[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#martina_ally

39 posts

TOP POSTS

KWA WEWE MSOMAJI AMBAE UNAHITAJI KUJUA MWANZO WA SYORY YA #Martina_ally MPAKA ILIPOFIKIA PLS BONYEZA HASHTAG YA JINA LA STORY NA UTAIKUTA YOOTE .. ZINGATIA KUA ATA UKIKAA WIKI HUJAISOMA UKIITAKA BONYEZA JINA LA STORY NA MOJA KWA MOJA UTAPATA RADHA YA STORY TAMU SANA KUTOKA KWANGU... PIA NAPOKEA MAONI PAMOJA NA MAWAZO MAPYA PIA NTAFURAHI SANA KAMA UKIWEZA KUNIKOSOA MANA MIMI NI BINADAMU NA NIMEUMBWA NA NYAMA KAMA NYIE... NIPIGIE AU NCHEKI WHATSAAP KWA NAMBA 0752906069.... ASANTENI NA USIKU MWEMA NA MUNGU AWABARIKI SANAA.... KWA WALE WA #video's ZAKUCHEKESHA TUKUTANE KESHO ... 👏👏👏 #niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

KWA WEWE MFUATILIAJI WA STORY YA #MASIKINI_MWANANGU EBU NENDA KATIKA PAGE YA
@khalid_bin_waleyd
@khalid_bin_waleyd
@khalid_bin_waleyd
@khalid_bin_waleyd
UKAIFUATILIE IMEANZA UPYA KTK ACCOUNT HIO... PIA WALE WAPENZI WA STORY YA #MARTINA_ALLY TUKUTANE HAPA SAA KUMI KAMILI JIONI LEO HII.... PIA UKITAKA KUPATA TAARIFA ZA STORY ZANGU ZOOTE WEKA notification ON ILI UWE UNAPATA KWA MDA MUAFAKAA.. ASANTENI NA KARIBUNI SANA.. #nite
#mtoto_wa_flame aka #kijukuu_cha_marando💪

Kuipata story ya #Martina_Ally bonyeza jina la story hii na utaipata bila wasiwasi.... Leo #inaendelea... Asanten sanaa

#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 21,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Aliinuka nakuingia ndani kisha akavaa nakutokomea kusikojulikana,
Wahudumu wenzie waliuliza wapi #Martina_Ally alikoenda kila mtu akawa hajui,,
Kesho yake asubuhi #Martina_Ally aliludi pale baa nakujifungia chumbani huku akionekana kuchoka saana,,
Akiwa mule ndani mara alisikia mgurumo wa gari nje na kwa haraka mawazo yake akajua watakua polisi ivyo #Martina_Ally aliingia chini ya uvungu wa kitanda,
Akiwa huko chini mara alisikia wahudumu wenzie wakimuita kua anaitwa na yule bosi wa siku ile,
#Martina_Ally aliinuka haraka nakuelekea nje alipo bosi yule,Bosi yule akamuuliza je amefanikisha kupata kila alichokihitaji kwaajili ya kazi?
#Martina_Ally akainamisha kichwa chini nakujibu hapana kule shuleni wamesema mpaka nimaliziea ada ndo nipewe vyeti vyangu,
Yule bosi akamuuliza kwanini haukunipa taarifa mapema wakati nimekuachia namba zangu?
#Martina_Ally akajibu sina hata pesa yakukupigia simu,
Yule bosi akasema sasa kesho mimi ndo nataka nifungue ile baa yangu sasa na wewe naona unazembea,
#Martina_Ally akajibu kwa upole akimuambia naomba unilipie ile ada halafu utanikata katika mshahara wangu nisaidie babaangu,
Yule bosi akamuangalia #Martina_Ally kisha akasema
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 10,,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally akamuambia baba yake yule kua yeye hatumii kilevi,,
Baba yule akamuambia hii wine ni wine pure haina kilevi,,
#Martina_Ally akamuambia sasa baba kwani wewe umenipeleka shule nkafanye nini??
Baba yule akajibu ukasome,,
#Martina_Ally akasema ndo nshasoma nakumaliza na najua kua izi ni wine na zina kilevi kikubwa sana tena sana mana Mwalimu wangu mkuu ndio kinywaji chake na mimi ndiye aliyekua akinituma nkamchukulie wanapouza kwahio baba najua hadi bei yake,,
Mmbaba yule akainamisha kichwa chini kisha akamuambia mwanae kua unajua mwanangu nimemkumbuka sana mamaako ndo mana najisikia mmpweke,,
#Martina_Ally akamsogelea baba yake yule nakumkumbatia huku akisema ata mimi nimemkumbuka kweli mama yaani mama nampenda sana,,Mmbaba yule akamuuliza Mwanae kwahio mimi unipendi?
#Martina_Ally akajibu huku akimuangalia baba yule kwa tabasam nakusema jamani baba wewe ndo nakupeenda sana huku #Martina_Ally akiondoka huku nyuma kukitikisika kwasababu ya kanga moja aliyoivaa,,
Mmbaba yule akajisemea moyoni uyu #Martina_Ally sijamzaa mimi ila nimemsomesha kwa garama zangu sasa ziwezi kuwaachia wengine wamfaidi wallahi ntadili nae kwa garama yoyote ile...
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 22,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Nitakusaidia binti haya nenda kachukue nguo zako twende huko shuleni halafu tukitoka huko nkakupe chumba chakuishi ambacho kipo apo apo katika baa mpya,
#Martina_Ally akainama chini nakuinua kichwa kisha akasema asante babaangu lakini sina nguo yakubeba twende ivi ivi,,
Bosi yule alishangaa sana tena sana,
#Martina_Ally alimuangalia muhudumu wa kaunta nakwenda kumkumbatia kisha akamuambia usijali rafiki yangu tutaonana ivi karibuni,,
#Martina_Ally akapanda ndani ya gari ya bosi wake nakuanza kuondoka kuelekea shuleni alikomalizia elimu yake ya sekondari,,
Walifika mapema sana nakuonana na uongozi wa shule ambako bosi wa #Martina_Ally alimlipia #Martina_Ally kila kitu nakupewa cheti kisha wakaondoka kuelekea mji mpya ambapo ndipo #Martina_Ally atapokua akiishi,,
Alipofika alipewa chumba ambacho kina choo na jiko umoumo akiwa anatabasamu kwa furaha mara alishangaa kumuona mkaka mmoja akiingia pale chumbani huku mkononi kashika tepu yakupima,,
Akamuambia bosi kasema nije nichukue vipimo vyako anataka nkuandalie nguo za kazi nazakutokea,
#Martina_Ally alikubali nakuanza kupimwa,,
Kesho yake asubuhi aliduwaa kuletewa kimini chaajabu lakini kwakua alikua hana namna akakivaa nakufungua baa ya yule bosi rasmi,,
Wahudumu wa nje walikua wengi sana na #Martina_Ally alipewa cheo chakuwaendesha wote na kupewa mamlaka yakumfukuza kazi yoyote atayesumbua katika kazi,
#Martina_Alluly alianza kuiendesha ile baa vizuri sana,
Jumatatu ilipofika #Martina_Ally alimtuma muhudumu wake akamchukulie gazeti na hapo ndipo #Martina_Ally alidondoka nakuzimia,,
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 04,,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally akamuambia kama hutonisimangia sawa na nashukuru kwa upendo wako,yule mmama akashukuru pia na mara #Martina_Ally akaondoka zake,,,
Mmama yule alijisikia huruma sana na mpaka machozi yakamtoka,watu walimsogelea mama yule nakumuuliza unamjua yule msichana?
Yule mama akasema hapana ila nasikitika kwasababu sio kichaa bali ana matatizo,
watu wale wakaanza kucheka nakumuambia unasema sio kichaa??Mtu yuko uchi kabisaa halafu unasema ana matatizo yakwaida?
Yule Mmama akachukia kisha na yeye akavua nguo zote kisha akawauliza na mimi kichaa nawauliza na mimi kichaaa??
Watu wale waligeuka nakuanza kuondoka kwa aibu yakukwepa radhi ile,,
Mmama yule alivaa nguo zake nakuondoka kuelekea njia aliyoenda #Martina_Ally ili akajue atamsaidiaje binti yule aliyeonekana kama kukata tamaa ya maisha,
#Martina_Ally alikua akitembea huku akili yake ikifikilia mambo makuu matatu,la kwanza akatafute kazi na hakuwaza ni kazi gani kwasababu alikua ndo kwanza yuko kidato cha tatu na hana vielelezo vyovyote,pili aliwaza ni namna gani atapata sehemu yakuishi ili ajisukume katika maisha yake na tatu aliwaza kua angepata maeneo ya mbali sana angeweza kuishi bila shida yoyote,
#Martina_Ally akiwa katikati ya mawazo hayo mara alisikia sauti ikimuita na alipogeuka alimuona yule mmama aliyemsaidia kanga,,
#Martina_Ally alisimama kisha akamuuliza umeamua kunifuata unataka kanga yako au?
Yule mmama huku machozi yakimtoka akamuambia hapana binti hapana bali siku ya leo umenifanya nikumbuke mambo mengi sana ambayo yaliniumiza sana tena sana,,
#Martina_Ally alimuuliza yule mama ni jambo gani hilo?
Yule Mmama alianza kuongea kwakufuta kamasi puani alisema,,NLIVYOKUONA NKAMKUMBUKA SANA BINTI YANGU ALIYEFARIKI AKIWA NA UMRI KAMA WAKO,,YAANI MWANANGU HAKUUMWA KABISAA YANI ALILALA USIKU LAKINI ASUBUHI HAKUAMKA TENA NDO AKAWA KASHAFARIKI,,
Loh Mmama yule aliongea kwa hisia kiasi cha #Martina_Ally kuanza kulia kwa sauti na wote wakakaa chini kwakulegea #itaendea #niite #mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 05,,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally alianza kumpa pole Mmama yule aliyeonekana kua na uchungu sana wakuondokewa na binti yake,Mmama yule alimwitikia #Martina_Ally huku akitaka kujua ana matatizo gani??
#Martina_Ally alizidi kuongeza kilio huku akishikwa na kigugumizi chakuongea kiasi cha yule mama kuita bajaji nakumpeleka hospital ambako baada ya vipimo vyote ikagundulika kua #Martina_Ally ana maralia tatu na u.t.i,,
Mmama yule alimmbembeleza #Martina_Ally akaishi nae kwake kama mwanae,,
#Martina_Ally alimuangalia yule mmama nakumpatia masharti kwakumuambia kua siku akipona tu ataendelea na safari yake yakutafuta maisha,,
Mmama alikubali kwa shingo upande na wote wakaanza safari yakuelekea katika nyumba ya yule Mmama ambayo ilikua mbali kabisaa na mji,,
Walifika saa kumi jioni kisha #Martina_Ally akamuambia yule mama kua amejikuta akiyapenda Mazingira ya kule,
Yule mama akatabasam nakumuambia Mwanangu utavipenda vitu vingi sana mana huu mji ni mpya ata watu wake ni wapya,,
#Martina_Ally alitabasam kwa mara ya kwanza toka aondoke nyumbani kwa wazazi wake,,
Waliingia ndani kisha mama yule akawaita watu wote waliomo mule ndani nakumtambulisha #Martina_Ally kua ni Mwanae wakufikia hivyo wamuheshimu sana,,
Familia yote ilielewa kasoro baba wa nyumba ile ambae hakuepo nyumbani alikua amesafiri kikazi kama mda wa wiki moja
#Itaendelea

TAG MARAFIKI ZAKO WAJE WAPATE UHONDO HUU...
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 33,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__
#Martina_Ally aliondoka nakuelekea nyumbani ambako baada yakufika alioga haraka haraka nakuelekea kazini kwake,
Alifika nakuanza kazi huku akivuta kumbukumbu ya mambo yote yaliyomtokea katika maisha yake,
Ilipofika mda wachakula mchana #Martina_Ally aliingia ndani ya gari lake nakwenda katika mahakama nyingine ambayo aliendaga yeye na mama yake mlezi kipindi kile,Alifika nakuulizia jina la Hakimu yule waliyemkuta siku ile,
Aliambiwa yupo likizo ivyo aje baada ya mwezi mmoja,
#Martina_Ally aliulizia nyumbani kwa Hakimu huyo nakuelekezwa,haraka sana aliwasha gari nakuelekea nyumbani kwa hakimu huyo,
Alifika mapema sana,alimuulizia lakini alijibiwa hakimu huyo kasafiri kaenda mkoani kwao,#Martina_Ally alimuuliza mtoaji taarifa izo kua ni mkoa gani na angehitaji apate ramani yakutosha mana ana shida nae haraka sana,
Mtoa taarifa alimwelekeza vizuri #Martina_Ally mpaka akaridhika nakuludi kazini kwake kisha akaomba ruhusa yakusafiri,
Bosi alikubali na kesho yake asubuhi #Martina_Ally alisafiri kwenda katika mkoa ambako hakimu yule yupo,
Huku nyuma Hakimu aliyewaita kwaajili ya mashauriano alimsubiri #Martina_Ally bila yakutokea ivoo akampa kila kitu mdogo wa baba yake na #Martina_Ally,
Baba mdogo huyo alipiga simu polisi kuwajuza kua #Martina_Ally kaiba gari la kaka yake na ameelekea mkoa wa mashariki,
Polisi waliapa kumkamata haraka sana #Martina_Ally,
Akiwa kashafika katika mkoa huo #Martina_Ally aliduwaa akishikwa na polisi nakuulizwa maswali mengi sana likiwemo la gari anayoiendesha
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

MOST RECENT

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 32,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Dakika ishirini baadae #Martina_Ally alishangaa kumuona mdogo wake na baba yake mlezi akiingia mahali apo,
#Martina_Ally akamuangalia Hakimu nakumuuliza kwahio ni mahakama iliyoniamulu mimi nihame pale au huyu?
Hakimu akamuangalia yule mdogo wake na baba yake #Martina_Ally kisha akamuambia wewe unataka kuniletea mimi matatizo kwanini?
Mbona hukuniambia kua kaka yako ana mtoto?
Ba mdogo yule akajibu kwa ujasili SIKUKUAMBIA IVO KWASABABU NI KWELI KAKA YANGU HANA MTOTO NA MTOTO WAKE NNAYEMJUA MIMI KASHAFARIKI,
Hakimu akamuangalia #Martina_Ally kisha akamuuliza kwahio binti wewe baba yake ni nani?
#Martina_Ally akamuambia Hakimu huyu jamaa mimi simjui kabisaa nlimshangaa kumkuta nyumbani kwetu ambapo alijitambulisha kua ni mdogo wake na marehemu baba yangu,siku mbili badae akaizuia gari ya baba yangu nsiiendeshe na mimi nkaiacha nkaichukua nyingine ambayo nlinunuliwa na marehemu mama yangu nakuniahidi nkimaliza shule atanipa,sasa baada ya hapo naona ndo kaja huku kuhangaika anifukuze wakati mimi simjui na sijahangaika kumfukuza,
Hakimu aliduwaa sana tena sana hivyo akaomba kila mmoja aje na ushahidi wakua na ukaribu na marehemu,,
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 31,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Aliisoma barua ile huku machozi yakimlenga lenga,Aliuma midomo yake huku akianza kushuka katika ngazi nakuingia ndani ya gari nakuliwasha nakuelekea pasipojulikana,
Kaunta aliduwaa sana kwa hali ile nae akaenda mezani ambako alichukua simu ya mezani nakuanza kumpigia simu #Martina_Ally,
Haloo,Haloo
TINA MBONA UMEONDOKA KWA HARAKA SANA?
#Martina_Ally alijibu Nimepata barua mbaya ambayo nimetakiwa nihame apo nyumbani,Kaunta aliuliza Barua hio imetoka wapi kwani?
#Martina_Ally akajibu mahakani mama na hapa nshafika mahakamani nataka waniambie vizuri hayo maamuzi yakunitoa mimi nyumbani kwetu wameyatoa wapi?
Kaunta akasema pole mamii basi wewe endelea utanitaarifu kila kinachoendelea,
#Martina_Ally akajibu sawa,,
Aliingia mpaka katika ofisi ya hakimu aliyetoa tamko lile la yeye kuhama,Alimkuta na maongezi yakawa ivii,,
Shikamoo muheshimiwa Hakimu,
#Hakimu aliitikia huku akimuuliza wewe ni nani?
#Martina_Ally akasema mimi naitwa Loveness,
Hakimu akamuuliza nkusaidie nini Loveness?
#Martina_Ally akasema nimepokea barua hii kutoka hapa mahakamani na katika saini nkaona jina lako nkaona nije nijue sababu zakufukuzwa katika nyumba ya baba yangu,
Hakimu akamuangalia #Martina_Ally kisha akamjibu hivi wewe unaijua sheria kweli?
#Martina_Ally akajibu ndiyo somo nlilolisomea na nina Maksi mia ya somo hilo,
Hakimu akamuangalia nakumjibu kumbe umeielewa barua ila unafanya kusudi?
#Martina_Ally akamuambia nahitaji jibu lako ili nkiondoka hapa npate jibu kutoka kwako la uso kwa uso ili ntapoipeleka mbele kesi hii niwe na ushahidi wakutosha,
Hakimu yule alimuangalia #Martina_Ally kisha akainua simu yake kisha akaanza kuongea akisema,
Naomba uje hapa mahakamani sasa hivi tena naomba usichelewe kwamaana nna kazi nyingi zakufanya
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 30,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__
Baada ya mda wa kazi #Martina_Ally aliondoka mpaka kwa rafiki yake yule wa kaunta alipofika alimuuliza kua kafikia wapi kuhusu swala lile lakuishi nae?
Kaunta alimuangalia #Martina_Ally huku akitoa machozi mazito,#Martina_Ally alimshika mkono rafiki yake huyo nakumuuliza una nini mbona ivii jamanii?
Kaunta akasema TINA HUWEZI AMINI NIMEPIGIWA HESABU YA MIEZI MIWILI SINA HATA SHILINGI MIA MOJA BOSI WANGU KASEMA NIMEINGIZA HASARA KUBWA SANA NA KWASABABU HIO AMENIKATA MSHAHARA WANGU WOTE😢
#Martina_Ally alimuangalia Kaunta kisha akashuka ndani ya gari nakuingia chumbani kwa kaunta huyo nakubeba nguo zote za kaunta huyo kisha akamshika mkono nakumwingiza ndani ya gari lake nakuondoka nae mpaka nyumbani kwao ambako aliingia ndani ya geti nakumwita mlinzi nakumtambulisha kwa kaunta kisha akamuambia utamweshimu huyu kama mimi sawa?
Mlinzi akaitikia kwakusema sawa mamaa Tina..
#Martina_Ally aliingia ndani kisha akapanda juu katika chumba chake ambako aliduwaa kukuta barua na alipoifungua aliachama mdomo kwa kile kilichoandikwa
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

Kuipata story ya #Martina_Ally bonyeza jina la story hii na utaipata bila wasiwasi.... Leo #inaendelea... Asanten sanaa

#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 29,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally alitabasam kisha akamuuliza bosi wake swali BOSI UNADHANIA NAKUIBIA AU?
Bosi kamjibu hapana sijasema unaniibia kwasababu mahesabu yako sawa na hata siku moja sijwahi kukufikilia kama unaweza kuniibia,
#Martina_Ally akamuambia BASI BOSI WEWE ENDELEA KUNIAMINI SWALA LA GARI SIJUI NA NINI WEWE NIACHIE MIMI NDIYE NINAYEJUA,
Bosi akamuambia sawa lakini hakikisha unakua salama,,
Baada ya mazungumzo hayo Bosi aliondoka akaingia ndani ya Gari lake kisha akaitoa simu yake mfukoni nakuandika namba flani kisha akapiga simu nakuanza kuongea haloo Anko bwana nna wasiwasi ule mpango wetu unaweza usifanikiwe,,SAUTI NDANI YA SIMU IKASEMA KWANINI?
Bosi akajibu ata simwelewi uyu mwanamke mana kabadilika sana siku mbili izi mana anakuja na magari mazuri ata wewe hauna kweli utaweza muoa mwanamke wa namna hii?
SAUTI NDANI YA SIMU IKAJIBU HIO KAZI NIMEKUPA WEWE SASA UKIANZA KUNIULIZA MIMI APO NTAKUA SIKUELEWI ANKO,
Bosi akajibu sawa anko ntahakikisha anaingia laini,,
SIMU IKAKATIKA NA Bosi akaanza kujiongelesha IVII APA NTAFANYAJE MANA HUYU ANKO WANGU SIJUI KAMA ATANIELEWA MANA MTAJI KANIPA NA MASHARTI NIMTAFUTIE MCHUMBA WAKUMUOA SASA NA #Martina_Ally ndiye anayemfaa lakini mwanamke mwenyewe simwelewi ata sijui nifanyaje?
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 28,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally akatabasam kisha akamuambia mwambie hili gari namuachia pia mwambie asipende kunifuata fuata atajuta kunijua,
Mlinzi alimwitikia kisha #Martina_Ally akapanda juu ya ngazi nakuelekea chumbani kwake ambako alifungua begi la marehemu mama yake mlezi nakutoa funguo wa gari nyengine mpya nakushuka chini ambako aliingia stoo nakufungua geti nakutoka na gari mpya ambayo hata mlinzi aliishangaa sanaa,
Mlinzi alimuuliza lini gari hili limeingia hapa?
#Martina_Ally akamjibu siku ile ulipoenda kumsalimia mama yeyooo😂
Mlinzi akatabasam kisha akamuambia Wewe hatari sana mimi sijawahi kujua kama umu ndani kuna gari mpya ivii,
#Martina_Ally akatabasam kisha akasema hili gari mama alininunulia halafu akanipa masharti mpaka ntapomaliza shule na ntakua nkienda nalo chuo sasa mpe taarifa uyo aliyelishikilia funguo wa hilo gari lengine kua ole wake asogelee ili gari wallah ntamfunga mwambie ntamfunga ohoo anijui mimi
#Martina_Ally aliongea maneno hayo kwa sauti kubwa ili waliomo umo ndani wamsikie vizuri sana😊,,
Aliondoka kwa madaha uku mkono kaweka katika dirisha kisha akampatia mlinzi shilingi laki moja nakumuambia hio ni pesa ya mshahara wako mpya tunza io hela ikusaidie wewe na mama yeyoo😅 ...mlinzi akaitika sawa mama yangu kipenzi hujui vile nlivyokua naiihitaji hii pesa,,
#Martina_Ally aliondoka nakupitia pale kwa rafiki yake wa kaunta nakumsalimia kisha akamuuliza alipofikia,
Kaunta yule alimuomba #Martina_Ally kua ngoja mpaka usiku atapokabidhi pesa zote ndipo atampa jibu,,
#Martina_Ally alimmbusu nakuondoka kwenda kazini kwake katika ile baa,
Watu wengi walizidi kumshangaa mpaka wakahisi anatembea na boss wake,
Lakini walichoshangaa zaidi mpaka bosi nae aliduwaa kumuona #Martina_Ally akiwa na gari nzuri yakisasa halafu mpya kabisaa,,
Bosi alimwitisha kikao #Martina_Ally kutaka kujua anapata wapi pesa za kununua gari zuli kama lile..
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_ marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 27,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Baada yakusikia hayo #Martina_Ally alitabasam kisha akapanda juu nakwenda katika chumba chake ambako alitafuta kitabu chake alichokua akihifadhia kumbukumbu zake toka alipoyaanza maisha yake baada yakufukuzwa na wazazi wake waliomzaa,
#Martina_Ally alikua akiandika kila analolifanya na kila linalomtokea hivyo siku hio alikua na mengi sana yakuyaandika kwasababu hakuyaandika mda mrefu sana,,
Alipomaliza kuaandika yote alianza kuyapitia ya huko nyuma ndipo alipokumbuka jina la Hakimu walioendaga na mama yake mlezi mpaka yeye kusaini katika kitabu kikubwa sana bila kujua ndani kimeandikwa nini!!
#Martina_Ally aliinuka nakujinyoosha kisha akaenda kuoga akavaa nakuelekea katika baa anakofanyia kazi yule rafiki yake wa kaunta,
Alifika pale kisha wakakumbatiana nakuanza kuongea nae kwakirefu sana,,
#Martina_Ally alimuambia rafiki yake huyo kwa namna anavyomuamini angemuomba akaishi nae katika jumba la baba yake aliyefariki na kuhusu kazi atampatia kazi katika baa anayofanyia kazi yeye,
Kaunta yule alimuahidi #Martina_Ally kua atalifanyia kazi swala lake na siku ya kesho yake angempatia majibu,,
#Martina_Ally alionekana kuelewa kisha akaludi nyumbani kwao nakulala mpaka asubuhi,
Palipokucha Alitoka nje nakuingia ndani ya gari ambako aliduwaa kutozikuta funguo za gari hio,,
#Martina_Ally alimuuliza mlinzi imekuaje?
Mlinzi akasema ni Baba mdogo kasema umuone,
#Itaendelea

#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 26,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__
Usiku saa sita #Martina_Ally alikua kashamaliza kazi zote ivo akawasha gari nakuludi nyumbani kwao alipofika alipiga honi na mara mlinzi aliufungua mlango nakisha kuingia ndani,,
Alishuka nje ya gari kisha akapitia ngazi za yuma ili aende chumbani kwake moja kwa moja,,
Alianza kupandisha ngazi na mara akawa kashafika chumbani kwake akaufungua mlango nakuingia chumbani kwake,,
Aliwasha taa kisha akatoka nakushuka chini ambako aliduwaa kumuona msichana mmoja na mtoto wakiwa wanaangalia Tivii
#Martina_Ally akawasogelea nakuwauliza na nyie ndio akina nani?
Yule msichana akamuangalia #Martina_Ally kisha akamsonya,,
#Martina_Ally akamsogelea nakumtandika kibao chaajabu kilichomfanya yule dada kudondoka chini huku #Martina_Ally akisema ata siku moja sijawahi kusonywa na wazazi wangu halafu wewe nsiyekujua unisonye apa ndani ya nyumba ya baba yangu eee??
Yule mdada akainuka nakutaka kuanza kupigana na #Martina_Ally mara sauti yakiume ikasikika we we acha achaa,,
#Martina_Ally alimuangalia uyo aliyesema nakumgundua alikua ni mdogo wa baba yake mlezi,
Baba mdogo yule aliwauliza kuna nini hapa?
#Martina_Ally akamuuliza huyu ni nani?
Ba mdogo yule akajibu uyu mke wangu,
#Martina_Ally akaanza kuondoka huku akimuambia muonye mke wako asicheze na mimi kabisaa mana ntampasua mpaka ajute kunijua,,
#Martina_Ally alipanda juu ya gorofa kisha akavua viatu nakuanza kuludi chini taratiibu huku akinyata,Alitaka ajue wanaongea nini baada ya yeye kuondoka pale,,
#Martina_Ally alimsikia yule mdogo wa baba yake akimpetipeti mke wake kwakumuambia USIJALI MKE WANGU SIKU ZAKE YULE ZINAHESABIKA KWAMAANA MWANASHERIA KASEMA TUNATAKIWA TUPATE USIBITISHO KUA YEYE SIO MTOTO WA KAKA NA MIMI NNA UHAKIKA KUA SIO MTOTO WA KAKA YANGU
#Itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 25,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__
#Martina_Ally akawashukuru kwakuwajua kisha akawauliza dhumuni lakuepo pale,
Baba mdogo wake akajibu mimi sikijua kama kaka yangu ana mtoto kwamaana ninavyojua mtoto wa kaka yangu alishafariki sasa sijui wewe ni mtoto wa nani?
#Martina_Ally akatabasam kisha akamuuliza kwani wewe unataka nini?
Yule baba mdogo akamjibu izi mali ni za kaka yangu ndio maana nko hapa na mwanasheria wake,,
#Martina_Ally akamuuliza kwani mimi nimekushika mkono au mimi nimekuambia chochote kuhusu mambo ya mali au unajistukia?Yule baba mdogo akasema hapana nlitaka nkuweke sawa kuhusu jambo hili kwamaana kama kaka yangu hana mtoto basi mie ndiye mmiliki halali wa hizi mali,,
#Martina_Ally akacheka kisha akamuambia sawa mwenye mali endeleeni na kikao chenu mie ngoja niende kazini kwangu kutafuta riziki zangu,,
Yule Mwanasheria akainuka nakumwita Loveness Loveness #Martina_Ally akageuka nakumuuliza abee unasemaje kaka?
Mwanasheria akasema njoo ukae katika kikao mana bila ya wewe hakiwezi kuenda kabisaa,,
Baba mdogo aliposikia ivyo akajibu haraka akisema Loveness sio mtoto wa kaka yangu na hiki kikao hakimuhusu,,
#Martina_Ally akamuangalia Mwanasheria kisha akamuambia unaona unaona kwaherini mie naondoka badae,,
#Martina_Ally aliondoka na alipofika getini alimuambia mlinzi ahakikishe anampa taarifa zote za hapo nyumbani,,Mlinzi aliitikia kwa heshima kisha #Martina_Ally aliingia katika gari ya marehemu baba yake nakuondoka nalo mpaka kule baa anakofanyia kazi,,
Kila mmoja alimshangaa lakini yeye hakujali akaingia kaunta nakuanza kazi huku akianza kuyapitia maisha yake toka kipindi kile mama mlezi wake yuko hai,,
#Martina_Ally alikumbuka upendo wa yule mama na Mara akakumbuka kuna siku walienda katika mahakama moja iliyoko mjini kisha yule mama alimuambia aweke saini katika kitabu kikubwa,
#Martina_Ally aliwaza sana huku akijuta kwanini hakukisoma kile kitabu,,
Alipanga kesho yake kwenda ile sehemu,,
#itaendelea

#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 24,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally aliwaangalia kisha akashusha pumzi nakuketi katika kiti huku akiweka nne nakusema mimi ndiye mtoto wa pekee wa marehemu,,
Wale watu waliangaliana kisha wakamuuliza unaitwa nani?
#Martina_Ally akawaangalia kisha akawauliza ina maana hamnijui?
Wale watu wakasema ndio maana tukakuuliza unaitwa nani?
#Martina_Ally akawaambia mie naitwa Loveness,,
Wale watu wakaangaliana kisha wakasema ulikua wapi mpaka baba yako anafariki nakuzikwa?
#Martina_Ally akainuka huku akiwaambia kwani mlisikia nimeshamiliza shule,,
#Martina_Ally akapanda juu ya gorofa ya ile nyumba nakwenda kuufungua mlango wa chumba chake,
Alianza kufanya usafi kama mtu ambae aliyesafiri sasa analudi,,Alipomaliza akatoka nje nakwenda kuingia katika chumba cha marehemu baba na mama yake walezi,,
Alikuta kadi ta bank pamoja na vitambulisho pale akavikusanya nakuvipeleka chumbani kwake kisha akashuka chini walipokua wale wageni,,Akawauliza nyie akina nani mbona hamjajitambulisha kwangu,,
Mkaka mmoja akainuka nakumuambia mimi naitwa Adrian ni mwanasheria wa baba yako,
#Martina_Ally akashukuru kwakumjua,Kaka mwengine akainuka nakijitambulisha kua yeye ni mdogo wa marehemu baba mlezi wake,
#Martina_Ally akatabasam nakumuambia karibu nyumbani ,,Yule mdogo wa marehemu akasema asante huku akitabasam kinafki,,
Wengi walijitambulisha kama wafanyakazi waliofanya kazi na marehemu baba yake
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 22,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Nitakusaidia binti haya nenda kachukue nguo zako twende huko shuleni halafu tukitoka huko nkakupe chumba chakuishi ambacho kipo apo apo katika baa mpya,
#Martina_Ally akainama chini nakuinua kichwa kisha akasema asante babaangu lakini sina nguo yakubeba twende ivi ivi,,
Bosi yule alishangaa sana tena sana,
#Martina_Ally alimuangalia muhudumu wa kaunta nakwenda kumkumbatia kisha akamuambia usijali rafiki yangu tutaonana ivi karibuni,,
#Martina_Ally akapanda ndani ya gari ya bosi wake nakuanza kuondoka kuelekea shuleni alikomalizia elimu yake ya sekondari,,
Walifika mapema sana nakuonana na uongozi wa shule ambako bosi wa #Martina_Ally alimlipia #Martina_Ally kila kitu nakupewa cheti kisha wakaondoka kuelekea mji mpya ambapo ndipo #Martina_Ally atapokua akiishi,,
Alipofika alipewa chumba ambacho kina choo na jiko umoumo akiwa anatabasamu kwa furaha mara alishangaa kumuona mkaka mmoja akiingia pale chumbani huku mkononi kashika tepu yakupima,,
Akamuambia bosi kasema nije nichukue vipimo vyako anataka nkuandalie nguo za kazi nazakutokea,
#Martina_Ally alikubali nakuanza kupimwa,,
Kesho yake asubuhi aliduwaa kuletewa kimini chaajabu lakini kwakua alikua hana namna akakivaa nakufungua baa ya yule bosi rasmi,,
Wahudumu wa nje walikua wengi sana na #Martina_Ally alipewa cheo chakuwaendesha wote na kupewa mamlaka yakumfukuza kazi yoyote atayesumbua katika kazi,
#Martina_Alluly alianza kuiendesha ile baa vizuri sana,
Jumatatu ilipofika #Martina_Ally alimtuma muhudumu wake akamchukulie gazeti na hapo ndipo #Martina_Ally alidondoka nakuzimia,,
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 21,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Aliinuka nakuingia ndani kisha akavaa nakutokomea kusikojulikana,
Wahudumu wenzie waliuliza wapi #Martina_Ally alikoenda kila mtu akawa hajui,,
Kesho yake asubuhi #Martina_Ally aliludi pale baa nakujifungia chumbani huku akionekana kuchoka saana,,
Akiwa mule ndani mara alisikia mgurumo wa gari nje na kwa haraka mawazo yake akajua watakua polisi ivyo #Martina_Ally aliingia chini ya uvungu wa kitanda,
Akiwa huko chini mara alisikia wahudumu wenzie wakimuita kua anaitwa na yule bosi wa siku ile,
#Martina_Ally aliinuka haraka nakuelekea nje alipo bosi yule,Bosi yule akamuuliza je amefanikisha kupata kila alichokihitaji kwaajili ya kazi?
#Martina_Ally akainamisha kichwa chini nakujibu hapana kule shuleni wamesema mpaka nimaliziea ada ndo nipewe vyeti vyangu,
Yule bosi akamuuliza kwanini haukunipa taarifa mapema wakati nimekuachia namba zangu?
#Martina_Ally akajibu sina hata pesa yakukupigia simu,
Yule bosi akasema sasa kesho mimi ndo nataka nifungue ile baa yangu sasa na wewe naona unazembea,
#Martina_Ally akajibu kwa upole akimuambia naomba unilipie ile ada halafu utanikata katika mshahara wangu nisaidie babaangu,
Yule bosi akamuangalia #Martina_Ally kisha akasema
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 20,,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally alikua kama kachanganyikiwa mana hakuamini kama ndani ya chumba kile hakuna pesa hivyo akaanza kuondoka ili asikutwe na mtu yoyote,
Akiwa anashuka ngazi mara akapata wazo lakwenda kuichukua kadi benki aliyoiona pale mezani kwa baba yake yule mlezi,
Alianza kupandisha ngazi haraka haraka gafla aliduwaa kumuona mtu mbele yake na kwa giza lile hakuweza mtambua,
#Martina_Ally alijibanza katika ua kubwa lililopo kitika kordo kubwa ya nyumba ile,,
Yule mtu alisogea mpaka pale alipokuepo #Martina_Ally kisha akasema NIMEKUONA NIMEKUONA NA KWA USALAMA WAKO TOKA HAPO ULIPO LAA SIVYO ITANILAZIMU KUITUMIA SILAHA NLIYONAYO,
#Mrtina_Ally alishaijua ile sauti ni ya baba yake mlezi hivyo alifikilia chakufanya nakuamua kutoka alipojificha huku mikono akiwa kainyanyua juu,,
Akiwa kainyanyua mikono juu #Martina_Ally alimsogelea baba yake yule huku akiwa kainamisha kichwa chini na kwa haraka sana alimsukuma baba yake yule kisha akashuka chini nakulukia ukuta kisha akatokomea gizani ambako alikimbia mbio zaajabu na alipofika maeneo ya kule baa alivua lile linguo jeusi nakulisunda mgongoni kisha akaingia ndani nakulala,,
Palipokucha aliduwaa kusikia taarifa ya habari kua mfanyabiashara mkubwa wamji ule jana alivamiwa na majambazi nakumizwa vibaya sana kiasi chakua mahututi nakulazwa katika hospital ya serikali jijini hapo,,
#Martina_Ally alianza kulia huku akitetemeka sana
#itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 19,,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Wazo alilolipata nikua aende nyumbani kwa babaake mlezi akamvizie akiwa katoka halafu aingie chumbani kwa mzazi wake huyo kisha aangalie kama ana pesa pale chumbani ili azichukue kisha akalipe ada na amuachie barua kua ni yeye ndo kachukua pesa izo,,
#Martina_Ally alijifungia ndani ya chumba hicho cha baa huku akichora michoro ya namna atavyoingia katika jumba lile nakutoka bila mtu yoyote kumuona,,
Alipomaliza kuchora mchoro huo alianza kuvuta kumbukumbu za siku ambazo mzazi wake yule hua anachelewa kuludi nyumbani,
Dakika ishirini baadae #Martina_Ally alikua kashamaliza kila kitu kwaajili ya tukio lake hivyo aliendelea kufanya kazi pale baa mpaka ilipofika siku ya jumamosi ambayo alijua kabisaa kua baba yake yule atakua hayupo na yeye kufanya kama mipango yake ilivyo,,
Siku ya Jumamosi ilifika na #Martina_Ally aliona kama mda hausogei kabisaa,,
Alifunga baa saa saba usiku na kisha kuvaa nguo nyeusi tii nakutokea dirishani nakuanza kuondoka huku akikimbia sana,,
#Martina_Ally alikua ana mazoezi yakutosha hata kule shuleni mara nyingi alishinda katika mbio za riadha hivyo haikumwia vigumu kwa yeye kukimbia,,
Alifika katika nyumba aliyolelewa huku machozi yakimlenga lenga aliluka ukuta nakupanda juu ya banda ambalo lilikua likifugwa kuku,,#Martina_Ally alidandia mnazi ulioko pembeni mwa banda hilo kisha akashuka taratiibu nakuutoa funguo alionao nakufungua mlango wa nyuma wa nyumba hio ambako kulikua ma swichi ya umeme wa nyumba nzima,
#Martina_Ally alizima umeme wa nyumba nzima na kwa haraka alipandisha juu nakuingia katika chumba cha baba yake yule mlezi,,
#Martina_Ally hakukuta mtu ndani ya chumba kile na hata alipotafuta huku na kule hakupata hata shilingi mia moja
#itaendelea

#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 18,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally aliaga nakuelekea katika shule aliyomalizia elimu yake ya kidato cha sita,
Alifika salama na kuingia ofisi ya Walimu na kisha kujaribu kuongea nao kama itakua rahisi kwa yeye kupata vyeti au kitu chochote kitachomthibitisha kua alisoma pale na alimaza elimu yake pale,,
Walimu walimuambia hio ni kazi rahisi sana ili mradi awe amemaliza ada yake yote,,
#Martina_Ally aliwaambia ana uhakika kua ada alishaimaliza,,
Mwalimu mkuu wa shule hio alifungua kitabu cha rekodi nakukuta kua bado #Martina_Ally alikua na deni hivyo asingeweza kupata kitu chochote mpaka alimalize deni hilo,,,
#Martina_Ally aliulizia kiasi cha deni hilo ambapo aliambiwa kua anadaiwa hela ya nusu msimu ambapo ilikalibia kufika shilingi laki tano,,
#Martina_Ally alijikuta akikaa chini huku akilia kwamaana kilikua ni kiasi kikubwa sana cha pesa na alijua asingeweza kulipa kabisaa,,
Aliaga pale nakuondoka huku akiwa hajui atapata wapi pesa zote zile ili aweze kupewa cheti chake chakumaliza elimu yake ya sekondari,,
#Martina_Ally aliludi katika ile baa huku analia nakuwasimulia wote ambapo walimuonea huruma sana kisha wakamuombea kazi hapo hapo baa na kesho yake akaanza kazi ambapo alilipwa elfu thelathini kwa mwezi,
#Martina_All alianza kupata vishawishi vingi sana kutoka kwa Wanaume ambao walikua wakinywa pombe katika baa ile,
Alipoona maisha ya hapo yanazidi kua magumu #Martina_Ally alipata wazo... JE UTAKA KUJUA NI WAZO GANI??
KAA HAPO NA USUBILI SEHEMU YA 19..
#Itaendelea
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

JE WEWE NI MFUATILIAJI WA STORY YA #Mrtina_Ally???
NA HUJAONA BAADHI YA SEHEMU?
WAKATI NI WAKO SOMA SASA KWAKUBONYEZA JINA LA STORY KISHA UTAENDA MOJA KWA MOJA KATIKA STORY HIO TAMU SANAA NA YENYE MAFUNZO MAKUBWA YA KIFAMILIA,,
#CLIK
#Martina_Ally
#Martina_Ally
UIPATE STORY HII MWANZO MPAKA TULIPOFIKIA....
ASANTENI KWAKUFUATILIA STORY ZANGU👏👏👏 #niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 17,,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

Muhudumu wa kaunta alimuangalia #Martina_Ally kisha akamuuliza kwahio itakuaje?
#Martina_Ally akajibu nipatie shilingi elfu mbili nikahangaikie halafu ntakuja jioni kulala tena hapa nakukupatia majibu yote,
Muhudumu yule akasema elfu mbili yangu utanilipa lini?
#Martina_Ally akajibu kwa mshangao haaa rafiki yangu mara hii huniamini loh wewe nipatie tu nkipata kazi tu ntakuludishia mara mbili yake,
Muhudumu akamuangalia huku akishusha pumzi nakuingia ndani kisha akampatia shilingi elfu tano nakumuambia hakikisha unaitumia pesa hio kwa vitu vya maana tu na siku ukipata pesa naomba uniludishie pesa yangu kama ilivyo mana hapa napokea mshahara wa shilingi elfu mbili kwa mwezi na hapo nimekupatia pesa ya mishahara yangu miwili,,
#Martina_Ally alimuangalia muhudumu yule kisha akamshukuru kwa magoti nakusema hakika wewe una moyo wakipekee sana na ebu naomba uniambie unaitwa nani?
Muhudumu akatabasam kisha kajibu kua naitwa Silvia,,
#Martina_Ally akajitambulisha na yeye huku akilisifia jina la Muhudumu yule,,
Aliwaaga nakuanza safari yakwenda katika shule aliyokua akisoma ili akaone ni namna gani anaweza akapata msaada huko..
#itaendelea.. #niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 16,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally hakuupokea mkono wa yule mmbaba na badala yake alisonya nakuondoka zake,
Mbaba yule aliingia katika baa hio ambapo aliwaita wahudumu nakusalimiana nao kisha akawaambia niko natafuta wafanyakazi wapya katika baa yangu mpya iliyoko katikati ya mji,
Wahudumu wale wakasema kwasasa hakuna mtu yoyote aliyehitaji kazi hio ila akitokea watamjuza kwahio aache namba yake ya simu,,
Mmbaba yule akatoa namba ya simu nakuwapatia kisha akageuka na mara macho yake yakakutana na ya #Martina_Ally kisha mmbaba yule akawauliza wale wahudumu je huyu nae anafanya kazi hapa?
Muhudumu wa kaunta akajibu hapana huyo ana matatizo yake labda umuulize yeye mwenyewe atakujibu,,
Mmbaba yule akamgeukia #Martina_Ally kisha akamuuliza una elimu gani binti?
#Martina_Ally akamjibu nimemaliza kidato cha sita miezi miwili iliyopita,Yule Mbaba akajibu ohoo safi sana safi sana na je unaishi wapi na unfanya nini kwa sasa?
#Martina_Ally akasema nipo nipo tu,
Yule mmbaba akasema naomba nkupe ajira itayokupatia kipato kizuri,
#Martina_Ally alimuuliza ni ajira gani hio?
Mmbaba yule akajibu nna baa yangu iko katikati ya mji na natafuta mtu wakuisimamia na kama ukiwa muaminifu ntakupa nafasi hio lakini ni lazima nipajue kwenu na unipe vyeti vyako nivione pamoja na shahidi wakukusimamia vyote ivyo,,
#Martina_Ally alimuangalia Mmbaba yule huku akamjibu nipe siku tatu kila kitu kitakua tiyari,,
mmbaba yule aliingia ndani ya gari lake nakuondoka,
Huku nyuma #Martina_Ally alimuangalia yule muhudumu wa kaunta kisha akamwambia huwezi amini sina hata kimoja anachokihitaji mmbaba yule sijui itakuaje na kazi naitaka loh..
#itaendelea

#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

#Story
#Martina_Ally Sehemu ya 15,
#Mtunzi Professa
@__elibarikidaniel_marando__

#Martina_Ally alimuangalia yule muhudumu kisha akasema sasa kwanini wewe hukua makini kuniangalizia begi langi?
Muhudumu akajibu nsamehe tu nlikua nimeinama huku katika friza na nlipoinuka sikumuona tena yule kaka ata sikujua kama kaondoka na begi lako,,
#Martina_Ally akashika kichwa nakujisemea sasa hapa sijui nifanyaje?
Muhudumu alimsikia nakumuuliza kwani hupajui kwao?
#Martina_Ally ajibu napajua ila sitaki kuenda kwao kabisaa,
Muhudumu akamuuliza kwanini?
#Martina_Ally akajibu Yule kaka ananipenda na tokea kidato cha nne ananisumbua sana lakini mimi wala sijampenda na wala staki kuingia katika mahusiano kipindi hichi nko katika matatizo naona kama hii itaniongezea matatizo zaidi,,
Muhudumu akamuangalia #Martina_Ally kisha akamuuliza sasa itakuaje?
#Martina_Ally akajibu mwache aende nalo atalileta mwenyewe hapa na akilileta ntunzie sawa??
Muhudumu akajibu sawa,,
#Martina_Ally akaingia katika chumba cha wahudumu wa baa ile nakulala mpaka asubuhi,,alitoka nje na mara mmbaba mmoja alisimamisha gari lake nje ya baa hio ambapo alimsogelea #Martina_Ally nakumshika mkono
#itaendelea...
#niite
#mtoto_wa_mfalme aka #kijukuu_cha_marando💪

Most Popular Instagram Hashtags