[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#jembeinspirations

MOST RECENT

Utawezaje kuona opportunities kama hauwekezi kwenye Ukuaji wako mwenyewe..Kuna Watu Wako tayari kununua bottles hata kumi za Champaig..mradi ajionyeshe ni Babkubwa..au Nguo..Viautu.. tatu za 1m au saa bei ghali ili mradi aonekane maridadi..Lakini ukiwambia Kulipia Special course ya Jambo flani..au study tour nje ya nchi akapanue mawazo.🔨.au kitabu cha laki mbili..au Kuhudhuria Seminar flani ya kiingilio cha Laki moja..Wanaona kama hasara vile.Kumbe ndio kuruhusu kujidumaza na kupitwa na opportunities ambazo u geziona au kuzipata kwa urahisi iwapo ungekubali kujiendeleza.anaona anapoteza pesa au wengine watafaidi .Fumbuka..Acha ujinga 😂...Pumbaff.🔨.!!
#investinyourself
#dactarehatare🔥
#jembeinspirations
#DrJembeakisafiriKidogoUnaanzaMajungu..MwenzioNasavetoinvestInMyselfforPersonalDevelopment.
Type Yes If You agree and Tag to inspire your people..Waambie waache Ujinga wa invest kwenye Personal Development Ni ktaji mkubwa sana.😂📣📣📣

JEMBE SATURDAY INSPIRATIONS:
Life always gives us exactly the right teacher we need at every moment. This includes every mosquito,
every misfortune, every red light,
every traffic jam, every obnoxious supervisor (or employee), every illness,
every loss,
every moment of joy or depression, every addiction,
every piece of garbage,
every breath.
Every moment is the guru.”
They always teach you something.So take tbe lesson and move ahead.
Wishing you a great day ahead
#dactaremkare
#jembeinspirations

BE SO BUSY IN IMPROVING YOURSELF THAT YOU HAVE NO TIME OR SPACE IN CRITICIZING OTHERS.FIND YOURSELF AND THE INNER YOU AND FALL IN LOVE WITH YOURSELF...YOU CAN BE SO GREAT BUT ALOWING SOMEONE ELSE TO DE-VALUE..DEMEAN..DESTRESS OR MINIMIZE YOUR AHILITY FOR SELF REALIZATION..REMEMBER WATU WENGINE WAMEUMBWA KUWASHUSHA WENGINE ILI KUFIDIA WEAKNESS ZAO..AU KU JUSTIFY MAPUNGUFU YAO NA KUFICHA MAOVU YAO KWENYE KIVULI CHA KASORO ZAKO...USIRUHUSU KAMWE..!!
STOP LISTENING TO OUTSIDE VOICES..LISTEN TO YOUR OWN INNER VOICE..THE SUBCONSIOUS.. WORK INWARDLY MAKING IMPROVEMENTS TOWARDS BEST QUALITY OF THE LIFE YOU DESIRE.. THE GOAL SHOULD BE TO UPGRADE..SELF -UPGRADE!🙏🙌👌ABOVE ALL KEEP YOUR GOD IN THE FORE FRONT OF EVERYTHING YOU DO..AND YOU WILL BE BLESSED..
ILA NN ..USISAHAU KUFUNGIA NJE..MUHIMU SANA!
Tag and Inspire yo people..Tell them to keep working inwardly to improve and never listen to Mburukenge ..
#lifeupgrade2018
#Wanajema
#JEMBEINSPIRATIONS
#MamboNiMoto 🚨🚨🚨🚨🚨🚨
#Fungianje
#BigBangRedHublotSeries
#BigBangRedBMWX6 by #tttr
#NikeRedceramic

Ukiangalia hii clip inakubadilisha mtazamo kuhisi OmbaOmba.Ndio maana siku hizi Siwapi hela barabarani..Lakini Inatufanya na sie tujiulize..Kama hawa jamaa wanajishughulisha kupata rizki halali..Wewe unafanya nini?
WHATS YOUR EXCUSE?
MWAMBIE MUNGU WAKO ASANTE KWA KILA JAMBO.🙏 Na uache kulalamika..pumbaf ..fyuuu
😀😀
#workhard
#JEMBEINSPIRATIONS
TAG AND SHARE

To all the ladies out there... hii si ya kukosa kabisa...mwambie na mwenzako.

Wataalam watakaotoa madini @jembenijembe @harriskapiga .. hongereni sana brothers kwa kusambaza ufahamu na ujuzi kwa wahitaji.

#jembeinspirations

Naombeni makofi matatu kwakeee!!📣📣📣
IM GRAD..its working
#JEMBEINSPIRATIONS

Usijali wala kusumbuliwa na those who talk Behind your back.They are behind for a reason..Kwanza shukuru kwamba they are behind you.So Let them be there.#keepmovingfoward.
#healthyliving
#lifeupgrade2018
#JEMBEINSPIRATIONS
ASANTENI KWA WOTE MLIOJITOKEZA KU VOLUNTEER KWENYE UP COMING JEMBE MOTIVATIONAL TALKS IN UNIES VERY SOON:
Wawakilishi wetu watakua kama ifuatavyo:
1.Thomas Masawe @thomx70 -Dodoma.
2.Benjamin Kataga @benjaminek14-
Mwanz.
3.Roro.Strato. @roro_tiktak -UDSM and Ardhi.
4.kanaeli Uriyo-Dsm @uriyo kanaeli
5.Kapama Thomas-Arusha.
6.Nadhifa Majaliwa @nadhifamajaliwa -Mwanza.
TUTAWASILIANA NA NYI KWA HATUA ZAIDI.ASANTENI KWA MOYO WA KUJITOLEA KWA AJILI YA WENGINE.Tutaendelea kupokea maombi zaidi.*Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
*Hakuna malipo yoyote.
Lwa maelezo zaidi tuandikie kazi@jembenijembe.com

DACTARE MKARE ON THE MOVE: Wakati Mwingine Hatua Ndogo katika right direction huishia kuwa ndio Hatua kubwa sana Maishani mwako.. as long as you are in the right direction usijali Endelea hata kwa Kujikongoja.KEEP MOVING.
#JEMBEINSPIRATIONS
#lifeupgrade2018
#jembemovement
JAMANI NATAFUTA VOLUNTEER WA KUJITOLEA KUNISAIDIA KU ORGANISE MY MOTIVATIONAL TALK EVENTS KWENYE VYUO ZITAKAZOANZA VERY SOON.AWE VOLUNTEER KWELI SIO MVIZIAJI.😂
#wanajema
#tunasongamdomdo.
#massimoduttitbings🔥

The Smile on My Face,does not mean my Life is Perfect..Im a human just like any other..Made of flesh and blood..filled with air and soul by the almighty God.Im from The earth and to earth I shall return..However,The smile means I appriciate whT I have and what I have been blessed with.I CHOOSE TO BE HAPPY!
#JEMBEINSPIRATIONS
#istanbulinvasion
#fungianje
#choosetobehappy
#tukaze

JembeInspired: Kwa kweli im so much honoured to stand next and rub shoulders with these two super Genius gentlemen behind the success of Estonia Digital Transformation.
TODAY,In the World,Estonia is Ranked: #1Digital Development Index.
#1 Mobile Networking Coverage By the WB Report.
#1 In Enterpreneurship By World Economic Forum.
#1 Internet Freedom and accesibily.
#1 Tax Competitiveness.
Nimepata nafasi ya kujifunza mengi sana kutoka kwa hawa ndugu zangu.
Ukitaka kujifunza zaidi Nenda kwenye
www.E-Estonia.com.

#JEMBEINSPIRATIONS
#deltasolutions
Yaani Dunia inakoenda kila kitu ni IT..nimeskia wanatengeneza hadi Mdoli unaoweza kufanya mavituz na kukupikia...😂😂😂Sijui itakuaje dunia hii..Na mambo ya test Tube babies Sijui tutazaliana vipii..Chaaaa
Nimejichokea hapa nawaza tu kungekua na li roboti..ningelikamatia😂😂😂😂😂😂😂😂😂(NATANIA)
Ila nini Jitahidi ku focus kwenye Ndoto zako hata kama ukikutana na Vikwazo Komaa na umtumainie Mungu Wako alie Hai.
Good vibes and good night my people

When you find obstacles in any mission Keep in mind that it is worthy it persuing..Hakuna chenye matunda ambacho ni rahisi kupata.Na usikubali kukwamishwa at any point na Doughters..Work and grind harder esp when you lack support because thats where a success pivot is...
#munguwakwetusote🙏🙏 #JEMBEINSPIRATIONS
#tendajemanitendejema
#lifeupgrade2018
#believeandnevergiveup

JembeNetworking: If you wanna be Great;sorround yourself with great people..Networking Cocktail with Senior Exective Officers from Various Governments in Africa.Great to Meet and interact with Hon Dr.Doumbouya,Minister for Budget Rep of Guinea.Prof.Abdi,Commisioner for Elections,Kenya along other public officials from Guinea.What a mind blowing encounter today.
The learning Journey continues..
#jembeinspirations
#mtembeaburesiomkaabure.
#lifeupgrade2018

JembeMission: I want to Inspire People. I Want to see the people who look up to me become the best of what their potential is.I love to see people prosper with joy and happiness.I want someone to look at me amd Say..Because of You I ddint Give up.
God bless you all my people.
Ila nini..msisahau Kufungia Nje Mburuz of kengez.😂🔩🔧🏹
Na wale wa hiziiii...👌 msisahau kubeba..😊🙈🙋‍♀️😂
#wanajema
#fungianje
#jembeinspirations
#godblessmyjourney

KUMBUKA SIKU ZOTE HUWA TUNAKUNA NA BARAKA ZAIDI KULIKO MATATIZO.MATATIZO HUWA TUNAYAONA ZAIDI KWA SABABU TUNAYAHESABU NA KUYAPIMA NA KUYATAFAKARI KILA SIKU.KWA UPANDE MWINGINE,KAMA TUNGEWEZA KUHESABU BARAKA ZETU,UTAGUNZUA KUWA BARAKA ULIZONAZO NI ZAIDI YA MATATIZO ULIYONAYO.
BE BLESSED🙏
BR A BLESSING🙏
#countingblessings
#JEMBEINSPIRATIONS
#fungianje
#wanajema
TAG YOUR PEOPLE AND REMIND THEM HOW BLESSED THEY ARE.

Thanks #Repost @jembenijembe (@get_repost)
・・・
Thank you all my people who showed up for the Talk.Im so much humbled to have somehow change your way of thinking through my Talk today.The idea is to keep Inspiring and motivate more people for positive change.Nahisi mwanza tutarudia..lakn Arusha mjiandae.Kwa kweli I enjoyed best of the best.Nimependa pia Audiance was high level and serious.Mie pia nimejifunza.Mungu awabariki.
NA KWA WALE WA VYUO AMBAO MNGEPENDA TUWATEMBELEE PLS NJOO INBOX LAKN UWE NA UWEZO WA KU ORGANIZE AUDIANCE TUWAFIKIE VIJANA ZAIDI TO MOTIVATE AND INSPIRE FOR POSITIVE CHANGE.
#JEMBEINSPIRATIONS
#chimbomwanza
#awesomeGod
#Lifeupgrade2018.
Tuufanye mwaka 2018 kuwa mwaka wa Matumaini na Neema kwa kila Mmoja.
Arusha.Mbeya.Iringa.na Dodoma get ready..

#Repost @jembenijembe (@get_repost)
・・・
One of my #lifeupgrade2018 goals was to revert back to my ussual practice..JEMBE MOTIVATION &INSPIRATIONAL TALKS.Mwaka 2016 nilifanikiwa kutembelea Shule na colleges takriban 80 all over Tanzania.Talking and Inspiring fellow Youth in Schools.
Asante brothers @hariskapiga and @paulmagola kwa kunihamasisha na kunialika kujoin this amazing initiative
Namely FUMBUKA Tukianzia Jiji la Mwanza.Sio kwamba eti tunajua saaaan..au tumefanikiwa saaaana...NO..Lakin tunajaribu ku share kidogo tulichonacho kusaidia kuwakwamua wengine kifikra na Upeo.Make sure you get your ticket and See you at Goldcresf on Sunday mungu akipenda🙏#fumbukamwanza
#JembeInspireActivated #jembeinspirations
Tag your people inMwanza..wambie wasikose.

@Regranned from @jembenijembe - One of my #lifeupgrade2018 goals was to revert back to my ussual practice..JEMBE MOTIVATION &INSPIRATIONAL TALKS.Mwaka 2016 nilifanikiwa kutembelea Shule na colleges takriban 80 all over Tanzania.Talking and Inspiring fellow Youth in Schools.
Asante brothers @hariskapiga and @paulmagola kwa kunihamasisha na kunialika kujoin this amazing initiative
Namely FUMBUKA Tukianzia Jiji la Mwanza.Sio kwamba eti tunajua saaaan..au tumefanikiwa saaaana...NO..Lakin tunajaribu ku share kidogo tulichonacho kusaidia kuwakwamua wengine kifikra na Upeo.Make sure you get your ticket and See you at Goldcresf on Sunday mungu akipenda🙏#fumbukamwanza
#JembeInspireActivated #jembeinspirations
Tag your people inMwanza..wambie wasikose. - #regrann

**JUMAPILI HII MWANZA** @Regranned from @jembenijembe - One of my #lifeupgrade2018 goals was to revert back to my ussual practice..JEMBE MOTIVATION &INSPIRATIONAL TALKS.Mwaka 2016 nilifanikiwa kutembelea Shule na colleges takriban 80 all over Tanzania.Talking and Inspiring fellow Youth in Schools.
Asante brothers @hariskapiga and @paulmagola kwa kunihamasisha na kunialika kujoin this amazing initiative
Namely FUMBUKA Tukianzia Jiji la Mwanza.Sio kwamba eti tunajua saaaan..au tumefanikiwa saaaana...NO..Lakin tunajaribu ku share kidogo tulichonacho kusaidia kuwakwamua wengine kifikra na Upeo.Make sure you get your ticket and See you at Goldcresf on Sunday mungu akipenda🙏#fumbukamwanza
#JembeInspireActivated #jembeinspirations
Tag your people inMwanza..wambie wasikose. - #regrann

One of my #lifeupgrade2018 goals was to revert back to my ussual practice..JEMBE MOTIVATION &INSPIRATIONAL TALKS.Mwaka 2016 nilifanikiwa kutembelea Shule na colleges takriban 80 all over Tanzania.Talking and Inspiring fellow Youth in Schools.
Asante brothers @hariskapiga and @paulmagola kwa kunihamasisha na kunialika kujoin this amazing initiative
Namely FUMBUKA Tukianzia Jiji la Mwanza.Sio kwamba eti tunajua saaaan..au tumefanikiwa saaaana...NO..Lakin tunajaribu ku share kidogo tulichonacho kusaidia kuwakwamua wengine kifikra na Upeo.Make sure you get your ticket and See you at Goldcresf on Sunday mungu akipenda🙏#fumbukamwanza
#JembeInspireActivated #jembeinspirations
Tag your people inMwanza..wambie wasikose.

Most Popular Instagram Hashtags