#juhjuh

1142 posts

TOP POSTS

Happy birthday to you Dogo langu #juhjuh M/mungu akulinde na kukuza na kukusimamia katika Ukuaji wako Ki afya na Maisha yako kwa ujumla .
.
.
.
.
@zamaradimketema Mungu akujaalie umri mrefuu dada angu ili umsimamie na kumlinda katika kila atakalokua analipitia kwani hakuna rafiki zaidi ya mama hakuna upendo zaidi ya upendo wa mama wewe ni kioo na wewe ni nguzo yake coz baada ya mungu Mama ni mungu wa pili INSHAALLAH

Big birthday to my brother @bobjuniortz my lil handsome #JuhJuh and my Beautiful Jojo, @JokateMwegelo

#JuhJuh Tentando Acordar a Mamãe Dona @mariatreis 😍😂

Happy birthday getleman #juhjuh mungu akujalie maisha marefu ongerah saaana madame @zamaradimketema OutFit trouser and shart from #tailoredsuit @jm_international_collection kwa maelezo zaidi 0657170686

@Regrann from @cloudstv - #RugeMutahaba akipata uchambuzi wa soka kutoka kwa mchambuzi nguli bwana #JuhJuh.

Cc : @zamaradimketema
#Waleteeee - #regrann

Amina insha allah siku zote dua ya mzazi hupokelewa na mungu basi naamini mungu atamfanyia wepesi kwa kila jambo #juhjuh you so blessed kuwa na mama #zamaradimketema happy birthday in once again coz najua siku imepita ila bado tuna sheherekea pisces season. .
.
.
Pia nichukue fursa hii kuwa shukuru wote walionitag kwa baadhi ya post na sema asante. Replies za birthday ya juhjuh zilikuwa ni nyingi sana km. Nilikusahau kupost hapa basi insha allah mwakani ipo tena tarh 17march
full interview click kwenye Bio yng au ya #zamaradi mwenyewe
#goodnightpost

KWANZA NIKATAKIE HERI YA KUZALIWA HAKA KATOTO AMBAKO BABA YAKE LEO ALIKUWA KIDOGO NAYE KAISIMAMISHA NCHI KWA TAMKO LAKE #JUHJUH HONGERA MALKIA WA NGUVU @zamaradimketema UMEKUZA.

SASA HAPA TENA @JOKATEMWEGELO NAYE NI SIKU YAKE YA KUZALIWA ILA UJUMBE MZURI KATIKA HILI NI KUWA KILA SIKU INAPOKATIKA AKILI ZINAKUA NA WATU WANASAMEHE NA MAISHA YANAENDA HAKUNA UADUI WA KUDUMU BALI WATU WAZIMA HUTUMIA HEKIMA KUMALIZA MAMBO YAO.

@BOBJUNIOURTZ HONGERA KWA PRODUCER AMBAYE MIKONO YAKO NDIO ILISAIDIA KUMPATA HUYU BALOZI WA MUZIKI LEO NA HONGERA KWA KUTUMIA HEKIMA KUMALIZA TOFAUTI ZENU.

MAISHA HAYAHITAJI UADUI.

Ainda sobre ontem... Pq de vez em quando a gente muda a forma de se divertir... 🤗💃🏼💫 #JuhJuh #LauraMaria 👸🏼 #andMe

MOST RECENT

Foto de domingo com a fenomenal, mana #juhjuh
Meu presentinho da vida ♥
#minhaflor #docecompanhia

HAPPY HAPPY HAPPY BIRTHDAY @milehighmccoy 🎉🎊 I am lucky to have you as a big brother!!! ❤️ #juhjuh #beinggoofyisthebest #neveradullmoment #ilikedogs #iwenttospain 🇪🇸

Ta linda, linda! #juh #juhjuh #oijuh #oileticia

Baby Place tz is crushing on Russel(Juhjuh) today 😍😍; a son to zamaradi. We love Russell's smart look and definitely his hair cut ❤. Meet Russell our celebrity kid crush of the day #thebabyplacetz #celebritykidcrushoftheday #juhjuh #notourpic #inspiration #tips #everythingbabies

Through back thursday....!! #tbt ❤❤
Goodmorning guys (swipe)
#juhjuh #shubi

Nossa bebê peluda fez 13 aninhos! 🎉❤#Jullielinda #Juhjuh #thecuteboss #doglovers

@Regrann from @cloudstv - #RugeMutahaba akipata uchambuzi wa soka kutoka kwa mchambuzi nguli bwana #JuhJuh.

Cc : @zamaradimketema
#Waleteeee - #regrann

Kutoka Uwanja wa Kinesi Sinza DSM ● Unahisi Boss Ruge na mwanaye #JuhJuh hapo watakuwa wanashabikia Team gani!?
A) Keko Furniture (#TeamXxl)
B) Stim Tosha (#TeamCloudsTVAlasiri)

#RugeMutahaba akipata uchambuzi wa soka kutoka kwa mchambuzi nguli wa Michezo bwana #JuhJuh.

Cc : @zamaradimketema
#Waleteeee

#JuhJuh yuko upande wa mashabiki. Kamleta #RugeMutahaba.
.
.
#Waleteeee. : #KekoFurniture ( #XXL ) wako mbele kwa bao moja.

Most Popular Instagram Hashtags