[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#mbunge

500 posts

TOP POSTS

WAMKUMBUKA? Mbunge wa umri mdogo zaidi nchini Kenya amekabidhiwa gari ambalo alikuwa ameahidiwa na Rais Uhuru Kenyatta.
John Paul Mwirigi, 23, ambaye ni mbunge wa Igembe Kusini, takriban kilomita 200 mashariki mwa jiji la Nairobi, alichaguliwa akiwa bado mwanafunzi wa chuo kikuu.
Bw Mwirigi alitumia baiskeli na pikipiki za kusafirisha abiria, maarufu kama bodaboda, kuwafikia watu wakati wa kampeni.
Nyingi za pesa alizotumia wakati wa kampeni alizipokea kutoka kwa wahisani.
Picha/Uhuru Kenyatta, Facebook
#bbcswahili #Mwirigi #Kenyatta #Gari #Mbunge

#Mbunge Musukuma apandishwa kizimbani

Mbunge wa Geita Joseph Musukuma leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama Hakimu Mkazi Geita, kujibu tuhuma zake zinazomkabili, baada ya kushikiliwa na polsi tangu jumapili ya wiki iliyopita.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Tlevision, Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo, amethibitisha kumpeleka Mahakamani mbunge huyo, ambaye anatuhumiwa kuhusika na kuratibu vurugu katika mgodi wa GGM mkoani humo. "Wamepelekwa Mahakamani asubuhi hii", amesikika Kamanda Mwabulambo akisema

Mbunge Joseph Musukuma pamoja na baadhi ya wadiwani na wananchi, walikamatwa na polisi kwa kufunga njia inayoeleka kwenye mgodi wa GGM na kuleta vurugu, kushinikiza mgodi huo kulipa dola milioni 12.

Mzuka wa Kata ya RUAHA...
#Ruaha LOVE
AFE KIPA AFE BEKI..
#Mbunge anayeongoza binadamu na Wanyama, (MIKUMI)
Mpiganaji @binamubananga Mizuka bado ni ya KUFA MTU hapa RUAHA.

#Mbunge mkutanoni kata ya Isanga leo... #JONGWE #MVMP

Pongezi kwa #Mbunge na #Wananchi.

Ahsante sana Mh. #John_John_Mnyika (Mbunge) kupitia #CHADEMA kwa hoja zako za uzalendo kwa kusimamia Raslimani na kusimamia hoja zinazogusa maisha ya kila Mtanzania.
Pongezi na shukrani kwenu wananchi wa #Ubungo(Kibamba), Mungu awabariki.

Op i am nat late yet...
Happy Birthday my love...Mungu akupe maisha marefu boo,kikubwa nachoweza kukwambia NAKUPENDA MNO...Tumetoka mbali aisee MBUNGE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nakumic sana..yan na mengi yakuandika n ctamaliza yaaaan!!!!av a blast tc yua day
#Mbunge
#MamaMkweWangu
๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
@neyma_alba @neyma_alba

Eti kuna swali? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ Kwamba? #HongeraMamaSalmaKikwete #Mbunge #TumiaAkiliYakoKidogo #Anavyo

Kitu cha muhimu sana katika Dunia ni kuwa karibu na watu.....kwani kutakusaidia kujua vitu vingi sana..jitahidi sana kuwakaribia watu ili upate vitu kutoka kwao mmi binafsi naamini ili niweze kufikia malengo yangu ni pale tyuu ninapo wasogelea watu na kuwa weka karibu yangu ....by Mbunge nje ya Bunge...@#Mbunge mtarajiwa wa Mbeya 2035

#mbunge Nyalandu akiwa Nairob kumjulia hal mh Tundu Lissu... i do appreciate this ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘Œ

MOST RECENT

#SwahiliUpdates #Mbunge wa kigoma mjini Mh @zittokabwe amekamatwa na polisi jana jioni uwanja wa ndege wa JNIA akiwa anatokea kigoma.#ASTV #lughaYetu #SautiYetu #Startimes121 #Azam120

#Mbunge Musukuma apandishwa kizimbani

Mbunge wa Geita Joseph Musukuma leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama Hakimu Mkazi Geita, kujibu tuhuma zake zinazomkabili, baada ya kushikiliwa na polsi tangu jumapili ya wiki iliyopita.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Tlevision, Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo, amethibitisha kumpeleka Mahakamani mbunge huyo, ambaye anatuhumiwa kuhusika na kuratibu vurugu katika mgodi wa GGM mkoani humo. "Wamepelekwa Mahakamani asubuhi hii", amesikika Kamanda Mwabulambo akisema

Mbunge Joseph Musukuma pamoja na baadhi ya wadiwani na wananchi, walikamatwa na polisi kwa kufunga njia inayoeleka kwenye mgodi wa GGM na kuleta vurugu, kushinikiza mgodi huo kulipa dola milioni 12.

#Mbunge Musukuma apandishwa kizimbani

Mbunge wa Geita Joseph Musukuma leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama Hakimu Mkazi Geita, kujibu tuhuma zake zinazomkabili, baada ya kushikiliwa na polsi tangu jumapili ya wiki iliyopita.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Tlevision, Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo, amethibitisha kumpeleka Mahakamani mbunge huyo, ambaye anatuhumiwa kuhusika na kuratibu vurugu katika mgodi wa GGM mkoani humo. "Wamepelekwa Mahakamani asubuhi hii", amesikika Kamanda Mwabulambo akisema

Mbunge Joseph Musukuma pamoja na baadhi ya wadiwani na wananchi, walikamatwa na polisi kwa kufunga njia inayoeleka kwenye mgodi wa GGM na kuleta vurugu, kushinikiza mgodi huo kulipa dola milioni 12.

Leo Kupitia TBC FM Katika kipindi Cha #Papaso na @djaroarungu A.K.A #babamzazibaba Kutana Best of The Best Melodies @mayungaa With New Hottest Audio and Video #nawekeza๐Ÿ”ฅPia Gusa Link #Bio ya #Mayunga Kuipata Video Yote.
#mbunge

Kitu cha muhimu sana katika Dunia ni kuwa karibu na watu.....kwani kutakusaidia kujua vitu vingi sana..jitahidi sana kuwakaribia watu ili upate vitu kutoka kwao mmi binafsi naamini ili niweze kufikia malengo yangu ni pale tyuu ninapo wasogelea watu na kuwa weka karibu yangu ....by Mbunge nje ya Bunge...@#Mbunge mtarajiwa wa Mbeya 2035

#mbunge Nyalandu akiwa Nairob kumjulia hal mh Tundu Lissu... i do appreciate this ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ‘Œ

Mazoezi ya Kijeshi ya Urusi na Belarus Yaanza na kuzua Hofu Ukraine
#bongonews
#chadema, #chinese, #estonia, #french, #getelement, #home, #king, #lissu, #mapenzi, #mbunge, #media, #nairobi, #pinterest, #special, #udaku, #udakuspecial, #ukraine, #ulinzi, #yaanza, #zapad

Most Popular Instagram Hashtags