#majizzo

MOST RECENT

- PICHA YA PAMOJA | muigizaji wa filamu #elizabethmichaelofficial na Mumewe Mtarajiwa #majizzo ,pembeni yao wakiwa na Steve Nyerere bila kumsahau #sallam_sk .

PICHA YA PAMOJA | muigizaji wa filamu #elizabethmichaelofficial na Mumewe Mtarajiwa #majizzo ,pembeni yao wakiwa na Steve Nyerere bila kumsahau #sallam_sk .

Wakwanza Kuvaa hiki Kiatu #EastAfrika ni @zarithebosslady Atakayefata Atakuwa kamuiga Mastar wetu wa Tz πŸ˜₯Mnajua kubadilishana vibabu tu kila kitu kwenu zaro kasoro mke wa #majizzo tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Lulu kurudi kwenye filamu.
.
.
Huenda mwigizaji maarufu Elizabeth Michael anaanda kazi mpya ya filamu baada ya mpenzi wake na Boss wa EFM @majizzo kupost picha ya Lulu na kuandika "Back to Business".
.
.
#newschemba #elizabethmichael #majizzo #film

Mrs #Majizzo 😍 Mke wa mtu mtarajiwaπŸ‘ŒπŸΎπŸ‘ŒπŸΎ

Hongereni. @majizzo na @diamondplatnumz kwa kumaliza Deni la mkopo benki ila bado serikali inawadai child support.,πŸ˜‚
.
TABU IKO PALE PALE πŸ˜‚
.
.Hawa ndio wanaume waliopata tabu saaanaaaa πŸ˜‚
.
πŸ‘ΉπŸ˜ˆβ˜ πŸ’€β˜  MATUNGULI YALIWABAMBAA 🎡🎢🎀 MOBETTOO 🎺🎧 πŸ˜‚
.
.
.
.

#diamondplatnumz #majizzo #hamisamobetto #teamhamisa #zarithebosslady #teamdiamondplatnumz #teamzari #teamzarimond #teamzarithebosslady #princesstiffah #princenillan #wcb #wcb_tweets #wasafi #wasafitv #wasafidiehardfans #wcb4life #wolperstylish #millardayo #tanzaniaweddings #eastafricaweddings #millardayoupdates #mamadangote #mamamobetto #deedylan #eastafricaweddingz #tanzaniabrides #jibebechallange #jibebe

Muigizaji wa Bongo movie #ElizabethMichael maarufu kama Lulu amefunguka na kuongea mazito kuhusu mpenzi wake ambaye ni Mkurugenzi wa EFM, #Majizzo. Mwanzoni mwa wiki hii Majizzo alimvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Lulu Ikiwa ni Miezi Michache tangu alipoachiwa huru kutoka kwenyeΒ  kifungo chake baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila => Read More => http://www.kwetubongo.co.tz/2018/10/lulu-afunguka-mazito-kuhusu-majizzo/
#kwetubongo #entertainment #BreakingNews

FAHAMU | Mama mzazi wa Elizabeth Michael 'Lulu' na yeye pia alikuwapo katika kushuhudia tukio zima la mwanaye kuvishwa pete usiku wa jana na mpenzi wake #Majizzo.

Mama anakwambia kutokana na matatizo mazito aliyopitia mwanaye kwa kipindi hiki hakutegemea kama atakuja kutimiza ndoto yake ya kuona mwanaye siku moja akija vishwa pete na kuolewa, lakini anamshukuru MUNGU kwa ukuu wake!

Mama aliongea hayo huku mifereji ya machozi isiyokauka ikiteremka usoni mwake!

SIRI IMEFICHUKA ||
.
Elizabeth Michael 'Lulu' anakwambia kuwa wakati wa kesi yake, mpenzi wake #Majizzo alimuahidi kumsubiri hata kama atahukumiwa kwenda jela bila kujali ni kwa muda gani bali yeye yupo tayari kumsubiri.

Anasema tofauti na wanaume wengine, hajawahi kutana na mwanaume mwenye upendo kama #Majizzo na huenda MUNGU kamleta kama faraja kwake kutokana na changamoto alizopitia akiwa na umri mdogo.

Aliongea maneno hayo Lulu, huku kilio laini cha kwikwi kikitawala kila baada ya sentensi mbili.

KAMA ULIKUWA HUJUI BASI CHUKUA HII, SIRI IMEFICHUKA ||
.
Elizabeth Michael 'Lulu' anakwambia kuwa wakati wa kesi yake, mpenzi wake #Majizzo alimuahidi kumsubiri hata kama atahukumiwa kwenda jela bila kujali ni kwa muda gani bali yeye yupo tayari kumsubiri.

Anasema tofauti na wanaume wengine, hajawahi kutana na mwanaume mwenye upendo kama #Majizzo na huenda MUNGU kamleta kama faraja kwake kutokana na changamoto alizopitia akiwa na umri mdogo.

Aliongea maneno hayo Lulu, huku kilio laini cha kwikwi kikitawala kila baada ya sentensi mbili.
JE, WEWE UNGEWEZA??

Most Popular Instagram Hashtags