#malezi

1028 posts

TOP POSTS

Tabia za ukuaji wa mtoto kuanzia mwezi 0-3
Bonyeza link hapo juu kwenye BIO ikupeleke ukasome zaid.
Tag mama k na new mama wakasome.#parenting #motherhood #malezi#

Mabade hendo haaa
Jaye hame Khali;-) #malezi#mabade#hendoha

Makundi-rika 'peer pressure' ni tatizo kubwa katika #Malezi

#Malezi baada ya kazi.

Neno moja kwao na wazaz wao.#parentinghood#malezi#kulea#

Came for my daughters' sports day at school. Quite an experience: consoling them when they loose, educating them all about 'competition', winning and loosing, teams and team work, team building, and cheering their team when they win! Had a lot to learn than enjoy. They have Team Shark, Team Whale, Team Dolphins and Team Barracuda...and they are so much attached to their teams, I think it is a good foundation for them to appreciate teamwork and loyalty at this young age. It reminds me the importance of us parents being close to our kids in 'these things', which we 'might' consider 'minor' but surprisingly mean the whole world for them! #Parenting #Kigwangallas #Kigwanomics #HK #Dr_Kigwangalla #HamisiKigwangalla #SheilaKigwangalla #HKJr #HawaKigwangalla #malezi #Watoto

MZAZI JIFUNZE KUFANYA MAKUBALIANO NA MTOTO

Katika malezi ya mtoto ni muhimu sana mzazi kujifunza namna ya kutatua migogoro baina yake na mtoto wake pasipo kutumia nguvu. Makubaliano ni njia moja wapo yenye matokeo chanya katika kutatua migogoro. Ni vizuri mzazi kumpata mtoto nafasi wa kujisimamia katika mambo yake bila kumuingilia. .

Kwa mfano mtoto anataka kuangalia TV, ilhali mzazi unataka mtoto afanye 'homework'. Kwa tabia za wazazi wengi lazima atatumia nguvu kulazimisha mtoto afanye homework...lakini unaweza fanya makubaliano na mtoto; nusu saa ya kuangalia TV na nusu saa ya kufanya homework (win-win situation)
.

Makubaliano kama haya yatamfanya mtoto atoe ushirikiano mzuri zaidi kwa mzazi. Pia mtoto atajenga tabia ya kujisimamia mwenyewe akiheshimu makubaliano. #mtoto #mzazi #malezi #makubaliano

MOST RECENT

Tabia za ukuaji wa mtoto kuanzia mwezi 0-3
Bonyeza link hapo juu kwenye BIO ikupeleke ukasome zaid.
Tag mama k na new mama wakasome.#parenting #motherhood #malezi#

Heri ya siku yangu ya kuzaliwa. Napenda nimshukuru Mungu wangu kwa kunipigania mpaka kufikia hapa.
Napenda kuwashukuru wazazi wangu kwa #upendo na #malezi yao mazuri ambayo yamenifanya nifikie hapa nilipo sina cha kuwalipa #wazaziwangu #mrmrs_mollel nawaombea kwa Mungu azidi kuwapigania na kuwalinda. #nawapendasana #mamaSunday na #babaSunday

JE ADHABU KWA MTOTO NI MBINU SAHIHI?
Adhabu ni moja ya kitendo cha kawaida katika malezi ya mtoto. Wazazi/waalimu wanafikiria kwamba adhabu zinamfanya mtoto kuacha tabia fulani isiyopendeza. Ni kweli adhabu inasaidia lakini wakati mwingine sio mbinu sahihi.

Adhabu inafanya mtoto afikirie zaidi matokeo baada ya kufanya kitendo kisichopendeza, badala ya kutambua mabaya ya kitendo chenyewe. Kwa mfano mzazi anamchapa mwanae kisa amecheza kwenye mvua. Katika saikologia ya mtoto ataelewa zaidi kwamba akicheza kwenye mvua matokeo yake ni fimbo, badala ya kuelewa sababu za kutopaswa kucheza kwenye mvua.
Adhabu zipo kwa lengo la kumtia adabu mtoto na afuate sheria zilizowekwa. Ifike wakati wazazi wamuache mtoto awajibike kulingana na matendo yake ilhali wakimfundisha kwa upole mabaya ya tabia isiyopendeza. Waende mbali zaidi kumpa mtoto zawadi pale anapoonyesha tabia inayopendeza. Cha msingi mtoto aache kucheza kwenye mvua akijua madhara ya kucheza kwenye mvua na sio aache kucheza kwenye mvua akiogopa fimbo. .

Wakati mwingine ni vizuri wazazi kuwapa nafasi watoto kufanya makosa ili wapate nafasi ya kujifunza kulingana na makosa yao. Uwepo wa adhabu za mara kwa mara pale wanapokosea zinawafanya watoto kuwa waoga kujaribu vitu. Uoga ni tabia inayojijenga tangu utotoni mpaka utu uzima. Ni vyema wazazi kuachana na adhabu (hasa zenye kudhuru mwili) ili kuwajengea watoto tabia ya uthubutu na kujifunza kupitia makosa yao. #adhabu #mtoto #mzazi #malezi

#Shukrani Zangu Za #Dhati Kwa Mama Yangu Kipenzi #Batuly #Agustino Kwa #Malezi Yako #Mema & #Mazuri Kwani Ulinikataza #Mabaya & Kunielimisha Yaliyo #Mema. Sina Cha #Kukulipa Zaidi Ya #Kusema "#Wewe Ni Zaidi Ya #Mama Ambae Hakika #Najivunia. #Subra, #Imani, #Upendo, #Ucheshi, #Busara & #Hofu Ya #MUNGU Vizidi Katika #Moyo Wako!..
#Happy #Mumy #Day
#NakupendaMama. """""""""""""""#KiNyOkO #KiMeNyOkOkA"""""""""""""

Came for my daughters' sports day at school. Quite an experience: consoling them when they loose, educating them all about 'competition', winning and loosing, teams and team work, team building, and cheering their team when they win! Had a lot to learn than enjoy. They have Team Shark, Team Whale, Team Dolphins and Team Barracuda...and they are so much attached to their teams, I think it is a good foundation for them to appreciate teamwork and loyalty at this young age. It reminds me the importance of us parents being close to our kids in 'these things', which we 'might' consider 'minor' but surprisingly mean the whole world for them! #Parenting #Kigwangallas #Kigwanomics #HK #Dr_Kigwangalla #HamisiKigwangalla #SheilaKigwangalla #HKJr #HawaKigwangalla #malezi #Watoto

MZAZI JIFUNZE KUFANYA MAKUBALIANO NA MTOTO

Katika malezi ya mtoto ni muhimu sana mzazi kujifunza namna ya kutatua migogoro baina yake na mtoto wake pasipo kutumia nguvu. Makubaliano ni njia moja wapo yenye matokeo chanya katika kutatua migogoro. Ni vizuri mzazi kumpata mtoto nafasi wa kujisimamia katika mambo yake bila kumuingilia. .

Kwa mfano mtoto anataka kuangalia TV, ilhali mzazi unataka mtoto afanye 'homework'. Kwa tabia za wazazi wengi lazima atatumia nguvu kulazimisha mtoto afanye homework...lakini unaweza fanya makubaliano na mtoto; nusu saa ya kuangalia TV na nusu saa ya kufanya homework (win-win situation)
.

Makubaliano kama haya yatamfanya mtoto atoe ushirikiano mzuri zaidi kwa mzazi. Pia mtoto atajenga tabia ya kujisimamia mwenyewe akiheshimu makubaliano. #mtoto #mzazi #malezi #makubaliano

Leo tumepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kupotea maisha ya watoto wakiwa katika safari ya kuisaka elimu.
Ajali mbaya sana imetokea eneo la kata ya Rhotia Wilaya ya Karatu ambapo basi la wanafunzi wa St Lucky ya Arusha wakienda safarini Karatu kufanya mtihani na wanafunzi wenzao wa Tumaini English Medium School ya Karatu, limepindukia mtoni.

Mpaka sasa takribani watoto 32 na waalimu watatu wamepoteza maisha (ITV Tanzania - Habari). Poleni sana wazazi, walezi, waalimu, ndugu wa familia tandaa za marehemu, jamaa, majirani na marafiki!

Inauma sana inapomlazimu mzazi kumzika mwanae. Inauma kujua kwamba mtoto ulompatia #Malezi kadiri ya uwezo wako sasa hayupo tena. Inauma kujua kwamba mtoto uliyemtaraji kuwa mwanajamii makini, daktari, mwalimu, mwanasheria, mfanyi-biashara - ndoto zake zimezimwa. Ndoto zako zimezimwa.
Inasikitisha kuona namna 'mashuhuda' walivyopiga picha za miili ya watoto wakiwa wamelala usingizi wa mauti na kuzisambaza mitandaoni. Sheria ya Makosa ya Mtandao ya 2015 inafanya uzalishaji, usambazaji na umiliki wa maudhui yenye unyanyasaji wa watoto kosa la jinai. Ukipiga picha ya mtoto marehemu na kuisambaza ni kosa la jinai. Lakini vipi kuhusu wazazi/walezi na wa marehemu? Akikutana na picha ya mwanae akiwa katika hali namna hii. Anajisikiaje? Kwani huwezi kutoa taarifa ya msiba wa mtoto bila kutuma picha yake?

Ndugu wazazi, Mungu na awape wepesi kukubali na kukabiliana na msiba huu mzito kwenu.

Poleni sana!

Rep istrahat pye nek ramene kyo ngene iki...???!! #malezi..!!

پارک ملی در مالزی دارای سه دریاچۀ آتشفشانی با رنگهای آبی، سبز و سرخ است
#malezi

Tak rungoke ae... Ora pak tak sawang.. #muak #sungkan #malezi #astaghfirullah

When the task of feeding many mouths becomes too great a burden, some bird species enlist the help of other birds to “chick-sit” their young.
------------------------------------------------------------
Kazi ya kulisha makinda wengi inapokuwa ngumu sana, jamii fulani za ndege huomba msaada wa ndege wengine ili wawe “walezi wa muda” wa makinda wao.

#Uaminifu#malezi#utamaduni#
Furaha ya malezi haipimwi kwa urahisi na wepesi wa kumsaidia kinda katika kumlea, ila hupimwa kwa malezi sahihi na yenye tija kwa kulinda asili na utamaduni wa anayelelewa. (Kinda)

#hawa wanaolazimisha kutulea wanazingatia haya?
#longwalkfromthepoliticaldarkness
#africa#

..................................................................
You are SAFE
You are LOVED
You are WISE
.................................................................. #love
#brotherhood
#malezi
#dream
#goals😍
#son

Most Popular Instagram Hashtags