#dadapumzishamwiliwako

224 posts

TOP POSTS

Huu wimbo unazidi kunishangaza kadri siku zinavyokwenda,tegemea makubwa kutoka kwenye wimbo huu i.e #DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako
Bofya link hapo kwenye bio yangu kudownload kama bado hujapata nafasi ya kuusikiliza.
So far it's still number one song on @mdundomusictz charts yaani the most downloaded song currently.
#VideoComingSoon

Link hii 👉👉http://mdundo.com/song/85965

#TagDuniaNzima

With the musical goons and tycoons.
Tag them if u know them.
Sasa unaweza kudownload #DadaPumzishaMwiliWako
Link ya blue kwenye profile yangu Instagram.
@nikkimbishi @nikkimbishi 👉https://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=378

DEAR LEADS Kama umechoshwa na text za Majamaa Huko INBOX Kila Ukijitahd Kuwakataza Hawakuelewi Ukimblock Huyu Mwingine Anakuja….
Kabla Hujaanza Kuja Kutuambia Huku Basi Fuata Hizi Hatua Zitakusaidia

1: Ingia room kwako

2: Vua Wigi,Toa Weave,Toa na kope bandia

3: Ingia Bafuni

4: Safisha sura kwa maji, jikaushe vizuri kwa Taulo

5: Chukua simu

6: Piga picha

7: Usitumie app yoyote ku edit 8: Upload Fb kama ilivyo

9: Iweke profile Picture yako
NOW they will see “Wewe wa asili”
……..PROBLEM SOLVED………….
Ukisumbuliwa tena….Nipo tayari kukusikilza…

#dadapumzishamwiliwako

At Wasafi place signing the contact for online music sales.
#DadaPumzishaMwiliWako
Will be exclusively available on @wasafidotcom

Habari!
Sasa unaweza kudownload #DadaPumzishaMwiliWako
Link ya blue kwenye profile yangu Instagram.
@nikkimbishi @nikkimbishi 👉https://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=378

Sare sare maua.
#DadaPumzishaMwiliWako

Record video clip yako ukiimba au kusikiliza #DadaPumzishaMwiliWako nami nitairepost
Sasa unaweza kudownload #DadaPumzishaMwiliWako
Link ya blue kwenye profile yangu Instagram.
@nikkimbishi @nikkimbishi 👉https://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=378

Record video clip yako ukiimba au kusikiliza #DadaPumzishaMwiliWako nami nitairepost
Sasa unaweza kudownload #DadaPumzishaMwiliWako
Link ya blue kwenye profile yangu Instagram.
@nikkimbishi @nikkimbishi 👉https://www.wasafi.com/audio-detail?audio_id=378

Dressed by @jose_hustler

#TagWadada waliokuwa warembo na rangi asilia za ngozi zao na leo wamekuwa kama #VINYAGO

HONGERA #PIPI kwa kujitambua,you are beautiful still.
Hook:
Dada pumzisha mwili wako,jionee huruma hata kidogo(dogo)/
Cancer itakutafuna muscles, dressing table full mikorogo(rogo)/
Uso mirinda miguu pepsi/
Ukitembea unaringa unajiona sexy/
Mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu/
Nawapenda msijenge bifu/

Verse 1:
Hili wazo limekaa kichokozi/
Si juzi juzi tu hapa ulikuwa kikojozi/
Siku hizi kwa madanga umekuwa kiongozi/
Hizo pozi usoni ka" kinyago vipodozi/
Matako ya sindano za kichina mashindano/
Ndio napenda chura hapo sina mabishano/
Kama huna huna usikufuru Mungu/
Ona sasa yametuna na yamekaa kama vyungu/
Hips moja kama nundu na nyingine kama rungu/
Macho ka" una seli mundu kwa kupaka wanja kungu/
Nani kawachuza mnapendeza/
Mmesahau kifo kisa mnauza majeneza/
Sisemi msipake vipodozi/
Pakeni vya asili msipate magonjwa ya ngozi/
Mbona fresh hata mafuta ya nazi/
Hayo ya Sweet Fella ni kutafuta maradhi/
Mwili uwe biskuti uanze kumomony'oka/
Umri wa makamo bado mashavu yameporomoka/
Kuwachambua ni habari za Saida/
Ona sasa ulivyoungua una mistari ka" tiger/

Verse 2:
Umetoka nyumbani unang'ara kama fedha/
Mapicha umepost na hiyo tecno wereva/
Hatua chache mbele usoni mamichirizi/
Miksa mavipele vidoti ka" sisimizi/
Mchanganyiko wa make up na jasho/
Aisee bora ferry hii kweli sio mipasho/
Sipendi rangi fake hata kidogo/
Sikuzimii hata uwe una shape ya kimodo/
Jeki za matiti vigodoro makalio/
Lips ka" mazombi yanaimba mapambio/
Mnaboa ile kichizi na mkiniona msiniguse/
Nipeni hi kwa mbali iwe peace ama deuces/
Najua wapo watakao chukia/
Kwa kuwa nawafungua sumu mnazo wauzia/
Ukiwa mweusi kama Carol,right/
Bado mrembo sio lazima Carolight/
Hamshtuki kuwa mnaoza masista/
Mnaonekana majambazi over Mashifta/
Jipende dada pumzisha mwili wako/
Kabla kifo hakijavujisha siri zako/

#DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako

By @nikkimbishi 2017

MOST RECENT

Usijali kile wanafikiria maana watu wengi hawafikirii🔥🔥
Gt my #word
#DadaPumzishaMwiliWako
#Tupiliakule
#Sijachukia🔥🔥

#nikkimbishi a.k.a jogoo#zohan#babu bomba#doctor unju#black street negro#mr dream merchant#freestylemaster#zwangendaba#mkulya#
Mi kwa mtazamo wangu naweza sema huyu jamaa kwa hapa bongo ndie msanii bora wa hip hop achilia mbali ushabiki nilionao kwa nikki mbishi mwaweza sema natafuta kiki au nampendelea ila mi nasema kile nahisi ni sawa kutokana na moyo wangu na akili yangu....kwa muziki anaofanya nikki mbishi kwa kuzingatia ubora na misingi ya hip hop hakuna aliweza kuzani angeweza kukaza na kufika hapo alipo....nikki just keep on doing tupo tunao kupenda na kukusikiliza pia,stay strong and positive blood
#dadapumzishamwiliwako

Penda sana huyu#dadapumzishamwiliwako

Ujumbe Mzuri Kwa Akidada Wasiopenda Uhalisia Wa Mwili Wao #DadaPumzishaMwiliWako @nikkimbishi Available On Wasafi App
Download This Song On Wasafi App
#WasafiDotCom
#WhereTheHitsBelong

That's why #UNJU
#God_shall_make_it_possible
Bofya link hapo tuendelee kuwaumiza... Namba yetu ni MOJA since day #UNO
#Zohan
#DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako
Mawe kama haya local radio stations huyasikii,yenyewe huwa yana-bang masafa marefu tu.

Sisters 🌹

#Kibongewangu😜

ANATAFUTA KAZI .↑
☆NJOO DM NKUPE CODE ZAKE. .... ....... ........
........
...... .....
......
#dadapumzishamwiliwako
#hakeembandia
#mrsimplelife
#muhayawakisumu
#vyumavimekaza
#hatufikimbali tukidiss
#ukwelihaujifichi
#tallwaajabu
#bongelaseller
#blacklikeme... .... @adamchomvu

Huu wimbo unazidi kunishangaza kadri siku zinavyokwenda,tegemea makubwa kutoka kwenye wimbo huu i.e #DadaPumzishaMwiliWako
#DadaPumzishaMwiliWako
Bofya link hapo kwenye bio yangu kudownload kama bado hujapata nafasi ya kuusikiliza.
So far it's still number one song on @mdundomusictz charts yaani the most downloaded song currently.
#VideoComingSoon

Link hii 👉👉http://mdundo.com/song/85965

#TagDuniaNzima

вιиα∂αмυ ωα ιиѕтgяαм ωσтє ωєυρє ila ωαZαZι ωєυѕιiiiiiiii😁😁😁😁😁😁😁😁 #dadapumzishamwiliwako

The face I make when I come across a bleached skin byatch.
#DadaPumzishaMwiliWako link kwenye bio.

Most Popular Instagram Hashtags