#darasa

1782 posts

TOP POSTS

#video Tizama remix ya nyimbo ya mziki ya #darasa

Mmmmh @ebitoke sio Kwa mapozi hayo!!
Haya sasa wapendwa Anataka kuanzisha #darasa LA mapozi Instagram wangapi mpo tayarii kujoin?

tisha sana #darasa

Unachokikataa.. mwengine kinamnyima usingizi. #darasa

Arusha kesho kina happen
#darasa
#too_much in a town

Huyu KICHELEMA A.K.A muhogo nguruchu yeye anajitia kujua jua mambo zaidi. maswali kwa wale wanaomtetea huyu mandela wa uphipani. 1. jJE #HALIMA ANATHAMIN SANA MAPENZI KULIKO MASOMO KWA WATOTO WADOGO KAMA NDIVYO kwanini yeye wakati anaogopa MAPENZI kwa kutokuolewa mpaka sasa wakati umri wa kuolewa tayari?? 2. JE yeye alipata mimba ngapi wakati yupo #darasa la 7 na kidato cha pili?? 3. JE halima anawatoto wangapi mpaka sasa iwe kama mfano kwa wasichana wadogo ambao anaetaka wapate mimba wakiwa bado njia za uzazi hazijawakomaa?? POVU RUHSA ILA TCRA WAPO KUA MAKINI.

Kumpenda asiyekupenda ni kama kungoja meli kwa uwanja wa ndege #Darasa

Hii ni zaidi ya kibabe.......jiji zima ndani ya Dar live........wakali wooooooooooooooote tutakinukisha #ROMA #DARASA#MR_BLUE #STAMINA alafu namalizia dada mwenye UBABE wangu kwenye game #SNUπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

MOST RECENT

tisha sana #darasa

#video Tizama remix ya nyimbo ya mziki ya #darasa

*###Darasa bila elimu mambo bamba 2bamba...!!!!!!!!###*

Showlov πŸ‘ #darasa

Tofauti 8 Kati ya
Wasichana na Wanawake...!!! 1. Wasichana wanatafuta wanaume wenye pesa ila Wanawake wanatafuta wanaume wanaojali na kupenda.

2. Wasichana hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao ila Wanawake hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya mungu na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao.

3. Wasichana huvunja mahusiano kwa sabubu zisizo na mashiko ila Wanawake wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwa sababu.

4. Wasichana hufikilia kuhusu mambo yaliyopo sasa ila Wanawake hufikilia kuhusu yajayo.

5. Wasichana wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaowafuata ila Wanawake wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi). 6. Wasichana wanahitaji pesa ili kununua make-ups ila Wanawake wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanyia mipango ya maendeleo.

7. Wasichana huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote ila Wanawake wanajua kwamba wanaume wote sio sawa.

8. Msichana "anajifunza" ila Mwanamke "anajua"

#Darasa
πŸ€“πŸ€“πŸ€“

Ili ufike safali nilazima uwe mvumilivu njiani kila changa moto kwako iwe ni #darasa kujiamini nayo ninguzo shukrani kk mkuu @bobjunio eshima kwako @djpoison255 πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

#Darasa CMG RAP Teacher from Kiwalani

#BIASHARA ZETU NA TUNAPOKOSEA KUELEKEA MAFANIKIO:

Na Mwinjuma Kimaya

#Kufanya biashara ni miongoni mwa kazi ambazo zina lipa sana hasa kama utaamua kuifanya kama kazi huku ukiwa na malengo makubwa ya mafanikio. #Biashara huwa zina changamoto ikiwemo kuwa na mafanikio ya taratibu.

Haya hapa #makosa 5 tunayoyafanya sisi wafanya biashara ndogo ndogo ambazo zinatunyima kufikia kwenye ndoto zetu za mafanikio.

1. Huwa hatuna utaratibu wa kujua tumeanza biashara na shilingi ngapi, tunaingiza shilingi ngapi kwa siku, tunatengeneza faida shilingi ngapi, tunatumia kiasi gani cha hela inotokana biashara zetu kwa maisha yetu vile vile ni namna gani tunarejesha ile hela yetu tuloanzia wakati unafungua biashara yako husika.

2. Hatuna mazoea ya kujifunza. Wakati maisha yakiwa yana badilika, vile vile mitazamo na fursa mpya za kibiashara zikiwa zina zaliwa kila siku, wafanya biashara hasa wale wadogo na wakipato cha kati tumekuwa hatuna utaratibu wa kujifunza hasa kujisomea ama kusikiliza watu mbali mbali walofanikiwa hasa yale makongamano yao.

3. Hatuna taarifa wala utafiti kwa biashara zetu. Tumekuwa na mazoea ya kuanzisha biashara kwa sababu fulani anafanya na amefanikiwa, mfano unakuta mama Hadija anapika vitumbua mahala na anauza uza basi na Asha naye anaenda kwa mbele anauza vitumbua wakati eneo husika pengine halina muuza sambusa.

4. Hatuna #malengo na mikopo tinayokopa. Ndiyo, tumakuwa na mazoea ya kukopa kwa sababu tuna ruhusiwa kukopa lakini hatukopi kwa sababu ya biashara zetu, mara nyingi tunaanguka kwa sababu mikopo tunaenda anzisha biashara hapana mkopo unapaswa kuikuta biashara inafanya kazi hivyo unakopo ili kuongeza mtaji wako.

5. Tunashindwa kutengenisha maisha yetu ya kawaida pamoja na biashara zetu. Tunaofanya biashara ndogo ndogo ikiwemo tunaouza chipsi, magenge pamoja na wauza samaki tumekuwa na utaratibu wa kuchanganya maisha yetu ya kawaida hasa mahusiano pamoja na biashara zetu. Unakuta unauza chipsi na una mahusiano tofauti tofauti na una kawaida ya kutoa viazi kwa wanawake husika. Ndugu yangu simama na biashara yako.

#tujifunze #darasa #uchumi #mafanikio #ICT

#Na Mwinjuma Kimaya

#케냐 #μ‚¬λž‘ #그리움 #화폐 #돈 #ν™˜μ „ #싀링 #λ‚˜μ΄λ‘œλΉ„ #μŠ€μ™€νžλ¦¬μ–΄ #μ‘°λͺ¨μΌ€λƒνƒ€ #kenya #nairobi #miss #money #currency #exchange #pesa #fedha #shilingi #kiswahili #swahili #jomokenyatta #darasa λ‚΄κ°€ 케냐에 μžˆμ—ˆλ‹€λŠ” 것을 λ³΄μ—¬μ£ΌλŠ” 증거. μ§€κΈˆ ν•œκ΅­μ— μžˆλ‹€λŠ”κ±Έ 믿을 μˆ˜κ°€ μ—†λ‹€ γ… γ…  λ§ˆμŒλ§Œμ€ ν•œκ΅­μ—... μŠ€μ™€νžλ¦¬μ–΄ κ΅κ³Όμ„œλ₯Ό κ΅¬ν•΄μ™”μœΌλ‹ˆ μ΄μ œλŠ” 핑계 λŒ€μ§€ 말고 곡뢀할 μ‹œμ . μ‘°κΈˆμ”© 거뢁이 처럼 μŠ€μ™€νžλ¦¬μ–΄ μ‹€λ ₯이 계속 λŠ˜μ—ˆμœΌλ‹ˆ μ•žμœΌλ‘œλ„ μ–Έμ–΄ μ‹€λ ₯을 계속 μŒ“μ•„μ•Όμ§€!! Niko Korea lakini moyo wangu uko Kenya. Kitu ninachoweza ni kusoma kiswahili na vitabu vya kiswahili nimechonunua nairobi. Marafiki, tafadhali mnisaidie kusoma lugha ngumu ;)

Hili Goma La #Darasa #BongoKunaVipaji Kweli Hadi Kufanya Mashauzi Kipaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.....Kuna Wadada Lol Wanaonyesha Mashauzi Nomaaaa Nacho Nikipaji Chao #Birthdaparty @vee_wcb

Naskiza mziki mzur kutoka kwa msani mzuri uliofanyika kwenye studios nzuri......... Busy na money ni track ambayo imenipa changa moto sana ktk maisha pia namshkul mungu mpaka hapa nilipo sasa coz bila yeye mm c lolote @wombwork_tz @director_ivantz @johnkucchi @nicklassm @nandzondzee #spendagi #kelo nahifadhi hata jelo tena sfanyi track za kufanana kama track za #Darasa................... Kuipakua hii track zama kwa #wasaf.com utakua umepata mzigo poa unaokuelimisha na kukuburudisha .........

#RK
Jumaa mubarack
Amini kila jambo linamakusudi ya Mwenyezimungu
Hata hivyo ulivyo leo ni #Darasa

Throw Back... The making of #Ladha_3600 Radio Music Theme for @efmtanzania #EFM_Radio thanx @jabirsaleh it's such an honor to work with πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
#darasa, #maua_sama, #deddy, #montra & #ben_pol
Cc @uprisemusic_empire

Most Popular Instagram Hashtags