[PR] Gain and Get More Likes and Followers on Instagram.

#fidq

924 posts

TOP POSTS

.
ROMA ASABABISHA KUSHUSHWA KWA
STAMINA JUKWAANI (FIESTA), STAMINA
ASEMA HAYA KUHUSU TUKIO HILO

September 18 ndio siku ambayo mvua ya burudani ya Fiesta 2016 ilikuwa inashuka katika uwanja wa Jamhuri Stadium mjini Morogoro.

Usiku huo jambo ambalo lilimake headlines kinomanoma ni kitendo cha wasanii wawili Roma Mkatoliki na Stamina kushushwa jukwaani baada ya msanii @Roma2030 kutumia lugha isiyo ya kimaadili katika show hiyo.

Roma alisikika katika interview kwenye U-herad ya September 10 lakini Stamina alikuwa hahitaji kuzungumzia kabisa suala hili kutokana na alivyo kasirishwa na kitendo hicho ukizingatia show ile ilikuwa ni yakwake na #Roma alimpa mashavu tu kama surprise.

Stamina kwa mara ya kwanza ameamua kuzungumzia kilichotokea usiku ule, ikiwa ni baada ya usiku wa jana kupiga bonge moja la show kwenye Fiesta pande za Mbeya akiwa na msanii Roma Mkatoliki.
.
โ€œAlways shows zangu za Morogoro huwa napenda kufanya vitu vya kitofauti, kama unakumbuka Fiesta ya mwaka juzi kwenye show yangu ya Moro nilimdondosha #FidQ kama surprise, na hicho ndicho nilitaka kukifanya mwaka huu kwasababu me na Roma kuna goma tumepiga nikaamua nimuweke kama surprise. Show tulipanga fresh lakini kama unavyoujua muziki wa Roma unavitu flani hivi ambavyo sio vizuri kimaadili kiasi kwamba vimewahi kumsababishia kufungiwa. Alichokosea Roma ni kutaja yale maneno pale uwanjani ukizingatia ni show ambayo ilikuwa inaruka LIVE, na kama inavyo julikana kwenye show ya LIVE huwezi kutukana, na hicho ndio kitu killichosababisha muziki kuzimwa.โ€ Alisema @Staminashorwebwenzi.
#letitshine

Brand new video @richmavoko ft #fidQ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

Ukienda mbio na muda Mtapishana... Mafanikio huja kwa kupenda unachofanya๐ŸŽค #FidQ

Pale #Fidq Anapogundua Kipindi Hiki Chote Wasanii Wameikimbia Hip Hop Kwa Ajili Ya Njaa Na Kesho Ni Siku Yake Ya Kuzaliwa Halafu Mkononi Ana Bonge Moja La Ngoma A.k.a {SHIPA} Ambalo Linakuja Kuchafua Hali Ya Hewa!!!
Birthday loading.....
August 13
@therealfidq @teamfidq
#KitaaOlojia #CheusiDawa #Ngosha

#ROHO#hiphop#fidq#christianbella... YOU KNOW WHO YOU LOVE BUT YOU DON'T KNOW WHO LOVES YOU@therealfidq@therealfidq@bellachristian1

Love iz hustle๐Ÿ˜ต๐Ÿ˜ฉ yuh know who yuh luv but you dont know who real luv yuh๐Ÿ˜ฆ.... #fidq #truewords

Akupigae NGUMI ya JICHO, nawe mpige ya SIKIO... akikuuliza UNAONAJE? na ww muulize UNAJISIKIAJE? #SuportedByFid #BongoHipHop #CheusiDawaEnt #fidq.Com #MchanaMwema @therealfidq

๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘#fidq #therealfidq
#surazamastaa

MOST RECENT

Mchizi sikusoma nae tumejuana tu ukubwani unajuwa kuwa na marafiki ukiwa na pesa ni rahisi sana lakini kuwa na marafiki ukiwa huna pesa jua umefanikiwa zaidi ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š#fidq bhana @iam_khizzer @iam_khizzer raisi wa tanga ๐Ÿ“ท by @selesupro

Haki Ya Mungu tena Chuki Humchoma Yule Anae hifadhi#fidQ

Awamini kwenye kuunda Diamond au kiba wawili wanachoamini, ni kumshusha mmoja Ili mmoja awe dili, #fidq
.
.

Mchawi Wa mziki wetu kufika mbali ni sisi watanzania wenyewe kila Tim inataka kiba au diamond ashuke ili kimataifa abaki mmoja baada tungekua na akina diamond na alikiba wengi kimataifaa

Kuamini ni zaidi ya kukubali KIAKILI..
Ya kwamba mimi ni JASIRI wa ROHO,NAFSI na MWILI..
Navunja UKIMYA mtu mzima nafanya MUZIKI..
siendekezi JINA,HELA ni HESHIMA au vipi.
#Fidq.com
Cc @therealfidq
#supportedbyfidq

Kuamini ni zaidi ya kukubali KIAKILI..
Ya kwamba mimi ni JASIRI wa ROHO,NAFSI na MWILI..
Navunja UKIMYA mtu mzima nafanya MUZIKI..
siendekezi JINA,HELA ni HESHIMA au vipi.
#Fidq.com
@fredpatriarchi

Me ndo Yule jamaa anayejua hadi anaboa/
Kilichofanya nkakuoa sio raha ya ndoa/
Ni kuzichua tamaa na njaa kutoa/
#upohapo๐ŸŽง๐Ÿ”ฅ #fidQ
#energyhealing
#thinkinoutloud

Jumamosi hii tareh 2 #mlimancity wanachuo wote wa dar mtashuhudia team nzima ya #wcbwasafi wa kikichafua kuanzia 8 mchana hadi SAA 4 usiku kwa kiingilio cha #kitambulisho chako tu.
Mwambie mwenzako ili amwambie mwenzake kua na #fidQ na #mrishompoto nao watakuepo

Coming soon. Just wait .just feel free to visit and you will like it.#booxkck #media #fidq #godilla #cowboysnation #cowboy entertainment

DAR FRESHERS WEEK ๐ŸŽฌ
Hii ni kuwakaribisha mwaka wa kwanza wote vyuo vikuu mkoa wa DSM ๐Ÿ‘‰๐ŸฝDiscount kubwa Mcity ๐Ÿ‘‰๐ŸฝBurudani kabambe 2December
Check hii
@diamondplatnumz @rayvannyy_ @harmonize_tz @mrishompoto #fidQ #ChristianBella
Kupata Discount #kitambulisho chako cha chuo tu maduka yote Mlimani city
#Karibujijilamakonda
#Darfreshersweek

Follow me on twitter @berry_filmmaker #vlog #time #fidq

"Amani kwa Chachage na MAKUWADI wa SOKO HURIA.., baba asante kwa UTAFITI na ZAWADI ya ALMASI ya BANDIA." -#SiriYaMchezo โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…
Profesa Chachage alikuwa ni mhadhiri wa chuo Kikuu cha DSM (UD-Mlimani) na kiongozi wa UDASA. Alizaliwa 08/01/1955 na alikufa 09/07/2006. โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…
Ni Profesa aliyeacha kumbukumbu ya miaka yote kwa ujasiri wa kujenga hoja na kutoyafumbia macho maovu hasa katika dhima nzima ya ujenzi wa maendeleo ya watanzania. โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…
Katika maisha yake ya uhai alituachia kumbukumbu ya vitabu kama Utafiti, Sudi ya Yohana (1980), Kivuli (1984), Almas za Bandia (1990) na Makuadi wa Soko Hulia (2002). โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…
#FidQ amevirejea kwa kuvitaja vitabu vitatu vya Prof huyu Utafiti, Makuadi wa Soko hulia na Almas za Bandia kwenye wimbo wa Siri ya Mchezo. Hapa FidQ anatudhihirishia kuwa amejifunza vitu vingi kupitia vitabu hivi, hivyo anaikumbusha hadhira kuwa kuna elimu kubwa inapatikana nje ya elimu rasmi (darasani). Tuna uwezo mkubwa wa kujifunza elimu nje ya elimu rasmi mfano wa kujiwekea utaratibu wa kujisomea vitabu. โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…
R.I.P Prof Chachage
#EduTainment

#StreetOlogy.

Navua gloves ila bado naupenda ugomvi #officialmctz21 #mwanafa #aytanzania #fidq

We need another #MwanaFA #FidQ and #AY collab! #itapendeza ๐Ÿ˜‚

Usikate tamaa...kama asemavo mwenyewe ..''Giza totolo ndio mapambazuko hayo#FidQ

Yes!!!? #Thevibevshow ya 89.3 @mashujaaradiostation hii hapa,,, #Mahabuba ya @aslayisihaka ft @officialnandy inafungua mchongo huu..Watasikika #fidq #Ay na #FA wakielzea collable yao na #Rappers @remyma na @lilkimthequeenbee waingia location.... Kwa story more na ngoma kaliiiiiiiii chill na #cc @dazinaagust & @mikazotz & @nass_stewart na #Rdjchidoli
14:00_17;00
Let's goooooooo
#puch

#Sanuka Kama unaupenda huu wimbo wa #FidQ na unao kwenye simu yako,basi ujue wimbo ulio nao Haujakamilika.

Ulimi mbili ya Fid Q,haujafanyiwa Mastering wala Mixing ni Demo.uliokamilika upo kwenye Album yake ijayo "Kitaaolojia". #Sanuka

Simuanini_m2_ata_kama_anaonekana_muoga!. Boda_nyingi_napasua_mpaka_kwa_shuke.

#ChiefMapene#
#FidQ ฮฒฮฑฮฒฮฑ ngidฮฑ#
#Diamond Platnamz /Lion/ KING OF AFRICA#

By : Manzese Hood. Gang Mapene. Madee. Mwava Mwฮฑmฮฒฮฑ Uptown

๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ#ay #fidq AM so blessed๐Ÿ™๐Ÿ™

#SwahiliEntertainment #weekendNews jana usiku palikuwa na uzinduzi wa video lakini pia label ya muziki kupitia #mkito.com.ambapo owners ni @aytanzania @mwanafa na #FidQ nyimbo yao inaitwa #Hapo Ulipo
#ASTV
#LughaYetu
#SautiYetu
#Startimes121
#azam120

#ay #fidq #mwanafa.... Ngoma ya kikubwa kubwa uzito wa tani ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช #levozilee๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ˜ˆ
Malegend wanao ishi๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
.
.
.
#ay
Jumamosi yako ipendeze kwa style hii nenda kwenye Bio ubonyeze hiyo link UPO HAPO?? RepostBy @mkitodotcom: "#UpoHapo Stream on Mkito App. Watch it on Youtube. Another one from @mwanafa @aytanzania @therealfidq .
.
#mkitoapp #mkitoalert #hiphop" (via:@aytanzania )

๐Ÿ‘‘๐Ÿ‘‘#fidq #therealfidq
#surazamastaa

Ya juzi sio ya jana na ya jana sio ya leo enyi vfuata upepo kesho mtakosa muelekeo.
#fidq

Kwanza Big up kwa #DiamondPlatnumz ,#Benpol #Navykenzo #Chege na wasanii wote A list ambao wametoa album.Kama kuna hatua ya kukumbukwa kwenye game yetu itakuwa hii...
.
HAPA NATAKA NIELEZE Sababu tofauti na wengi tunayoijua ya kwanini Album ni muhimu sana kurudi kwenye Soko la Tanzania tena kipindi hiki.Najua wengi tunahisi ni kwa faida ya ukuaji wa msanii tu ila allow me to tell u what i see on this๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
.
Gues waat?? ujio wa album utapoteza Wasanii wabovu ambao wanalalamikiwa kuwa na #Showbiz kubwa kuliko kazi zao.Kwa maana hii hata Ongezeko(wanaokuja wapya) lao litapungua na kuisha kabisa.Nilisema juzi unapokea nyimbo 100 na 90 kati yake wasanii wake ni wabovu lakini sikufafanua zaidi kuwa wale wabovu ndo wanajiamini kinoma na ukiwaambia ukweli wanaona huwatendei haki.๐Ÿ˜Ÿ
.
Ni kweli sababu wanawaona wenzao wabovu ambao wana majina makubwa na wapo kwenye muziki.๐Ÿ˜ƒ
.
UTAJIULIZA ,ujio wa album,utaondoaje hili??its simple,kwasabab unaweza kuvumilia kumsikiliza msanii Mbovu dakika 4 za single yake ila Nani anaweza kukaa kusikiliza zaidi ya Nusu saa unamsikiliza ...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Sorry kidogo nitaje jina..ila tunawajua.. Kuwa mkweli tu๐Ÿ˜‚kweli utachukua time yako dakika 40 au saa nzima kusikiliza msanii m'bovu?
.
Hata huu ushindani wa #TeamKiba na #TeamDiamond utapanuka zaidi na watu badala ya kutambia jina Moja #Kipusa au #Hallelujah mwezi mzima,wataanza sasa kuchambua ngoma zilizopo ndani na uzuri wa album nzima so kutanoga zaidi.
Siku zote naamini mapinduzi kwenye chochote hufanywa na walio mbele(Alist).Ndio maana nimefurahi sana kuona #Diamond kaamua kuachia album ,Benpol tayari,Navykenzo walianza hope wengine watafata pia.
.
Baada ya muda tutajikuta Somo kuu ni #Album kwanza,kama wenzetu mbele,So kiki la Diamond au kiba litakuwa kwenye Album ilivyo pamoja na mauzo yake.
Sasa niambie Soko likishakuwa hivyo,Mbabaishaji gani mdogo ataibuka na kasingle kake ka kuotea na akasikilizwa??
.
Kifupi watajiondoa Automatic,Ni rahisi mtu kuotea ngoma moja,ila album kama ww mbovu lazima itakushinda so Game yetu sasa itakuwa Clean.kuna wale ambao wanaitwa wabovu kumbe wakali,tutawajua pia.
Ila #FidQ alisema "Wadau wana wasanii wabovu,jua kali nita....๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰ #ImsoreeeNimemaliza๐Ÿ˜‚

#FidQ amesema bado anaamini alichofanya Diamond katika ngoma yake โ€˜Fresh Remixโ€™ ni sahihi licha ya kukosolewa vikali.
โ—ผ

#FidQ ameiambia XXL ya Clouds Fm alichofanya muimbaji huyo ni kueleza hisia zake na wala hajageuza hip hop kuwa taarab kama wengi wanavyodai.
โ—ผ
#FidQ๐Ÿ‘‰ โ€œKwenye hip hop ukishapanga kufanya kolabo na mtu na mmeshapanga inatoka hata kama kakuchana inabidi uitoe, kufuta mstari wa mtu ni kosa,โ€ alisem
โ—ผ
Na kuongeza๐Ÿ‘‰โ€œKwa hiyo bado nasisitiza alichofanya Baba Tiffah kwenye Fresh ni kitu sahihi kwa sababu zile ni hisia zake za maisha yake ya kila siku, ni kitu sahihihi wala siyo taarabu,โ€ โ—ผ
#FidQ alisisitiza kuwa si kweli amefanya hip hop kuwa taarab bali taarab ndio inakopi hip hop ambayo ni kubwa zaidi ya maisha yenyewe
โ—ผ
โ—ผ
#Bongogossip

Vinamwanzo, kati, namwisho ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ #fidQ

Hiz kamera znatusaidia sana .......huyu jamaa hua ni black sana kulko mm lakn hapa naonekana mm ndo black zaid yake jaman........kumbe ata #fidq anaweza kuonekana kama justine bieber eeeeh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…

Simjui/Siwajui anayemiliki hii Acc.@fidq_words ila i just wanna let u know that i realy like unachokifanya kwa @therealfidq .
Ni aina ya ushabiki ulionivutia sana.Jamaa ameamua kuweka picha mbalimbali za #FidQ na Lyrics zake ambazo zinaweza kukufanya ukaona kitu ambacho hukuwahi kukitafakari vizuri kuhusu #FidQ.Wolper anasema "Fid Q ni namba nyingine"...
.
Shout out kwa mashabiki wote wa ukweli kwa wasanii wetu hasa wa #HipHop Bongo.

#tusapotivyakwetu

Most Popular Instagram Hashtags