#mhuni

MOST RECENT

Maisha ya Kibongo ni sawa na movee za kihindi baada ya kuachia #HESHIMA YA MAMA Sasa ni zamu ya KANGOY Na ngoma yake @JICHO @PRODUCER NI R FIRST @STUDIO NI BM
#MHUNI MWENYE AKILI
#HATUVIMBI
#NG'ARISHANZENGO
#LAKEFM 102.5 MWANZA
#WANANZENGO
@soggydoggyanter
@lakefmmwanza
#miujiza

#happy_reborn_day
@yohanekasule
Miaka kama yote uishi #mhuni

#mhuni πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ»

Pambana na hali yako ya #mhuni hauta iweza aaahaaaa it's young *β˜…* mwadui (NIGA BoY)

Ukizoea kula uyoga mwishowe utakula na kichuguu@mondojr ####mhuni wa fikira

That awesome moment when you're telling a lie and your
best friend notices and joins you. They call him mal Motta
Go follow him @____motta
#mhuni photographer#Purple nation#Assistant ATG and Mal nation#Bad laugherπŸ˜‚

Welcom to ma hood

#mhuni
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ujana bana a aaa

kutoka #gangster #mhuni mpaka kuwa #nationicon ! Yaani from #zero to #hero
Safari ya @naytrueboy tangu enzj za #Itafahamika #wamenichokoza #salamuzao mpaka kuwashikisha adabu #shikaadabuyako #sakahela hadi #WAPO na nyinginezo @naytrueboy aliendelea kuwa yule yule licha ya maneno ila alidhubutu na kusimamia ukweli wa kile anachokiamini yeye. Naamin sasa wamekuelewa na safari yako ndo imepamba moto ! hongera bro @naytrueboy
kuchek video yake #wapo link ipo kwa #bio yake
@naytrueboy
@naytrueboy
@naytrueboy

Sasa Filamu ya #Mhuni inapatikana @Busywatching link ipo kwenye Bio.
.
.
#Mhuni
#Busywatching

Sasa movie yangu mpya inapatikana kwenye @Busywatching link ipo kwenye bio yangu...
.
.
#Mhuni
#Movie
#Busywatching

Hivii umeuonaaa uwezoo mwingine... Mkubwaa wa @bwanamjeshi basii. Pitaaa. @busywatching tayariii... Tumekuwekeaaa... #mhuni.. Iliyoo... Ongonzwa.. Na #director @mamaa_ashura na #manager @timothconrad ....... @timamucomedians @mkaliwenu @ebitoke

#Mhuni 😎 Usismame mbele yangu kipindi unakaa uchi me ndo nilivaa gucci

#Unapo
#kutana
#na
#mhuni
#mwenzio............ Self&baga#*^
$&

Best is yet come, its by Gods grace. May He bless my ways, Lighten my moments and bless my Lifetime on earth πŸ™πŸ»
#Happybirthday to meπŸŽ‚
#23SEPt bless upπŸ™πŸ»

Short film ya Kitanzania "Mhuni" imechaguliwa katika Sweet As film Festival in Canada na Los Angels Cine Film Festival 2016.
@timothconrad nilishakupongeza kwa mambo mengi about kazi zako ikiwemo cover designs za films zinazopitia kwako. na acha nikuambie tena Leo hili cover la Mhuni is so eye catching, Yaani muonekano wa leading actor , kava na title vimelandana kabisa, hata kwa watu wa mataifa mengine wasiojua Kiswahili wakiona hili cover tu wanavutiwa kutaka kuangalia film sio Kama yale makavu yetu mengi muda wote yanashutiwa studio na kwenye masofa , wasanii muda wote muonekano wa kawaida Sana na wengine kila kava la film Kama models wa fashion show kwenye makavu mpaka inaboa and mengi Yao hayaendani na story wala titles kwasababu hao wanaoshuti makava hawajui hata story ukoje wanaambiwa juu juu tu na kuishia kupiga picha za modelling eti ndio makava ya films !

I want to see this film, and the fact that it was directed by a debutant female director inanihamasisha niitake kuitazama haraka iwezekanavyo nijue mbivu na mbichi humo ndani.

#TanzanianFilms #Mhuni #BongoMovies #LosAngelsCineFestical #SweetAsFilmFestival #TanzanianActors #TimothConrad

Wooooow! Taarifa njema kwa Tasnia ya Filamu! Filamu yetu ya #Mhuni imepata nafasi ya kuchaguliwa kuwania tuzo za #losangelescinefest za nchini Marekani! Tunaomba tushirikiane kumuomba Mungu iweze kuingia kwenye Fainali kisha itaanza kupigiwa kura Dunia nzima! Tarehe 10 mwezi huu! Maombi muhimu jamani!
@hassandaffur @dorytico @timothconrad @ibrahim_oswald @timamuafricanmedia @timamu_actors @timamu_crew

Most Popular Instagram Hashtags