#karibuniUHONDO

MOST RECENT

Dunia Ni Mfano Wa Kitabu Wale Wasiokuwa Wasafiri Uwishia Kusoma Ukurasa Mmoja....
#KARIBUNIUHONDO
#AsubuhiNjemaWaungwana

Uvumilivu Ni Daraja Linalounganisha Upendo Na Subira Kwani Mafanikioo Ayaji Kama Hakuna Changamoto Kwa Kitu Unachokiangakia Hata Siku Moja...Kubali Kila Changamoto Zinazokuja Mbele Yakoo Ndipoo Utakuja Kufaulu Kwa Kitu Unachokipenda...Binafsi Namshukuru Allah Kwa Kila Atuah Ninayoosogea kwani Naamini Akuna Kizuri Kisichokuwa Na Kasoro...#KARIBUNIUHONDO

Leoo Mapema Tumekuja Kuwatembelea Wadogo Zetu Na Kuwafariji Pia Kwenye Kituoo Cha Watoto Yatima Kiliopo #Yombo Buza Kwani Upendooo Ndo Faraja Peke Kwaooo#KARIBUNIUHONDO

Abhantu nibhaghambaa iwenoha? Amaombi ghanzee nyasai akuhee amaghala mengi#karibuniUhondo @gabozigamba hapo nimeongea kinyumbani mhunilebhe konkaotyoo

Mapinduzi hujengwa kwa umoja kujitoa kwa wakati na kwa fikra chanya #karibuniUhondo @gabozigamba

Ni upendo tu hakuna kingine #karibuniUhondo

Hata uwe na saa ya dhahabu haiwezi simamisha muda,Yazoee maisha lakini usiishi kimazoea #AHSANTENIKWAKUJA #karibuniUHONDO

Mtag mjombaake mtu aje aone #Block41 #karibuniUHONDO

Ijumaa kareem #karibuniUHONDO

Hawa hawezi kuwa nani zaidi ya mke wa Adamu
Na waungwana hutambua kuwa Jua haliwaki ila linatoa mwanga,
Nanimara chache sana shujaa kukimbia vita.karibuni #UHONDOFILIMS

Nirahisi sana kuivunja sheria lakini ni ngumu kuificha haki ya mtu milele,bimaana iposiku itadhihiri na roho za wanyonge zitapona kwa ukweli ulofutikwa mchagoni #Gvibe @castodickson #komandokipensi mpambanaji mwenzangu #KaribuniUhondo

Most Popular Instagram Hashtags