#gentlemanvibe

MOST RECENT

Life is measured by the number of faces who smile when they hear your name 👊

#Gentlemanvibe
#MchezoUsiuchezeeWewee
#DadsSon 👑
@chiro_junior_
@chiro_junior_

Chini ya jua Kila kitu hutokea kwa sababu ingawaje sababu maranyingine yaweza kuwa ni yakipumbavu nakukufanya uamuwe maamuzi mabaya kuwa makini katika maamuzi yako. #gentlemanvibe

Hppy bday...ma blood C*
Lve Long...!mch lv u...#GentlemanVibe...#trust me...🤙

On gideon gamba's weddng day 💥💥💥#suitoutfit #suit #fashion #gentlemanvibe

Mchezo wa Kitoto akicheza mtu Mzima tunasema Kubwa jinga lakini mchezo wa utu uzima akicheza mtoto tunasema mtoto anakuwa... #gentlemanvibe

Msichana wa kiafrika hawez kuacha magari sita akafuata #sixpacks yako,kwahyo ndugu zangu msiende gym kwa malengo tofauti na mazoezi,ila nendeni mkafanye kazi kwa bidii ya baadae..
#gentlemanvibe

Let us always meet each other with smile, for the smile is the beginning of love.

#GentlemanVibe #DearJudge @ankyjoseph @lhd_clothing @kifesi @official_brown_ @gabozigamba @hurraymaaarafaty @amber_chynah @wasafitv @mellah_andrew

Pay close attention to people who don't clap when you win
#Gentlemanvibe
#mchezousiuchezee
#DadsSon 👑

Mwambie Mwanao,, Maisha ya Furaha Na Matatizo Na Maisha hayo Yana Raha Kwa sababu ya Matatizo #gentlemanVibe 💪

Maneno ya kuambiwa Ongeza na Maarifa yako, Waweza tambuwa Chuki, fitna, husda au roho mbaya.Usikubali kurithi adui wa Mwenzio #gentlemanvibe

Amini kuanzia Leo kuwa wewe ni miba ya nyikani isio vunika kwa mikono... #gentlemanvibe pc by @kidetejr

Hauwezi kujifunza chochote katika maisha kama Unafikiri Upo Sawa muda wote.Hekma ya masikio mawili na mdomo mmoja Maana yake Usikilize Sana Kuliko kuongea #gentlemanvibe @uhondofilms

Chini ya jua Kila kitu hutokea kwa sababu ingawaje sababu maranyingine yaweza kuwa ni yakipumbavu nakukufanya uamuwe maamuzi mabaya kuwa makini katika maamuzi yako. #gentlemanvibe @uhondofilms

Most Popular Instagram Hashtags