#gabonmpakakombeladunia

739 posts

TOP POSTS

Serengeti Boys wakiimba kabla ya mechi yao ya hivi punde saa mbili na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki dhidi ya Niger 🇳🇪. Kupitia @supersporttv Supersport 9 nitakutangazia mechi hiyo kwa Kiswahili. Utaenda kwenye remote yako pale kwenye OPT halafu chagua language nenda soundtrack 3 utapata matangazo kwa lugha ya Kiswahili. Dua zenu kwa Serengeti Boys. #GabonMpakaKombeLaDunia

Mungu ibariki serengeti boys#gabonmpakakombeladunia

Wachezaji wa timu ya taifa ya Vijana Serengeti Boys wakiwa mazoezini nchini Morroco walipoweka kambi ya mwezi mmoja.Kujianda na michuano ya soka la Vijana barani Afrika.#GabonMpakaKombeLaDunia.

Leo tunahitaji hata sare ili Serengeti Boys waandike historia ya kwenda kucheza kombe la dunia U17. Wanakipiga vs Niger 🇳🇪 katika mchezo wa 3 wa kundi lao, Je Sarengeti wataandika historia mpya? #GabonMpakaKombelaDunia
#ZBC2 Channel 116 - 2:30 usiku ndio mtanange utaanza!

Congratulations Young Brother, Mwenyezi Mungu akuongezee uendelee kuonyesha alichokubariki nacho U gat my support brother @muksinmalima6
@muksinmalima6
#serengetiboys #gabonmpakakombeladunia

KUTOKA GABON:

Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana, alichukuliwa na maafisaa wa CAF kufanyiwa vipimo vya dawa za kusisimua misuli.

Hali hiyo ilisababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo yake ya mchezaji bora hivyo akawakilishwa na mlinzi, Dickson Job. CAF hawakuamini walichokiona kwa Abdul ambaye alihaha uwanja mzima!

Hata hivyo baada ya vipimo ilibainika hakuwa katumia dawa hizo bali ni uwezo binafsi wa mchezaji uwanjani.

#GabonMpakaKombelaDunia

KUTOKA GABON:

Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana, alichukuliwa na maafisaa wa CAF kufanyiwa vipimo vya dawa za kusisimua misuli.

Hali hiyo ilisababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo yake ya mchezaji bora hivyo akawakilishwa na mlinzi, Dickson Job. CAF hawakuamini walichokiona kwa Abdul ambaye alihaha uwanja mzima!

Hata hivyo baada ya vipimo ilibainika hakuwa katumia dawa hizo bali ni uwezo binafsi wa mchezaji uwanjani.

#GabonMpakaKombelaDunia

MOST RECENT

FT:TANZANIA U17(0:1)NIGER U17
Unadhani mwalimu anatakiwa arekebishe nini?👇
.
.
Tanzania imetolewa kwenye mashindano ya AfconU17 kwa maamuzi ya head to head baada ya kufungwa (0:1) na Niger
.
.
The win sees Niger tie on four points with Tanzania in Group B, but with a superior head-to-head record and a better goal difference Niger are placed second on the standings.
.
.
The loss for Tanzania sees them exit the tournament following a goalless draw against Mali, a 2-1 win over Angola and a loss to Niger.
#tanzania #serengetiboys #afconU17 #TanzaniaU17 #gabonmpakakombeladunia #afcon #NigerU17 #Gabon
Photo credit @Samuel shivambu

Chupuchupu....Bado kidogo tuuuu!!!
inabaki kuwa kauli yetu ya kishujaa #gabonmpakakombeladunia

MAPUMZIKO
Tanzania iko nyuma kwa goli moja. Ili kupata tiketi ya kwenda katika fainali za kombe la dunia Serengeti wanaitaji kushinda mchezo huu Au wapate sare basii Shime shime watanzania dua zenu vijana wasonge mbele #gabonmpakakombeladunia

Halftime

Tanzania tunahitaji point moja tu kufuzu nusu fainali na kombe LA dunia.. #wapendasokaupdate
#GabonMpakaKombeLaDunia

TANZANIA U17 vs NIGER U17
Hamsha hamsha za Serengeti boys walivyowasili uwanjani
#tanzania #serengetiboys #afconU17 #TanzaniaU17 #gabonmpakakombeladunia #afcon #NigerU17 #Gabon
Via @mkazuzu

Our boys... vijana wetu... go go go! Our prayers are with you #serengetiboys #gabonmpakakombeladunia @official_serengeti_boys

Mwenyekiti Kamati ya Hamasa Serengeti Boys Charles Hillary tayari yupo uwanjani kuwashuhudia Serengeti Boys wakipambana na Niger usiku huu
#255nizamuyetu
#tanzania🇹🇿
#GabonMpakaKombeLaDunia

OYOOOOO!! SEMA PIGA HAOO
.
VIjana wetu wana hali sana leo,Ushindi lazima.
#255nizamuyetu
#tanzania🇹🇿
#GabonMpakaKombeLaDunia

OYOOOOO!! SEMA PIGA HAOO
.
VIjana wetu wana hali sana leo,Ushindi lazima.
#255nizamuyetu
#tanzania🇹🇿
#GabonMpakaKombeLaDunia

Serengeti Boys wakiimba kabla ya mechi yao ya hivi punde saa mbili na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki dhidi ya Niger 🇳🇪. Kupitia @supersporttv Supersport 9 nitakutangazia mechi hiyo kwa Kiswahili. Utaenda kwenye remote yako pale kwenye OPT halafu chagua language nenda soundtrack 3 utapata matangazo kwa lugha ya Kiswahili. Dua zenu kwa Serengeti Boys. #GabonMpakaKombeLaDunia #Repost @kitengemaulid

Mungu Ibariki Tanzania #Serengetiboys #gabonmpakakombeladunia

Kila la Khery Serengeti Boys #GabonMpakaKombeLaDunia

Kila la kheri Serengeti boys.#gabonmpakakombeladunia

Most Popular Instagram Hashtags