#mfumo

102 posts

TOP POSTS

Mdogo wangu @elizabethmichaelofficial ni kati ya watu wanaopenda sana kujiendeleza. Ni mtu ambaye hataki kubaki nyuma kwenye masuala ya teknolojia. Baada ya kutoa msaada shuleni kwao walimu wake wakimsaidia kuizoea kompyuta ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Elimu yetu ina madaraja. Ni lazima Wizara husika ziangalie suala hili. Mtoto anayeanza shule ya msingi kompyuta isiwe jambo geni! @flavianamatata nadhani #FlavinaMatataFoundation iangalie hili. @bonnahkaluwa unapotoa misaada naomba ukumbuke hili! Sio wote wanajua mouse ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ @hamisi_kigwangalla kaka kule jimboni wamezoea? #ElimuYetu #Mfumo #Usawa #TheDon

JE HIVI UNAJUA UZITO KUPITA KIASI NI CHANZO KIKUU CHA MWANAMKE KUCHELEWA KUPATA UJAUZITO!? ONGEZEKO LA UZITO KITAALAM HUSABABISHA/HUPELEKEA #hormanal imbalance....! KAMA UNA UZITO MKUBWA NA UPO KWENYE HARAKATI ZA KUTAFUTA UJAUZITO, #TUMIA PACKAGE YETU KUPUNGUZA UZITO UWEZE #KUREKEBISHA #MFUMO CALL #0713060611

Ni heri ujikwae Kidole,kuliko #Ulimi Neno moja tu linaweza Kuhalibu #Mfumo
Mzima wa maisha #Yako #NimtazamoTu

Haijalishi ni #kazi#mahusiano#au #mfumo wa maisha kama hakikup furaha achana nacho tafuta njia nyingine

#katoto kauswaz kenye roho ya kizungu

#Repost @chopamchopanga1
ใƒปใƒปใƒป
#MR PRESIDENT... #UTUMISHI #ULIOTUKUKA.. #MFUMO inanoga pale siku siku yako ya kuzaliwa unapata Zawadi Kubwa ya kutangazwa uraisi wa nchi..

Usibadili malengo badili #mfumo

#WAJIBU WANGU NI KUFANYA KILE AMBACHO KINANIHUSU #NINAPO SEMA NAMKUBALI MTU BASI HATA AWE AMEACHA MZIKI BASI BADO NITAMKUBALI NINA JIFUNZA MENGI KUTOKA KWAKE #MFUMO WA MAISHA YAKE NAUKUBALI SANA #

MOST RECENT

Mdogo wangu @elizabethmichaelofficial ni kati ya watu wanaopenda sana kujiendeleza. Ni mtu ambaye hataki kubaki nyuma kwenye masuala ya teknolojia. Baada ya kutoa msaada shuleni kwao walimu wake wakimsaidia kuizoea kompyuta ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Elimu yetu ina madaraja. Ni lazima Wizara husika ziangalie suala hili. Mtoto anayeanza shule ya msingi kompyuta isiwe jambo geni! @flavianamatata nadhani #FlavinaMatataFoundation iangalie hili. @bonnahkaluwa unapotoa misaada naomba ukumbuke hili! Sio wote wanajua mouse ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ @hamisi_kigwangalla kaka kule jimboni wamezoea? #ElimuYetu #Mfumo #Usawa #TheDon

I know I'm sliiightly late for #WorldLionDay , but I'm currently in hospital so forgive me for that.

Anyways, here's a #drawing of the magnificent #Mfumo, based on the wonderful picture by @tay_mccurdy . @safariliveofficial

Let's always celebrate these incredible cats and recognize the efforts of the many exceptional individuals working tirelessly to reverse this species' precipitous decline. Let's work to prevent future generations from growing up in a world void of these iconic animals.

#Lion #Lions #AfricanLion #LionDrawing #PenSketch #AnimalSketch #AnimalDrawing #ArtofInstagram

#WAJIBU WANGU NI KUFANYA KILE AMBACHO KINANIHUSU #NINAPO SEMA NAMKUBALI MTU BASI HATA AWE AMEACHA MZIKI BASI BADO NITAMKUBALI NINA JIFUNZA MENGI KUTOKA KWAKE #MFUMO WA MAISHA YAKE NAUKUBALI SANA #

Haijalishi ni #kazi#mahusiano#au #mfumo wa maisha kama hakikup furaha achana nacho tafuta njia nyingine

#katoto kauswaz kenye roho ya kizungu

It doesn't matter if it's #Relationships, #Lifestyle or a #Job if if doesn't make you #Happy LET IT GO.

Haijalishi ni #Mahusiano, #Kazi au #Mfumo wa #Maisha kama hakikupi #Furah basi achana nacho....

It doesn't matter if it's #Relationships, #Lifestyle or a #Job if if doesn't make you #Happy LET IT GO.

Haijalishi ni #Mahusiano, #Kazi au #Mfumo wa #Maisha kama hakikupi #Furah basi achana nacho....

JIUNGE NASI KUUPIGA VITA UMASKINI KWA KUFANYA BIASHARA ITAKAYOKUKWAMUA KIRAHISI WASILIANA NASI KWA MAELEZO
|| (+255)-656442525 ||
_____________________
Trevo inasaidia......๐Ÿ™๐Ÿ™
#Kuupa nguvu mwili uliodhohofika na maradhi
_____________________
#Afya ya akili
_____________________
#Afya ya macho
_____________________
#Kinga ya mwili
_____________________
#Kuweka kiwango kizuri cha sukari na cholesterol mwilini
_____________________
#Mfumo wa kuyeyusha chakula ( vidonda vya tumbo )
_____________________
#Kupunguza kuzeeka haraka
_____________________
#Unene au uzito wa mwili
_____________________
#Afya ya mfumo wa moyo
_____________________
#Kuupa mwili nguvu baada ya michezo
_____________________
#Kuondoa sumu mwilini
_____________________
#Kuweka viwango vizuri vya pH
_____________________
#Kuboresha miilo yetu yenye mapungufu ya viini - lishe
_____________________
#Kukufanya mwenye afya bora.
_____________________
#Follow๐Ÿšถ๐Ÿ”™ โœ”๏ธ
@preeny_daily_updates @preeny_daily_updates @preeny_daily_updates @preeny_daily_updates @preeny_daily_updates

Me and my little brother. ..#mfumo+jamela=marato

JIUNGE NASI KUUPIGA VITA UMASKINI KWA KUFANYA BIASHARA ITAKAYOKUKWAMUA KIRAHISI WASILIANA NASI KWA MAELEZO
|| (+255)-762210150 ||
_____________________
Trevo inasaidia......๐Ÿ™๐Ÿ™
#Kuupa nguvu mwili uliodhohofika na maradhi
_____________________
#Afya ya akili
_____________________
#Afya ya macho
_____________________
#Kinga ya mwili
_____________________
#Kuweka kiwango kizuri cha sukari na cholesterol mwilini
_____________________
#Mfumo wa kuyeyusha chakula ( vidonda vya tumbo )
_____________________
#Kupunguza kuzeeka haraka
_____________________
#Unene au uzito wa mwili
_____________________
#Afya ya mfumo wa moyo
_____________________
#Kuupa mwili nguvu baada ya michezo
_____________________
#Kuondoa sumu mwilini
_____________________
#Kuweka viwango vizuri vya pH
_____________________
#Kuboresha miilo yetu yenye mapungufu ya viini - lishe
_____________________
#Kukufanya mwenye afya bora.
_____________________
#Follow๐Ÿšถ๐Ÿ”™ โœ”๏ธ
@sanchokaworldfamily_updates @sanchokaworldfamily_updates @sanchokaworldfamily_updates @sanchokaworldfamily_updates @sanchokaworldfamily_updates

@Regrann from @albertomsando - Tunamkumbuka JK kwa lipi? Leo tumeona video clip ikiwaonyesha wabunge wakipiga meza na kusimama kumshangilia aliyekuwa Raisi wa awamu ya nne. Wengi wamesisimka na kufurahi. TUMESAHAU. Ndio ufala wetu unapoanzia hapo. Tumesahau kwamba ni JK alituletea 'chuma' JPM ambaye leo tunamuona mbaya na mchungu. Tumesahau JK ndie tuliyemsema ni legelege muda wote anacheka tu. tumesahau kwamba miaka 10 yote bado tulilalamika maisha magumu. Tumesahau kwamba alituahidi MAISHA BORA kwa kila mtanzania. Unayo? Tumesahau alituletea KILIMO KWANZA. Kiko wapi? Tumesahau Escrow! Tumesahau Richmond. Tumesahau. Tumesahau mabilioni ya JK? Nashangaa mpaka wabunge wa upinzani leo wanashangilia. Huu ni unafiki tu. ni muendelezo wa siasa zetu zisizo na tija kwa wananchi. Siasa za ubinafsi. Tunajisahaulisha kwamba tatizo sio Mtu bali ni MFUMO. Ni chama! JPM na yeye ana mazuri na mabaya yake kama JK. Kitu kimoja ambacho wanafanana ni Chama Chao. Wote ni CCM. Hawana afadhali katika hilo. Mmoja anacheka mwingine ananuna. TUMESAHAU nani alimteua RC Dar kuwa Mkuu wa Wilaya Kinondoni? Hilo pia tumelimiss? Tunalikumbuka pia? Arudie tena? Tufanye kazi maisha yasonge. Kila jambo na zama zake. #TheDon #KumbukumbuZaKibashiteNiUfala #UshangiliajiWaKibashite #LetJPMLearn #BadToWorse #Mfumo #NaHuyuTutamkumbukaPia - #regrann

Tunamkumbuka JK kwa lipi? Leo tumeona video clip ikiwaonyesha wabunge wakipiga meza na kusimama kumshangilia aliyekuwa Raisi wa awamu ya nne. Wengi wamesisimka na kufurahi. TUMESAHAU. Ndio ufala wetu unapoanzia hapo. Tumesahau kwamba ni JK alituletea 'chuma' JPM ambaye leo tunamuona mbaya na mchungu. Tumesahau JK ndie tuliyemsema ni legelege muda wote anacheka tu. tumesahau kwamba miaka 10 yote bado tulilalamika maisha magumu. Tumesahau kwamba alituahidi MAISHA BORA kwa kila mtanzania. Unayo? Tumesahau alituletea KILIMO KWANZA. Kiko wapi? Tumesahau Escrow! Tumesahau Richmond. Tumesahau. Tumesahau mabilioni ya JK? Nashangaa mpaka wabunge wa upinzani leo wanashangilia. Huu ni unafiki tu. ni muendelezo wa siasa zetu zisizo na tija kwa wananchi. Siasa za ubinafsi. Tunajisahaulisha kwamba tatizo sio Mtu bali ni MFUMO. Ni chama! JPM na yeye ana mazuri na mabaya yake kama JK. Kitu kimoja ambacho wanafanana ni Chama Chao. Wote ni CCM. Hawana afadhali katika hilo. Mmoja anacheka mwingine ananuna. TUMESAHAU nani alimteua RC Dar kuwa Mkuu wa Wilaya Kinondoni? Hilo pia tumelimiss? Tunalikumbuka pia? Arudie tena? Tufanye kazi maisha yasonge. Kila jambo na zama zake. #TheDon #KumbukumbuZaKibashiteNiUfala #UshangiliajiWaKibashite #LetJPMLearn #BadToWorse #Mfumo #NaHuyuTutamkumbukaPia

Ni heri ujikwae Kidole,kuliko #Ulimi Neno moja tu linaweza Kuhalibu #Mfumo
Mzima wa maisha #Yako #NimtazamoTu

Most Popular Instagram Hashtags