[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#miaka53yamuungano

106 posts

TOP POSTS

Nawatakia maadhimisho mema ya #miaka53yamuungano#
Dir.📷@petefarasi9 🔥🔥

Sheria za Muungano zilitoa tamko la Jamhuri ya Muungano kwamba:
“Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar zitalazimika, baada ya kuungana na siku zote baada ya kuungana, kuunganishwa kuwa Dola ya Jamhuri kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar’ (Ibara ya 4 Sheria za Muungano)

Jina hili la “Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar” lilibadilishwa baadae na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Jina linalotumika mpaka sasa) kwa kupitia sheria ya Jamhuri ya Muungano, Sheria namba 61 ya mwaka 1964. #Miaka53YaMuungano

#Miaka53YaMuungano hivi sasa ni Makomandoo wakiwa uwanjani kuonesha ujuzi wao.

Miaka 53 iliopita waasisi waliuchanganya mchanga ishara kwamba Tanganyika na Zanzibar zimeungana na kuwaa kitu kimoja.Hii ilikuwaa na maana kubwa sana; yani pande hizi mbili zilikuwaa na ushirikiano wa hali ya juu sana,pande hizi mbili zilikuwa na upendo wahali ya juu sana na pia pande hizi mbili licha ya kuongea lugha moja ilaa zilikuwaa na maelewano yalio tukuka.Waasisi hawa walituachia vitu vitatu muhimu sana kwamstakabadhi wa nchi, ambavyo ni :
#Hekima
#Amani
#Upendo
Tuwaenzi Waasisi wa taifa hili kwakudumisha vitu hivyo muhimu walivyotuachia
#Mungu_Ibariki_Tanzania
#Miaka53yamuungano

happy union day,muwe nafuraha, amin bado nipo.#miaka53yamuungano #najipendamwenyewe❤❤

Makomandoo wa JWTZ katika ubora wao #miaka53yamuungano #mcldigital

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete leo amepokewa kwa shangwe sana na wananchi hapa Uwanja wa Jamhuri Dodoma #Miaka53YaMuungano
Je, hii ni ishara ya watu kumkumbuka?

Makomando wakionyesha umahiri wa mazoezi mbele ya Amri Jeshi Mkuu katika sherehe za #Miaka53YaMuungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Dodoma.

MOST RECENT

#TUJIKUMBUSHE :"Mzee Kikwete anaokena kijana kuliko mimi kwa sababu ya kuongoza, maana kuongoza nako ni shida ..yeye kapumzika sasa ndiyo maana anapendeza" ~JPM.
.. #Miaka53YaMuungano.
.
.
#BecaLoveupdates :

Wizara ya Mambo ya Ndani yasema Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya #Miaka53YaMuungano

#Miaka53YaMuungano
Wakati Nchi za wenzetu wanatuonyesha mbinu mpya za kurusha ndege bila rubani sisi huku tunapigana na matofali na vipande vya mbao na kutuonyesha mibaunsa kama ya Maisha Club...Ni lini utakutana na adui wa kivita umpige na tofali? Mapambano ya kivita na uhalifu siku hizi ni ya kiteknolojia na akili kuliko nguvu. Mahitaji ya mtu anayeweza kuhimili kupigwa na mbao au tofali yamepungua sana maana Kuna vifaa vya kiteknolojia vinavyofanya yote haya.
#TanzaniaNchiYangu ●●Nadhani kila mwaka wa kuadhimisha kuwe na taratibu za kutuonyesha faida zilizotokana na muungano. Sijasema hazipo maana yangu isiwe tu for granted tuone kama zinashikika maana isiwe mnufaiko wa mmoja na mwingine mburuzwaji miaka yote maana manung'uniko ni mengi sana kwa Ndugu zetu wa Zanzibari jamani

" Atakayejaribu kuvunja Muungano atavunjika yeye" Rais Magufuli 26.04.2017
#Miaka53YaMuungano
#tudumishemuunganowetu

Sijui hata anko Magu aliongea nn hpa maana Jk sio kwa Cheko hilo #Miaka53YaMuungano
#tudumishemuunganowetu

Makomando wakionyesha umahiri wa mazoezi mbele ya Amri Jeshi Mkuu katika sherehe za #Miaka53YaMuungano wa Tanzania uwanja wa Jamhuri Dodoma.

#Miaka53YaMUUNGANO: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 2, 219

LEO Jumatano April 26, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph MAGUFULI ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano.

Wizara ya Mambo ya Ndani yasema Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya #miaka53yamuungano
#kingsfmradio
#updateskingsfmradio

Nawatakia maadhimisho mema ya #miaka53yamuungano#
Dir.📷@petefarasi9 🔥🔥

#Repost @cloudsfmtz with @repostapp
・・・
Wizara ya Mambo ya Ndani yasema Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya #Miaka53YaMuungano

Wizara ya Mambo ya Ndani yasema Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya #Miaka53YaMuungano
#2017umakinizaidi

Wizara ya Mambo ya Ndani yasema Rais Dkt J.P Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya #Miaka53YaMuungano

#Picha: Makomandoo wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) wakionyesha umahiri wao mbele ya mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Magufuli kwenye sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, muda mchache uliopita, #Dodoma.

#Miaka53YaMuungano

Wizara ya Mambo ya Ndani yasema Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya #Miaka53YaMuungano

Wizara ya Mambo ya Ndani yasema Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa msamaha kwa wafungwa 2,219 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya #Miaka53YaMuungano

Most Popular Instagram Hashtags