKuu
#MoyoWaShukrani
#KumbukumbuYaWokovu
#TeamJesus

Rafiki yangu... classmate wangu...ndgu yangu... mteja wangu.
Umependeza sana dear.
Asante kwa kuchagua @unistar_vitenge
#rangiZaChrismass #kitenge#unistar#ninawasiwaiswewesiMchagapure­čśé­čśé#MoyoWaShukrani#EndofYear

Hazina yangu moyo wangu
#moyowashukrani

Moyo wangu hazina yangu
#moyowashukrani

Shukurani day #moyowashukrani
Wapendwa wateja , ndugu na marafiki tunapenda kuwajulisha jumamosi tareh 10/12 /2016 merrylight zote za dar zitafungwa Hii ni kwasababu tunatoa shukrani ya mwisho wa mwaka kanisani sinza kumekucha lutheran church saa mbili asubuhi kama utaweza karibu tujumuike nasi baada ya ibada tunakukaribisha chakula cha mchana merrylight kinondoni b saa 7 mchana karibu pia bila kukosa

It is well and done by the fovour of almight God­čÖĆ­čÖĆ
#moyowashukrani

God i thank you
#moyowashukrani
#sikuyabwana

Vyovyote inavyokuwa, Asante Mungu. #Moyowashukrani.

Mwezi wa kwanza unaisha, una nini cha kumshukuru Mungu kwacho mpaka sasa #MoyoWaShukrani
Ungana na #GospelTraxx ya @cloudsfmtz Cc @harriskapiga @hurumaCharles @pmasele

Most Popular Instagram Hashtags