#huyu

MOST RECENT

#Huyu ndie ABUU LAHAB aliyeshushiwa Surat Al Lahab..... .
Jina kamili la Abu Lahab ni Abdul Uzza bin Abdul-Muttwalib bin Hashim. Ni ami yake Mtume (s.a.w.), lakini alikuwa ndiye adui yake mkubwa zaidi.
Wafasiri na wapokezi wamesema kuwa Mtume (s.a.w.) siku moja alipanda kilima cha swafaa akawaita watoto wa kuraishi, wakakusanyika akiwemo Abu Lahab. Akasema: Hivi nikiwaambia kuwa jeshi la wapanda farasi liko hapo bondeni linataka kuwashambulia mtanisadiki? Wakasema: ndio huja­jaribu kutuambia uwongo.
Akasema: Basi mimi ninawaonya na yule ambaye ana adhabu kali. Abu Lahab akasema: Hivi umekutukusanya kwa hili? Uangamie wewe. Ndipo ikashuka Sura hii.
Haitamfaa mali yake na alichokichuma.
Kesho kwenye hisabu na malipo haitafaa mali wala cheo au watoto. Yote hayo yatakuwa ni hoja juu yake na maangamizi.
Atauingia moto wenye miali.
Haya ndiyo malipo yake na makazi yake ni Jahannam, mwishilio mbaya.
Na mkewe mchukuzi wa kuni.
Mke wa Abu Lahab ni Ummu Jamil bint Harb, dada yake Abu Sufyani na shangazi yake Mua’wiya. Kuni ni kinaya cha shari na dhambi zitakazompeleka motoni. Alikuwa na uadui na Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.) kwa hali ya juu sana; akitembea kumfitini na watu ili kuzima mwito wake.
Uhusiano wa moto na kuni unajulikana. Zaidi ya hayo waarabu walikuwa wakimpa jina la mbeba kuni mtu aliyekuwa mfitini, kwa sababu anawasha moto wa fitina. Na imesemekana alikuwa akikusanya miba na kuitawanya kwenye njia anayopita Mtume.
Shingoni mwake mna kamba iliyosokotwa.
Baada ya Mwenyezi Mungu (s.w.t.) kumpa sifa ya mbeba kuni, sasa anam­pa picha hii ya ajabu. Anafunga kuni kichwani mwake kwa ncha moja ya kamba na ncha nyingine iko shingoni mwake. Kama kwamba kuni ndio taji na kamba ni mkufu.
Unaweza kuuliza: waliompiga vita na kumuudhi ni wengi katika mataghuti wa kikuraishi; kama Uqba bin Abi Mui’t, Abu Jahl, Walid Bin Almughira, A’si bin Wail na wengineo, lakini Qur’an haikuyataja majina yao; kwanini basi hapa ikamuhusu kumtaja Abu Lahab na kumteremshia sura nzima kinyume na wengine?
Sheikh Muhammad Abduh amejibu kuwa Abu Lahab alikuwa ni mpinzani mashuhuri zaidi wa Mtume (s.a.w.) na alikuwa ndiye mwakilishi wa maadui...
Follow @mr_pilikano

+"LOVE" AND "TRUTH" are inseparable!
Ukweli na Upendo ni mapacha walioungana. hawatenganishwi.
#Huyu Mwanamama wa kiyahudi, mwanafalsafa na Mtawa wa Kikatoliki alisema "Usikipokee jambo lolote kama UKWELI likiwa halina UPENDO ndani yake na wala usipokee chochote kama UPENDO ikiwa halina UKWELI". Alisema Mt. Edith Stein(mtawa na mwanafalsafa). #Kwa hiyo tutarajie pale panaposema pana Upendo basi ukweli upo pia, uhusiano huu ni kama Huruma na haki vinavyohusiana.

MBOWE HUFAI KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA KWA SASA.
1.#Chini ya Mbowe Chama kimeongeza wafuasi wengi sana na kujiongezea wabunge kila Uchaguzi.

2.#Mbowe Ulikuta Chadema ina Wabunge 5 na madiwani 75. Mwaka 2005 alikiingiza chama kwenye uchaguzi na kupata wabunge 11 na madiwani 103 . Mara mbili ya wale wa awali.

3. #Mwaka 2010 Chini ya Mbowe tukapata Mara 3 ya Wabunge na Madiwani. Wabunge 48.
4. #Mwaka 2015 Tulipata wabunge 116 na Halmashauri za Majiji.
5.#You Can not drive Mbowe.

#Huyu Ndo Tunamtaka Sisi Lumumba Shut up your Mouth.

#Huyu mu güzel olsun yüzü mü" dedi.
-Çayı dedim;
"Çay önemli tâbi " :)

hiçte böyle olmadi be abim doyamadik sana .😭seni çok özledik. MEKANIN CENNET OLSN #SENI #UNUTANIN #HUYU #KURUSUN @AHMEETTT..

#huyu dem
#dyd I wa mashairi

#Huyu mnyakyusa naye kazaliwa siku ya leo.

#OneBirthday.
#OneFamily.

HappyBirthdayAllen.

@ernestakihwele @andulileanganile

喜歡 #huyu 的捧油,歡迎來店內看她的作品唷🤟🏻❤️
#白叔murmur
吃披薩還可以增添藝術涵養,超棒der❤️🤘 很懷念在墨爾本時無論是街道還是店家,
不是為了商業活動,而是真正的把藝術融入於生活之中,
去尊重與欣賞,吸收內化而後發揚分享。

#藝術融入生活
#lllpizzeria #參角披薩坊 #pizza #taoyuan #taoyuanfood
#napoletana #桃園美食 #pizzeria #pizzalover
#披薩 #ピザ #taiwan #臺灣 #instapizza #pizzagram #pizzanapoletana #dough #披薩專門店 #手工拍皮 #窯烤披薩 #不塑之客

#Jembe🔥🔥🔥🔥🔥 #MTOTO WA MJI MPYA kwenye #VIGONDI NA TOGWA 😂😁😁😁
#Huyu namba zote anacheza kasoro ya REFAREE TUU
#Wanamuita #GALLAS
@williamlucian4
@williamlucian4

Siku zote Yatima huwa hadeki.Ukisikia MTU anajiita yatima halafu anadeka.Jua huyo ni fake. Yes nipo sahihi Original yatima hawezi kudeka .Ni j3 iliyojaa wema na baraka tele.#Hakunamunguwakwakopekeyako.#Huyu mungu ni wetusote#

Most Popular Instagram Hashtags