[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#magufuli

5935 posts

TOP POSTS

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.
Picha/Ikulu, Tanzania
#BBCswahili #ikulu #tanzania #magufuli

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na wafanyabiashara wanaogiza na kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi.
Amepata makontena 20 yenye mchanga wa madini ambapo ameamuru kontena hizo zisisafirishwe mahali popote.
Picha/Ikulu, Tanzania #bbcswahili #Magufuli #mchanga #bandari #daressalaam

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiubusu msalaba aliopewa kama zawadi na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick Shoo katika Kanisa la KKKT Usharika wa Moshi mjini Jumapili mkoani Kilimanjaro.
Picha/Ikulu, Tanzania
#bbcswahili #Magufuli #ibada #tanzania

Jaji Mwendwa #Malecela amejiuzulu Jumanne, baada ya kumuandikia Rais John #Magufuli akiomba ridhaa yake. Rais ameridhia kujiuzulu kwake kuanzia leo. Jaji Malecela aliapishwa na Rais mstaafu Jakaya kikwete, Juni 22, 2010

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli aliye pia Amiri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania, akimvisha cheo Meja Jenerali James M. Mwakibolwa kuwa Luteni Jenerali na kumpandisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu kabla ya kumuapisha.
Picha/Ikulu, Tanzania
#bbcswahili #ikulu #tanzania #mwakibolwa #magufuli

Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kwamba chini ya utawala wake wasichana wa shule wanaopachikwa mimba hawatoruhusiwa kurudi shuleni baada ya kujifungua.
Umepokeaje tamko lake hili?
Kiongozi huyo alikuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Chalinze magharibi mwa jiji la Dar es Salaam.
#BBCswahili #magufuli #tanzania #Wanawake

Rais Magufuli sasa amewageukia watumishi wa umma waliobadilisha umri wao ili kuendelea kufanya kazi.
#BBCswahili #magufuli #tanzania

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete mara baada ya kuhutubia katika sherehe za miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Picha/Ikulu, Tanzania
#bbcswahili #Magufuli #Kikwete #Dodoma #Muungano53

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es Salaam.
Dangote amesema ameshangazwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa amefunga kiwanda kwa sababu amekatazwa kuagiza makaa ya mawe toka nje ya Tanzania kitu ambacho amesema hakiingii akilini kwa sababu makaa ya mawe ya Tanzania ni rahisi na yana ubora kuliko kuagiza nje.

Picha/Ikulu, Tanzania
#bbcswahili #tanzania #magufuli #dangote

MOST RECENT

Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kwamba chini ya utawala wake wasichana wa shule wanaopachikwa mimba hawatoruhusiwa kurudi shuleni baada ya kujifungua.
Umepokeaje tamko lake hili?
Kiongozi huyo alikuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Chalinze magharibi mwa jiji la Dar es Salaam.
#BBCswahili #magufuli #tanzania #Wanawake

I am telling you; we make one step forward, two steps backwards. This cannot be defended in anyway in our today's world. Totally unacceptable from such a respected leader.Denying girls an opportunity to get education perpetuates a cycle of poverty and is against human rights! http://www.bbc.com/news/live/world-africa-39660343?ns_mchannel=social&ns_source=twitter&ns_campaign=bbc_live&ns_linkname=594bd4cfe4b027e74704a20a%26Tanzania+president+says+young+mothers+cannot+go+back+to+school%26&ns_fee=0&ocid=socialflow_twitter#post_594bd4cfe4b027e74704a20a
#tanzania #girlscount #humanrights #unacceptable #sad #education #globalgoals #law #policies #africa #leadership #injustice #Magufuli #president

Rais wa Tanzania John Magufuli amenukuliwa akisema kwamba chini ya utawala wake wasichana wa shule wanaopachikwa mimba hawatoruhusiwa kurudi shuleni baada ya kujifungua.
Kiongozi huyo alikuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Chalinze magharibi mwa jiji la Dar es Salaam.
Picha/Ikulu, Tanzania
#BBCswahili #magufuli #tanzania #Wanawake

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani.
Picha/Ikulu, Tanzania
#BBCswahili #ikulu #tanzania #magufuli

#CUF ya Prof. #Lipumba wamempogeza Rais #Magufuli kushughulikia suala la mchanga wa madini pamoja nabkuwatia mbaroni mafisadi papa.
#escrow #GlobalPublishers #GlobalTVonline

Art is the last form of magic that exists
#art #drawing# portrait #pencilwork #drawing #Magufuli#team eliaminink
For order call or whassap 0706068229

Rais #Magufuli atuma salamu za #Rambirambi kutokana na kifo cha #ShabikiwaYanga #AllyYanga rais amesema amesikitishwa sana na msiba huo ametoa salamu hizo akiwa #Ziarani huko #Pwani

#NUKUU:"Mimi nachukia wezi na kweli wezi kwangu watakoma tu, awe mwizi wa Tanzania awe mwizi wa ulaya mwizi ni mwizi tu na wataula wa chuya".#Magufuli

Tunajivunia kuwa na Rais mchapakazi katika Ardhi yetu #MAGUFULI is the real deal

#kunduchiMpya

.Magufuli: "Mimi nachukia wezi." Rais wa Tanzania John Magufuli amesema hatawavumilia watu wanaotaka kutumia mali ya taifa kujinufaisha. Amesema serikali yake itakuwa makini sana kuhusu mikataba na uwekezaji. Alikuwa akiwahutubia wananchi wa Mji wa Kibaha Mkoani Pwani June 20, 2017. Rais yupo Mkoani Pwani kwa ziara ya siku tatu.

#bbcswahili #magufuli #tanzania

“Rais #Magufuli amekutana na Rais mstaafu wa #Nigeria, Olusegun #Obasanjo na kufanya Mazungumzo”

Jaji Mwendwa #Malecela amejiuzulu Jumanne, baada ya kumuandikia Rais John #Magufuli akiomba ridhaa yake. Rais ameridhia kujiuzulu kwake kuanzia leo. Jaji Malecela aliapishwa na Rais mstaafu Jakaya kikwete, Juni 22, 2010

Rais #Magufuli amekutana na Rais mstaafu wa #Nigeria, Olusegun #Obasanjo na kufanya Mazungumzo

Most Popular Instagram Hashtags